President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kherson sherehe tupu
Kherson City inaingia mara 12 kwenye jiji la Dar
| Area | |
|---|---|
| • Total | 135.7 km2 (52.4 sq mi) |
Kherson sherehe tupu
| Area | |
|---|---|
| • Total | 135.7 km2 (52.4 sq mi) |
Punguza kuvuta bangiHUU HAPA USHAIDI WA KUMFUNGA PUTIN.
View attachment 2414236
ukraine wanakusanya mabaki ya makombora na silaha mbalimbali zilizotumiwa kudhurumu haki za msingi za Binadamu. Ipo siku mtu mmoja atapandishwa kizimbani.
ConfutionHalafu baada ya muda Urusi itaanza kufurumisha makombora ya Cruise kwenda kwenye anayodai ni ardhi yake bila kujali wananchi anaodai alikuja kuwakomboa.
Wanajeshi wa Tanzania walipoingia Uganda walipokelewa kwa vifijo na nderemo na wananchi wa Uganda sababu walikuwa hamtaki Iddi Amina.
Nashangaa Russia haipati sapoti toka kwa wananchi
Propaganda kubwa ya ProRussia a.k.a Warusi wa buza ni neno"Propaganda ya vyombo vya habari vya magharibi".
Hili la wananchi wa Kherson kushangalia kuingia kwa vikosi vya ukombozi vya Ukraine hata media za china na uarabuni vimeandika[emoji848]View attachment 2414175
Hiki ulichoandika ni lugha gani!?Confution
1. umpe sufuria apate kukusanya machozi yake! "state should become popular" - hoja zuri, si rahisi kwa dikteta aliyeanzisha vita bila sababu.Ujumbe kutoka Alexander Dugin.Wapambe wa Putin washa Anza kumgeuka View attachment 2414388
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji599][emoji599][emoji599]Kherson. The Russian army has given the Ukrainians clear instructions on how to behave during the temporary absence of our forces in the city[emoji298][emoji298][emoji298]
JOIN [emoji635] IL RUSSO[emoji635]
t.me/i20028843View attachment 2414720
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji599][emoji599][emoji599]Kherson. The Russian army has given the Ukrainians clear instructions on how to behave during the temporary absence of our forces in the city[emoji298][emoji298][emoji298]
JOIN [emoji635] IL RUSSO[emoji635]
t.me/i20028843View attachment 2414722
From Motivational speaker [emoji23][emoji23]Ukweli utabaki kuwa Russia ni giant katika dunia hii. Hakuna nchi inayoweza pigana vita kama aliyopigana Russia. Na hata kama vita tukisema imeisha Leo bado Russia ni mshindi maana kuna Ardhi anaimiliki ambayo kabla hakuwa akiimiliki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatimae umejitokeza baada ya maumivu makali ya masaa 72 ya major defeat in KhersonBasi wanajeshi wa Ukraine walikuwa wanataka kuvuka MTO kuja upande wa pili jiji LA Kherson hichi ndicho kilicho wakuta
View attachment 2414884View attachment 2414885
🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatimae umejitokeza baada ya maumivu makali ya masaa 72 ya major defeat in Kherson
Sherehe ipi hapo Kherson au unajitekenya na kucheka mwenyewe!? Toa ushahidi