President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Wenye Honda wanamidomo mirefu kweli 😀😀😀URUSI ya mipasho, huyo sijui medvedev kwa sasa tumlete tu buza tumvalishe kijora
Wenye Honda wanamidomo mirefu kweli 😀😀😀URUSI ya mipasho, huyo sijui medvedev kwa sasa tumlete tu buza tumvalishe kijora
Tuliza usilete mbwembwe.😂😂😂😂😂
😂😂😂achana na hizo stori za honda mkuu
Kwanini!? Siyo yako!?😂😂😂achana na hizo stori za honda mkuu
cha zamani sana hako mpaka nishakasauu baba enzi hizo petrol lita 1700?Kwanini!? Siyo yako!?
Unaposema zamani unamaanisha mwaka gani? Acha mbwembwe.cha zamani sana hako mpaka nishakasauu baba enzi hizo petrol lita 1700?
ako kagari kalikuga 2015, kwa sasa tunatumia HIMERS😇😇Unaposema zamani unamaanisha mwaka gani? Acha mbwembwe.
Siyo kweli. Nani alikupatia hako kagari!?ako kagari kalikuga 2015, kwa sasa tunatumia HIMERS😇😇
ako niliagiza from japan 2014Siyo kweli. Nani alikupatia hako kagari!?
Ulikapeleka wapi!? Uwe muwazi maana JF watakuona wewe ni mburura.ako niliagiza from japan 2014
achana na hako kagari kwa sasa tupo bize tunategua mabomu Kherson mkuuSiyo kweli. Nani alikupatia hako kagari!?
Kwa hiyo wewe ndiye unayejua undani wa vita hii kuliko Ukraine wenyewe ambao wako front wewe umekaa na kitambi chako kimeshiba ugali maharage hata mlio wa bastola hujawah sikia,unapumua point inanuka hiviKipanya this is a tactical withdrawal,do not have any illusions.Russia will bombard Kherson from across the Dnipro River.
So you seriously believe Russia with it's millitary might is so weak to vacate Kherson without a fight?Kherson will be hell for Ukranian forces,it is a death trap.Russia has done it before, and it will do it again at Kherson with the Ukranian forces.
Hako kagari ni muhimu sana kupima IQ yako. Ukiweza kujibu maswali ninayokuuliza utakuwa na uwezo wa kung'amua Geopolitics.achana na hako kagari kwa sasa tupo bize tunategua mabomu Kherson mkuu
akili yetu kwa sasa inawaza jinsi ya kuirudisha CRIMEAUlikapeleka wapi!? Uwe muwazi maana JF watakuona wewe ni mburura.
Kwahiyo umegoma kutoa taarifa za hako kagari!? Unataka sisi tutoe!?akili yetu kwa sasa inawaza jinsi ya kuirudisha CRIMEA
Sherehe ipi hapo Kherson au unajitekenya na kucheka mwenyewe!? Toa ushahidiKherson sherehe tupu