President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.Tunachojua ni kwamba urusi kafurushwa huko kheson city..,hayo mengine ni chai tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa taharifa yako , urusi akifurushwa kabisa Jimboni zapozhia hambalo analimiki tu nusu, itakuwa na maana kwamba..,hakuna kazi yoyote aliyofanya kwenye hii anayoiita special epereshen.., maana hapo atabakiwa na Donetsk luhansik na Crimea..haya majimbo yalikuwa na uhasi au yalikuwa mikononi mwa urusi tangu 2014Leo Russia kauwasha moto. Cheche zinawaka wamarekani wakufa mnoooo. Mpaka Christmas Biden atakuwa amepukutisha wanajeshi wake wengi mno kama panzi.
[emoji95] Within the counterbattery warfare, 3 U.S.-manufactured M-777 artillery systems, as well as up to 30 foreign instructors and mercenaries that formed part of the artillery crews, have been eliminated near Zaporozhye.
Yaani nchi zote hizo mnapigia kelele ka eneo ka square km 135?Tunachojua ni kwamba urusi kafurushwa huko kheson city..,hayo mengine ni chai tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukubwa sio hoja mkuu, umewahi kujiuliza kale ka kisiwa ka UK kaliwezaje kuwa super pawer na kuitiisha dunia??Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
Hebu fafanua mkuu unaongelea square miters ama kilometers.Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
Kwanza niwe mwalimu wako wa kiswahili. Utulie hivyo hivyo kama unanyolewa.Kwa taharifa yako , urusi akifurushwa kabisa Jimboni zapozhia hambalo analimiki tu nusu, itakuwa na maana kwamba..,hakuna kazi yoyote aliyofanya kwenye hii anayoiita special epereshen.., maana hapo atabakiwa na Donetsk luhansik na Crimea..haya majimbo yalikuwa na uhasi au yalikuwa mikononi mwa urusi tangu 2014
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu usiwe na wasiwasi. Haba na haba hujaza kibaba, sivyo? Unapenda kumpigia Putin debe, ila wote wana jua hali jinsi ilivyo.Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
Tunachojua Kwa Sasa Kuna vita kati ya urusi na Ukraine..,hizo nyingine ni excuse tu Ili kujaribu kuficha aibu ya kichapo [emoji16][emoji16][emoji16]Yaani nchi zote hizo mnapigia kelele ka eneo ka square km 135?
Albania, Belgium, Bulgaria, Canada, Croatia, Czechia, Denmark, Estonia, France, Germany, Greece, Hungary, Iceland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Montenegro, Netherlands, North Macedonia, Norway, Poland, Portugal, Romania, Slovakia, Slovenia, Spain, Turkey, the United Kingdom, and the United States.
Umeambiwa hapa tuko darasani tunaandika imla?? Au unadhani aliyeleta kipengele Cha IMLA katika SoMo la kiswahili alikuwa Hana akili...,kama unataka tuandike IMLA leta mada ya imla tutakupa ushirikiano[emoji57][emoji57]Kwanza niwe mwalimu wako wa kiswahili. Utulie hivyo hivyo kama unanyolewa.
Hambalo, analimiliki. Hayo maneno siyo ya kiswahili.
Mzee hata mambo madogo tu haya unaweza ukaingia google na kuyaona. Hapa naongelea Square Kilometers. Unasema square meters tunaongelea kiwanja cha nyumba hapa!? Nenda shule sasa ukajifunze vipimo.Hebu fafanua mkuu unaongelea square miters ama kilometers.
Mbagala ina square kilometers ngapi?.
Ata hivyo unajitahid sana ..kwa kweli una moyo mgumu..,ushangai wenzako wote pro Russia kindakindaki wameshaikimbia huu Uzi[emoji23][emoji23][emoji23]Mzee hata mambo madogo tu haya unaweza ukaingia google na kuyaona. Hapa naongelea Square Kilometers. Unasema square meters tunaongelea kiwanja cha nyumba hapa!? Nenda shule sasa ukajifunze vipimo.
Mzee Russia imekalia squre kilometres 125,000 hapo Ukraine. Unakuja kutupigia kelele kaeneo ka squre kilometer 135!? Are you serious!?Mkuu usiwe na wasiwasi. Haba na haba hujaza kibaba, sivyo? Unapenda kumpigia Putin debe, ila wote wana jua hali jinsi ilivyo.
Haibadiliki kitu ukitulia kidogo, ila ikikusaidia binafsi endelea kupiga debe tu!
(ila haitamsaidia Putin, sivyo?)
Wanasema mrusi kakimbia Kherson na hata MSM wanaripoti hivyo kwamba mrusi kaachia mji wa Kherson,Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
Kwenye hii anayoiita special epereshen urusi kabakiwa na zapozhia.., hambayo anamiliki nusu.., pamoja na kile kipande Cha kulia Cha kheson.., sehemu nyingine zilikuwa na uhasi au zilinyakuliwa Toka 2014..,huko Nako Bado anahenyeshwa [emoji23][emoji23]Mzee Russia imekalia squre kilometres 125,000 hapo Ukraine. Unakuja kutupigia kelele kaeneo ka squre kilometer 135!? Are you serious!?
View attachment 2415602
SourceLeo Russia kauwasha moto. Cheche zinawaka wamarekani wakufa mnoooo. Mpaka Christmas Biden atakuwa amepukutisha wanajeshi wake wengi mno kama panzi.
💥 Within the counterbattery warfare, 3 U.S.-manufactured M-777 artillery systems, as well as up to 30 foreign instructors and mercenaries that formed part of the artillery crews, have been eliminated near Zaporozhye.
Unaona sasa umeanza kunijadili mimi, mada imekuzidi uwezo. Wewe IQ yako ni kiduchu mno.Ata hivyo unajitahid sana ..kwa kweli una moyo mgumu..,ushangai wenzako wote pro Russia kindakindaki wameshaikimbia huu Uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona wewe bado unakaza Buti.. pongezi kwako mkuu [emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata kama padogo mbona mmepakimbia ,huko mlikokimbilia ndio mtabak salama?Wanasema mrusi kakimbia Kherson na hata MSM wanaripoti hivyo kwamba mrusi kaachia mji wa Kherson,
Lakini ukweli kilichofanyika ni urusikuondoka upande mmoja wa mto unaoigawa Kherson na kuhamia upande wa pili wa mto yaani ni kama urusi ihame kariakoo ihamie upande wa pili wa mto msimbazi yaani wahamie magomeni lakini still bado wapo dar
Kwa hiyo urusi bado yupo Kherson na hatatoka tofauti na hawa ndugu zetu SMALL CULTURE wanavyodai
Kwa hiyo nyie mlivyokua mnakamiliki mbona mlitamba nako sana , hadi mkakafanyia refendomKale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
Kikubwa ni kwamba makao makuu ya kheson ..,yaani city centre Iko mikononi mwako Ukraine..,ukishamiliki makao makuu ya sehemu flani Ina maana umeshakuwa controller wa Kila kitu.., ndio maana urusi baada ya kutangaza vita walideal na mji wa Kyiv hambao ndio mji mkuu na makao makuu ya nchi..,kama wangefanikiwa kuiteka Kiev.., automatically ni kwamba utawala wa zelensiky ungeanguka,Wanasema mrusi kakimbia Kherson na hata MSM wanaripoti hivyo kwamba mrusi kaachia mji wa Kherson,
Lakini ukweli kilichofanyika ni urusikuondoka upande mmoja wa mto unaoigawa Kherson na kuhamia upande wa pili wa mto yaani ni kama urusi ihame kariakoo ihamie upande wa pili wa mto msimbazi yaani wahamie magomeni lakini still bado wapo dar
Kwa hiyo urusi bado yupo Kherson na hatatoka tofauti na hawa ndugu zetu SMALL CULTURE wanavyodai
Upo upande wa pili wa mto na madaraja umeyabomoa halafu unamwambia adui yako njoo basi nikuone,Na hawezi kuja tena ulipo.Uko kilimani unamrushia makombora siku baada ya siku.Wanasema mrusi kakimbia Kherson na hata MSM wanaripoti hivyo kwamba mrusi kaachia mji wa Kherson,
Lakini ukweli kilichofanyika ni urusikuondoka upande mmoja wa mto unaoigawa Kherson na kuhamia upande wa pili wa mto yaani ni kama urusi ihame kariakoo ihamie upande wa pili wa mto msimbazi yaani wahamie magomeni lakini still bado wapo dar
Kwa hiyo urusi bado yupo Kherson na hatatoka tofauti na hawa ndugu zetu SMALL CULTURE wanavyodai