Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa umekua waajab sana ujue

Tunaheshimu sana mawazo yako na wala hatutaki uamini tunachokiamini

Ila tukukumbushe tu sio Bwana Utam wala Jesus Mlokozi wala Galip Vrl na wala sio pro PUT IN ama RUSSIA yeyote aloichukua RUSSIA akaieka hapo ilipoekwa

Nenda kwenye hizo MSM zenu mnazodai ndio reliable ama popote ambapo wameandika ama waliandika halaf waulize kwanini waliieka RUSSIA hapo nasio UK GER nk

Yaani licha ya hii SMO mnayosema eti imefeli na ponda ponda zenu huko kwenye MSM nahuku jf bado hakuna GER UK wala nchi yeyote ilioshika nafasi ya RUSSIA

Sasa unaposema sisi tulidanganywa na hao waloieka hapo RUSSIA hawakujua haya unayoyajua wewe yaani wewe unajua zaidi kuliko hao waloieka hapo RUSSIA

Mnatulaumu bure sisi tunafata data sio za RUSSIA bali zaulimwengu popote pale utakapoenda wanamrank RUSSO kama namba mbili ila bwana wewe sijui data zako unatoa wapi ambazo ziko very reliable

Jengine unamtetea huyo kichaa wa NATO au tulete twita za BIDEN hapa anaesema kama hawataki direct confront na RUSSIA wewe unajua kama RUSSIA dhaifu ila yule mpuuzi BIDEN hajui lolote

Tunaheshimu mawazo yako ila huu ujuaji wako kuliko wajuaji unatutia shaka

Haya RUSSIA kavamia nchi ya watu kapiga na anaendelea kupiga kaua na anaendelea kuua umeona msaada gani wamaana toka kwa hao unaowaita wababe dhidi ya mdhaifu kama RUSSIA !!?

NATO walitoka mamia ya miles wakaenda kuwahami raia wa LIBYA wakaeka No Fly zone wakatetea raia dhidi ya rais wao

Ila wanashindwa kukaa hapo boda wakaeka No Fly Zone wakatetea taifa la UKRAINE linaloangamizwa na RUSSIA kilaleo

RUSSIA kupitia hii SMO yake kaonesha ukuu wake dhidi ya NATO maana nje ya vikwazo hawana wanaloweza kumfanya na vikwazo vyenyewe havina impact yeyote maana kama SMO inaendelea kama ilivyoanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kupiga maeneo ya raia wasio nahata manati siniutaahira huo?

Piga sehemu yenye wanajeshi.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kama utahira ziacheni ziendelee kupigwa halaf mtajua faida na hasara yake

Kwani daraja la KERCH lilikua na kikosi gani cha kijeshi cha RUSSIA pale

Acheni kulalamika mmepewa dozi kulingana na mlivyokua mwaugua

Waacheni RUSSIA na utahira wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata Urusi nadhani alipochukua yale maeneo kuna sehemu majeshi ya Ukraine walikuwa bado wameshika na ilikubalika kuwa Ukraine imenyang'anywa eneo. Kwa hapa usione aibu kuipongeza Ukraine kwa alichofanya mpaka pale mambo yatakapobadilika.
Hakuna sehem nimekataa ila inabidi tueke mambo sawa kama kherson haijakombolewa

Unaelewa maana ya ukombozi MKUU yaani wenyewe wanamsemo wao wanasema full liberated nahii ndio main point yang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba huko NATO mfumo waulinzi walio nao ni NASMAS tu ama ulikua unasema kitu gani !!!!!

Mnaona mlivyo waajabu ndugu zetu mzozo wa UKRAINE una miaka mingapi tokea umeanza na hizo silaha wanazopelekewa wamefunzwa kwa muda gani !!!??

Kuhusiana na MOSKVA na mengine inawezekana zilipigwa kama unavyosema ila haiondoi uimara wa hizo ngao za RUSSIA

Yaani hapo hapo mnasema hawana silaha zakupiga RUSSIA halaf mnasema wamepiga belgrrod wamepiga navy sasa huko wamepiga kwakutumia nn !!!!?

US wawape silaha zakufika RUSSIA simple tu mbona tuliona kule LIBYA waasi walikua wanadondoshewa silaha ili watwangane na GADAFI haikutosha wakaeka na No fly zone sasa nashangaa kwataifa weak kama RUSSIA wanakwepa haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

11 NOVEMBER 2022

Iran has announced that it has developed a hypersonic ballistic missile

Iran’s Fars news agency quoted the Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) Aerospace Commander Brigadier General Amir Ali Hajizadeh as saying on Thursday (10 November) that the country has manufactured a hypersonic ballistic missile with advanced technologies that can penetrate all types of advanced air defence systems.

Speaking to reporters Brig. Gen. Hajizadeh said “The missile can target the enemy’s anti-missile systems and is a great generational leap in the missile field”. “I don’t think any technology would be found for tens of years capable of countering it,” the IRGC commander declared.

The announcement appears to have taken defence analysts by surprise, and concern has been expressed in different quarters

Hypersonic missiles can deliver nuclear weapons in the same way as traditional ballistic missiles, but they can fly at more than five times the speed of sound and are highly maneuverable, making them impossible to track and defend against. Unlike ballistic missiles, hypersonic missiles fly on a low trajectory in the atmosphere, and are able to reach targets more quickly. Several countries have developed systems designed to defend against cruise and ballistic missiles, but the ability to track and take down a hypersonic missile remains elusive.

Iran’s claim to have developed such a missile raises the question of where Tehran obtained the technology. North Korea’s test of a hypersonic missile last year sparked concerns about the race to acquire the technology, which is currently led by Russia, followed by China and the US.

Iran and Russia are both the targets of stringent international sanctions, and have responded by boosting cooperation in key areas to help prop up their economies.

Iran’s hypersonic missile claim follows last week’s successful test flight of a rocket capable of propelling satellites into space. The US has repeatedly voiced concern that such launches could boost Iran’s ballistic missile technology, extending to the potential delivery of nuclear warheads. In March, the US government imposed sanctions on Iran’s missile-related activities.

Meanwhile the UN atomic watchdog, IAEA, said on Thursday it had seen “no progress” in discussions with Tehran over undeclared uranium particles found at three research sites. Iran has agreed to a visit by agency inspectors this month to provide answers.

“The agency has reiterated to Iran that at this meeting it expects to start receiving from Iran technically credible explanations on these issues, including access to locations and material, as well as the taking of samples as appropriate,” the agency said in a report on Thursday.

source: commonspace.eu with Fars News Agency (Tehran) Arab News (Jeddah) and Times of Israel (Jerusalem).
 
Kwani vita ni ya Russia na NATO?
Kama unalazimisha silaha za NATO kuzijua fanya uvamizi uko, usilazimishe NATO itoe silaha. Hizohizo chache za msaada zinafanya mtimue mbio sembuse wakiwa nazo wenye nazo
 
Ww jamaa siku hizi umekuwa chenga kabisa sijui umekuwaje?

Samahani kwa kutumia maneno makali ila nimelazimika maana unaongea pumba tu.

Hivi hichi anacho kipitia Urusi nchini Ukraine si hata huyo huyo Marekani unaye muona kama mungu alisha kipitia nchini Vietnam na afghanistan?

Si hata Usoviet alisha kipitia nchini Afghanistan?
Sasa hapo cha kushagaza ni kipi?

Hivi hizo silaha unazo zidharau si ndo zilimkimbiza Marekani nchini Vietnam na Afghanistan?

Si ndo zimefanya mpaka sasa Asad yuko madarakani baada ya kuwashinda waasi walio kuwa wakitumia silaha za kimagharibi unazo zisifia hapa?

Hizo silaha za kimagharibi si ndo zimeshindwa vita nchini Yemen dhidi ya silaha za kiiran ambayo bado ni nchi changa kiteknolojia?

Si ndo zimesababisha zaidi ya mataifa 30 tena yanayo jiita yana nguvu yajiunge ili kukabiliana na silaha hizo?

Hivi mfano Marekani aingie vitani na Iran alafu Iran awe anapewa silaha za mabilioni ya $ kama anazo zipokea Ukraine sasa hivi unategemea Marekani hata apigane miaka 100 anaweza kuishinda hiyo vita?

Kingine Urusi sio kwamba haiwezi kutengeneza hivyo vitu bali sema haijaamua kuwekeza huko kutokana inapata mabilioni ya dora kila mwaka kutokana rasilimali alizonazo kwa hiyo haoni umuhimu wa kufanya hivyo.

Na ndio maana ukijaribu kuangalia nchi zisizo kuwa na rasilimali ndio zimewekeza pakubwa sana kwenye viwanda kwa ajili ya kuendesha mataifa yao.

Hivi Urusi yenye uwezo wa kutengeneza satalait zinazo izunguka dunia ije ishindwe kutengeneza noha, blender,pas,sijui meza na takataka zingine hivi mwenye mawazo kama haya utamuita mtu mwenye akili?

Yaani mkuu wa Nato ahiofie Urusi alafu ww mhitimu wa chuo unaye subiri huruma ya samia ili upate ajira ya ualimu useme Urusi hamna kitu ,kweli wabongo tuna matatizo.
 
katika watu ambao kama hujawajua wana maneno hewa basi ni hao wairan, wakisifia silaha zao unaweza sema zimetoka mbinguni😅, jamaa wana kitengo kizuri sana cha propaganda kama Rwanda, hivi hii hypesonic iliyomtesa mmarekani mpaka akapitwa na china na urusi iran ndo anaweza kutengeneza hata ya kutumia migomba tu?
 
Ndo umefika mwisho wa kufikiri?Iran si marafiki wao ni warusi unategea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…