bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,565
- 2,966
Iraq walichafuka mafuta na walivaa nguo za kufyonza mafuta.Sasa mbona huko Iraq, Afghan mlichafuka matope?Mbona hamkumkodisha kijana mdo tuu mkampa silaha?
Iraq walichafuka mafuta na walivaa nguo za kufyonza mafuta.Sasa mbona huko Iraq, Afghan mlichafuka matope?Mbona hamkumkodisha kijana mdo tuu mkampa silaha?
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwa sasa ngoja tufurahie kurudishwa kwa jiji la kherson.Hayo mengine tutajua utakapofika muda wa kuvuka mto.
Bosi wenu vip unakubaliana naye au unampinga?Kuna watu tuliwaambia Russia hana na sio mtengenezaji wa hizo suicide drones mkabisha. Mzigo ulioletwa kwa ndege mbili za Iran tena zilikuwa tracked na mabeberu uliisha sasa hivi kimya.
Russia wanasubiri kuombaomba watumiwe mzigo mwingine wasumbue anga la Ukraine ila angalau kwa sasa air defence systems zipo baadhi ya maeneo ingawa zikiwa saturated with attacks zinatumia gharama kubwa
proxy war, Nato sasa hivi wanapigania sebuleni kwa urusi, putin yuko chumbani alafu sebuleni kuna vita je ni akili au sio akili, Nato wao wapo mbali wanafyetua tu batani za kuachia drones😂Wanatumia akili gani iyo
nipo nimerudi nimejaa tele, leta nondo tuzipangue acha mipashoMzee wa honda umerudi tena.
Umeachana na ulimbukeni wa maisha!?
Hizi siku 4 mfululizo Putin kakuteseni sana wafuasi wake.
[emoji378]Anayetumia akili ni huyu general mpya wa Urusi.yeye atumi wanajeshi ovyo kama kumbikumbi wanavyofanya wanajeshi wa Ukraine.
Ukiangalia ramani ilivyo tu unaona kabisa jamaa anatumia akili kwenye hii vita.karudisha jeshi nyuma ili kuweka mpaka kati ya vikosi vyake na vikosi vya Ukraine.inamaana kwa sasa upande wa Kherson hakutakuwa na vita, upande wa zaphorozia napo hakutakuwa na vita,vita itakuwa kwenye jimbo la luhansk, kharkiv, na donesk .
Ili ukomboe maeneo ya zaphorozia na kherson yanayoshikiliwa na Urusi basi lazima uwe na meri vita au ujenge madaraja kama vile daraja la kherson lililobomolewa kwa sababu kuna mto Dnipro umetenganisha Kherson oblast upande wa kaskazini na upande wa kusini.ivyo ivyo napo zaphorozia umetenganisha kama ivyo.
Ili ukraine akomboe hayo maeneo yaliyobaki ni lazima nguvu zake zote awekeze Donesk na luhansk.
View attachment 2416104
Nimesoma sehemu jana kuwa kuna mzigo wa shaheed na missiles 1300 zinakuja Urusi.Kuna watu tuliwaambia Russia hana na sio mtengenezaji wa hizo suicide drones mkabisha. Mzigo ulioletwa kwa ndege mbili za Iran tena zilikuwa tracked na mabeberu uliisha sasa hivi kimya.
Russia wanasubiri kuombaomba watumiwe mzigo mwingine wasumbue anga la Ukraine ila angalau kwa sasa air defence systems zipo baadhi ya maeneo ingawa zikiwa saturated with attacks zinatumia gharama kubwa
Kama ni sehemu ya Urusi wamwambie Putin aende kutembelea kama alivyofanya mwanaume Zelenksy,sio anajificha ndani tu kama mwali[emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2416507
News Source: Kremlin Press Secretary Peskov on Zelensky’s visit to Kherson: ‘You know that territory is part of the Russian Federation’ — Meduza
Kutumia mifumo ya ulinzi kupambana na na hizi drone za kiiran ni hasara kabisa.Nimesoma sehemu jana kuwa kuna mzigo wa shaheed na missiles 1300 zinakuja Urusi.
Huenda ndo sababu ya Ukraine kupewa air defences zakutosha
Hivi Tanzania tuna air defence?