mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Wanatumia akili gani iyoNato wanapigana na urusi kwa akili wewe, hawatumii manguvu kama urusi.. akili mtu wangu
Wanatumia akili gani iyoNato wanapigana na urusi kwa akili wewe, hawatumii manguvu kama urusi.. akili mtu wangu
Itabidi tutafute siku iwe ya kutuma picha ili tufamiane vizuri maana unaweza ukamwambia mtu( Fara wewe) kumbe ni baba mkwe wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimejikuta nikicheka kijinga Sana na kufikili mbali Sana, jf ni kiboko unaweza kuta mtu unatukanana na boss, Ndugu ,mzazi wako bila kujua, ila mkikutana story ,na tabasam kibao
Mkuu nakwambia jf kiboko sana, au unaweza kuta mtu na mke wake wanatukanana, ila wakirudi nyumbani upendo Kama wote, baby nyingi kumbe walikua wanatoana ngeo jf😂Itabidi tutafute siku iwe ya kutuma picha ili tufamiane vizuri maana unaweza ukamwambia mtu( Fara wewe) kumbe ni baba mkwe wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anayetumia akili ni huyu general mpya wa Urusi.yeye atumi wanajeshi ovyo kama kumbikumbi wanavyofanya wanajeshi wa Ukraine.Nato wanapigana na urusi kwa akili wewe, hawatumii manguvu kama urusi.. akili mtu wangu
Mtaleta visingizio vya kukimbia ili ajipange ila ukweli vita imemshinda maji ya shingo hata snake island mlisema ni mtego zile drone za Iran hazisikiki tena na General mashavu alijua vita ni kushambulia umeme na maji hiyo hawajafanikiwa maana umeme upo na maji yapo kwa sasaAnayetumia akili ni huyu general mpya wa Urusi.yeye atumi wanajeshi ovyo kama kumbikumbi wanavyofanya wanajeshi wa Ukraine.
Ukiangalia ramani ilivyo tu unaona kabisa jamaa anatumia akili kwenye hii vita.karudisha jeshi nyuma ili kuweka mpaka kati ya vikosi vyake na vikosi vya Ukraine.inamaana kwa sasa upande wa Kherson hakutakuwa na vita, upande wa zaphorozia napo hakutakuwa na vita,vita itakuwa kwenye jimbo la luhansk, kharkiv, na donesk .
Ili ukomboe maeneo ya zaphorozia na kherson yanayoshikiliwa na Urusi basi lazima uwe na meri vita au ujenge madaraja kama vile daraja la kherson lililobomolewa kwa sababu kuna mto Dnipro umetenganisha Kherson oblast upande wa kaskazini na upande wa kusini.ivyo ivyo napo zaphorozia umetenganisha kama ivyo.
Ili ukraine akomboe hayo maeneo yaliyobaki ni lazima nguvu zake zote awekeze Donesk na luhansk.
View attachment 2416104
Matarajio mara nyingi huleta huzuni mkuu. Hasara ya vifaa vita na vifo kwa wanajeshi ni kubwa sana na kwa hali ilivyo hii SMO haishi siku za karibuni. Tunapigwa kwenye uwanja wa vita, tunapigwa kwenye propaganda.Do you know anything about Russia???!!! Amekuaibisha ukiwa wewe na wenzako mnaodai mmeaibishwa ni akina nani??!! Mna maslahi gani na Russia??!!!
Kwa kweli lilikuwa janga kubwa kwa jeshi la Urusi..,kule histomel airport waliwasubiri wote wakajaa .., alafu mvua ya maloket ikaanza kuwanyeshea..,wakaanza ku-fight for life [emoji848]Tarehe 24/Feb hadi March 10 wanajeshi wazoefu wengi mno kutoka Urusi walikufa. Na wananchi wengi wa Ukraine waliuawa
Urusi alipoteza sana wanajeshi mahiri, maana waliaminishwa Ukraine wataweka silaha chini
Russia is very much prepared for this scenario....wait and you will see.Matarajio mara nyingi huleta huzuni mkuu. Hasara ya vifaa vita na vifo kwa wanajeshi ni kubwa sana na kwa hali ilivyo hii SMO haishi siku za karibuni. Tunapigwa kwenye uwanja wa vita, tunapigwa kwenye propaganda.
Western wanaongeza misaada ya silaha kwa ukraine. Wanazidi kuajiri mamluki toka nchi mbalimbali. Tulishafanikiwa kwa kiasi kikubwa kumaliza nguvu ya jeshi la ukraine lakini kila siku wanapata misaada toka magharibi. Hii ngoma inabidi russia wabadili mbinu.
Hizo kama unavyoziona hapo ni Sq Km... (Square Kilometres) kama alivyosema Venus StarNadhani jamaa data za Kherson alichukua hapa View attachment 2416044
Pro Russia Wana uwezo kama wa Russia.Dah 😂😂😂
Venus Star against All team "Small Culture" wa JF... Show show tunafatilia kila nukta wajomba.
T14 Armata ....hizi helikopta ni sawa na Apache ?NJOONI NYOTE NIWAELEZE KITU.
mnaiona hii helkopta
View attachment 2415991
Hii ni KA - 52 ni moja kati ya helkopta hatari sana " kwenye karatasi"
Sasa niwambie kinini kimeikuta huko vitani Ukraine. Hapo mwanzo zilikuwa kama 100 hivi zikifanya mashambulizi ndani kabisa ya front line. Ukraine army walijilinda kwa kurusha kila aina ya silaha: ant tank missile, air missile, stinger kwa ufupi walirusha kila kitu. Ingawa hizo helkopta zina defense kama frare kutokana na wingi wa makombora zilikuwa zikirushiwa zilikuwa overwhelmed na kutunguliwa.
Takwimu zasema kama 25 zimedunguliwa. Na wanajeshi wa mwanzo ndio walikuwa na experience nayo, sasa warusi waliobakia hawataki kabisa kusikia kwenda operation na hizo helkopta. Maana ni kifo.
Kwa sasa ngoja tufurahie kurudishwa kwa jiji la kherson.Hayo mengine tutajua utakapofika muda wa kuvuka mto.Russia is very much prepared for this scenario....wait and you will see.
Sasa kama unayajua haya,Urusi kakuanguashaje?Matarajio mara nyingi huleta huzuni mkuu. Hasara ya vifaa vita na vifo kwa wanajeshi ni kubwa sana na kwa hali ilivyo hii SMO haishi siku za karibuni. Tunapigwa kwenye uwanja wa vita, tunapigwa kwenye propaganda.
Western wanaongeza misaada ya silaha kwa ukraine. Wanazidi kuajiri mamluki toka nchi mbalimbali. Tulishafanikiwa kwa kiasi kikubwa kumaliza nguvu ya jeshi la ukraine lakini kila siku wanapata misaada toka magharibi. Hii ngoma inabidi russia wabadili mbinu.