Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia stands alone against NATO – ex-president

Moscow stands alone in its battle against the US-led NATO military bloc and is capable of vanquishing its enemies on its own, Russia’s former president Dmitry Medvedev has said.

“Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia party, wrote on his Telegram channel on Saturday.

“We are capable of destroying a mighty enemy or alliances of enemies by ourselves,” the former president stated, adding that during its military activities Moscow is seeking to preserve the lives of its soldiers and civilians.

Subscribe to RT
 
Sasa mtu wangu unapopanda mbegu kwa kufuata hatua za kitalaamu si utatemea kuvuna mavuno kutegemea na ulivyopanda!?
Je, Mavuno unayotegemea kuvuna ni prediction au facts!?
Wewe kichwa maji watu wanapoongelea jambo ambalo si halisi husema natarajia na kusema kwa hakika kama jambo limeshatimia.

Kama ni mavuno unaweka prediction kuanzia kadhaa mpka kadhaa. Wakati mwingine nitakublock usiniquote mana kichwa chako kina uwezo mdogo sana wa kujadiri zaidi unachosha watu tu.
 
Tatizo lako nalijua vizuri bibie..,kina dada wengi Wana tatizo kama la kwako.., maana ni ukweli ulio wazi kwamba wanaume wengi wanashindwa kuwatimizia mahitaji ya msingi nyie dada zetu.., matokeo yake mnaishia kuwa na stress hata kwenye hoja za kawaida tu zenye maslahi kwa jamii.., nakushauri tu dada yangu , jaribu kutafta shughuli ya kukuingizia kipato hata kama utauza vitumbua,kumtegemea mumeo kwa Kila kitu utachoka.., wanaume tuna majukumu mengi.., lakini kama ni suala la mimba changa Hilo tatizo litaisha upesi tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unajua mimi ni baba yako. Acha kunikosea adabu nitakulaani uache kusimanisha miaka miwili.

Kijana wangu jifunze kuandika vizuri. Jua matumizi ya nukta, mikato n.k. Kwa sasa unaandika kama bata. Maandishi yako hayana "aya". Sasa basi; maandishi haya yanaonesha namna ulivyo mbumbumbu.

Hata hivyo umri wako ni mdogo mno. Bado unawaza masuala ya ngono tu. Sisi wazazi wako tulifanya kazi yetu tukamakiza. Ni wakati wako sasa.

Ukiwa na swali mimi baba yako nipo. Tumia hekima yangu.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji779]Lavrov: Europe, NATO trying to take control of Asia-Pacific region

Russian FM Sergey Lavrov was speaking to the press following the 17th East Asia Summit in Cambodia on Sunday.

His main points:

[emoji625]Inclusive open, equal structure of security and cooperation at ASEAN
[emoji625]Europe, NATO want to militarize region in order to contain Russia and China’s interests in Indo-Pacific
[emoji625]Manifestation of this policy is AUKUS openly aiming at confrontation in South China sea
[emoji625]West is accepting ASEAN only nominally while promoting their own instruments
[emoji625]As Soviet Union does not exist anymore the purpose of NATO is unclear
[emoji625]NATO has moved towards Russian borders several times and now declared at Madrid summit that they have taken global responsibility
[emoji625]NATO is moving their line of defence to the South China sea – Beijing has a similar assessment

Just In @RT_India_official
 
Wewe kichwa maji watu wanapoongelea jambo ambalo si halisi husema natarajia na kusema kwa hakika kama jambo limeshatimia.

Kama ni mavuno unaweka prediction kuanzia kadhaa mpka kadhaa. Wakati mwingine nitakublock usiniquote mana kichwa chako kina uwezo mdogo sana wa kujadiri zaidi unachosha watu tu.
Wewe ni block tu. Kwani ujinga wako utaondoka ukini block!?

Nimekuuliza critical questions unakimbilia kuni block. Hizo ni tabia za kitoto. Watu wenye uelewa mpana kama mimi wapo tayari kujadili. Lakini watoto wamejaa mihemko isiyo na tija. Na inawezekana hapo ulipo umevimba kama kifutu.

Huna uwezo wa kujadili wewe.
 
Unajua mimi ni baba yako. Acha kunikosea adabu nitakulaani uache kusimanisha miaka miwili.

Kijana wangu jifunze kuandika vizuri. Jua matumizi ya nukta, mikato n.k. Kwa sasa unaandika kama bata. Maandishi yako haya "aya". Sasa basi; maandishi haya yanaonesha namna ulivyo mbumbumbu.

Hata hivyo umri wako ni mdogo mno. Bado unawaza masuala ya ngono tu. Sisi wazazi wako tulifanya kazi yetu tukamakiza. Ni wakati wako sasa.

Ukiwa na swaki mimi baba yako nipo. Tumia hekima yangu.
Dada yangu nakuomba tu uchukue ushauri wangu..,uza hata vitumbua Ili ujikwamue kiuchumi..,hiyo kidogo itakusaidia hata kupunguza stress ulizo nazo hata kwenye masuala haya ya international.., wanawake wenzako walishaacha hayo mambo ya kumtegemea mwanaume kwa Kila kitu..,ikiwezekana fungua hata kijiwe Cha tangawizi Ili mradi tu uingize chochote.., ukiendelea kukaa kizembe hizi stress ulizonazo azitaisha

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dada yangu nakuomba tu uchukue ushauri wangu..,uza hata vitumbua Ili ujikwamue kiuchumi..,hiyo kidogo itakusaidia hata kupunguza stress ulizo nazo hata kwenye masuala haya ya international.., wanawake wenzako walishaacha hayo mambo ya kumtegemea mwanaume kwa Kila kitu..,ikiwezekana fungua hata kijiwe Cha tangawizi Ili mradi tu uingize chochote.., ukiendelea kukaa kizembe hizi stress ulizonazo azitaisha

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimekwambia kuwa acha mawazo ya kitoto. Mimi ni baba yako. Au unabisha tukapime DNA!?
 
Nimekwambia kuwa acha mawazo ya kitoto. Mimi ni baba yako. Au unabisha tukapime DNA!?
Nakumbusha tu dada ,hizi stress zinahathiri uwezo wako wa kufikiri, jitaihid ujishughulishe,acha kumtegemea mumeo.., kwa Kila kitu..., lakini kama una mimba changa,Hilo tatizo ni la muda mfupi, litaisha [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu lazima ujiulize, Mimi nilijua kutokana na Kherson ni mji wa urusi nilitegemea urusi kuwekeza nguvu nyingi kwenye mji huu,

Lakini kaagiza drone kaenda kupiga sehemu nyingine kabisa yaani anateka maeneo mapya huku ardhi yake Ukraine kaikalia swali kwanini urusi kaacha hili litokee????

Kwanini urusi hawekezi nguvu kubwa kujilinda ardhi yake ya Kherson????
Bora wewe umeukiri huu ukweli japo ni pro Russia.., wengine bado wamekaza fuvu.., wengine wamejificha.., yaani tahaflani tupu[emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
⚡Politico: Indonesian politicians call on Western leaders to tone down rhetoric on Russia at G20 summit

"US, European, Australian and Japanese officials... are under pressure from their Indonesian counterparts, particularly President Widodo, to show flexibility and consider using less harsh rhetoric so that Moscow... agree to a communiqué at the conclusion of the meeting," the publication said.

Western politicians,, what with your fucking faces? Smile wider, you are being photographed 😁
 
M
Yaani makamanda wa jeshi wangekuwa na akili finyu kama zako hakika jeshi lingepigwa hata kwa manati tu.

Russia anajulikana Duniani kote kwa Military Strategy. Napoleon, Hitler na wengine wengi alijaribu na kujiona wameshinda lakini kibano kiliwageukia haraka sana.

Strategy inarahisisha Tactics. Kwanza ujue lengo la Russia ndania ya Ukraine ni kulitia ukilema jeshi la Ukraine.

Unawaacha waliopo mbele na kugonga viwanda, barabara, miundombinu ya umeme nk ili usafirishaji wa vifaa uwe mgumu.

Walioko mbele itakuwa kama kusukuma mrevi tu.

Haya ni mambo ya kitaalam mno.
Mkuu jitahidi kumuelewa mtu alichomaaanisha kabla hujajibu

Nilichoandika nilimaanisha kitendo cha kuingia Kherson ni mtego
Maana haileti maana urusi kutoweka shinikizo kuwazuia Ukraine wasichukue Kherson badala yake kawaaacha waingie,

Kwa MTU mwenye ufahamu lazima ujue huu ni mtego
 
Biden mixes up countries again

US President Joe Biden thanked “the prime minister of Colombia” on Saturday for chairing a summit of southeast Asian leaders in Cambodia. The verbal slip-up is the latest geographic blunder from the president.

"Now that we're back together here in Cambodia…I want to thank the prime minister of Colombia for his leadership as ASEAN chair and for hosting all of us," Biden said, seemingly intending to refer to Cambodian Prime Minister Hun Sen, who is currently chairing the ten-member Association of Southeast Asian Nations (ASEAN) bloc.

Biden’s confusion of Cambodia and Colombia – countries 18,000km apart – is the latest in a long line of verbal gaffes and blunders that some Republicans say prove his cognitive abilities are impaired.

Subscribe to RT
 
Dah 😂😂😂

Venus Star against All team "Small Culture" wa JF... Show show tunafatilia kila nukta wajomba.
Hawa vijana wepesi mno.
Ndio maana me nilisema kua, nikiona vile mtu anazungumza kitu ambacho hakijui kum'qoute siwezi zaidi nitampisha tu kwani atanipotezea mda wangu kijinga.

Issue ya Kherson!

Ukitaka kuona majority wanao fatilia huu mzozo wako mihemko-wise tizama response zao kwenye issue hii.

1. Pro Russia
Baadhi yao tena ni wengi inaonekana Ukraine hawaijui vizuri. Niseme tu mwenendo wa SMO nzima hawako aware nao so wako na low data af wapo sharp ku-criticize pale hisia zao zinapokua fed with taarifa wasizo zitarajia.

2. Pro Ukraine/NATO/West kwa ujumla
Kwa hawa sidhani kama kuna jipya, Cheap propaganda zikifall kwe dead brain hazina mda wa kuchujwa. So kile kinachoingia ni kile kinachotoka...

Lakini kilichopo ni kipi...

Katika all 4 annexed regions I mean LPR, DPR, Zaporozhye na Kherson... Only LPR ndio ilikuwa full liberated. Hayo maeneo mengine ni sehem kubwa ndio zipo liberated huku baadhi ya maeneo machache mapigano yakiwa bado yanaendelea. Na hali hii ya kutokujua administrative regions na mipaka yake hapo Ukraine ndio inayoleta wingi wa ubishano uchwara usio na mantiki yoyote.

Most hapa tumezoea administrative style yetu ya Mkoa, kisha Wilaya kisha Kata hadi ngazi ya mtaa. Tumekariri sana na ule Ufinyu wa mawazo plus low exposure tunashindwa kuelewa si kila nchi iko hivyo.

Nini kuhusu Kherson!
Itambulike Kuna Kherson as Oblast, na Kherson kama City Council. Ndani ya Kherson Oblast ndio kuna Kherson City council na maeneo mengine mengi ni kama inavyoonekana kwenye Raman hapo chini..
Russian_Occupation_of_Kherson_Oblast.svg.png

Kama inavyoonekana kwenye Raman hapo, huo mto unaotenganisha upande wa kulia na upande wa kushoto. Eneo la pili upande wa kushoto wa Kherson kutoka kwenye Raman ndio upande jeshi la Russia walipotoka kurudi upande wa pili wa kulia wa jimbo hilo la Kherson (Kherson Oblast)

So Kherson upande wa kushoto eneo ambalo kuna rangi ya kama ya blue (mtanisahihisha me sio mtaalam wa rangi) wapo Ukraine AF kwa sasa na upande wa kulia lipo jeshi la Russian AF na zaidi along yani pembezoni mwa mto huo katika jimbo la Kherson ndipo wananchi wa kawaida waliko ondolewa.

Kherson Oblast as whole baada ya referendum hilo eneo lipo Russia na halijarudi kwa Ukies!

Hii ipo kama Dar yetu... Ukitoka kigamboni kurudi Posta hujaondoka mkoa wa Dar es Salaam. Umetoka katika wilaya moja ya Dar kurudi kwenye wilaya nyingine ya mkoa huo huo.

Sasa kama kutoka Kigamboni kwenda Ilala ni kukimbia mkoa wa Dar es Salaam hilo nalo lkachunguzwe tujifunze aina mpya ya uelewa.

Au tuchukulie mfano wa Mkoa wenye jina moja na wilaya ndani yake kama Geita. Kuna Geita Mji, tuna Geita wilaya na tuna Geita kama Mkoa ambao unajumuisha na wilaya zingine kama Bukombe, Chato, Nyang'wale na Mbogwe.

Tuelewe utofauti wa kutoka wilaya ya Geita na kutoka mkoa wa Geita. Ukitoka wilaya ya Geita huku umekalia maeneo mengine ya mkoa huwezi sema umeondoka mkoa wa Geita labda kama kuna standard nyingine ya namna ya kufikiri na kuamua kama kawaida etu huwa hatuna neno. "Free world" hii kila mtu yuko free kua yule ajitakae 😂.

Mwingine anaulizia Square meter 135 kujarib kujenga hoja kwa aliyesema square kilometres 135 really? Em tueni serious kidogo si kila jambo ni la kunyanyulia mdomo. Ukubwa wa eneo wa Sq Meter 135 ni eneo la kuweka packing za Bas za Yutong 6 tu tena bila nafas between... Yes 6 tu, Yutong yenye urefu wa 12M na upana wa Meter 2 zikiwa 6 zinachukua eneo la sq Meter 144... kwanza 6 zinazidi mbaali eneo hilo la 135sq meter na hapo space between hatujaiweka into consideration.

Sasa how comes mtu unajiropokesha ati ni Sq Meter na wala sio Sq Km kwa hapo mbagala? Do we really think deep of what kinatoka vinywani mwetu?

Em tueni GT wa faida, haya mahaba ya kingese inalifanya jukwaa kua la kifala sana.. Watu tunashadadia Geopolitics af tuko weupe tiiiii huku tukiendeshwa na mihemko na ujuaji wa kijinga kwenye vitu tusivyo vijua.

Na tulifanye jukwaa uwe uwanja wa kupashana habari na kujadiliana kwa facts, kama mtu hajui mara 1,000 bora awe mtazamaji mengine ni kujidharilisha saaana!.
 
Kwa taharifa yako , urusi akifurushwa kabisa Jimboni zapozhia hambalo analimiki tu nusu, itakuwa na maana kwamba..,hakuna kazi yoyote aliyofanya kwenye hii anayoiita special epereshen.., maana hapo atabakiwa na Donetsk luhansik na Crimea..haya majimbo yalikuwa na uhasi au yalikuwa mikononi mwa urusi tangu 2014

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ujui chochote wewe kuhusu hii vita
 
Tunatamba tuna milki Kherson Oblast yote. Nyie mmeachiwa kamji kadogo ukubwa wake sawa na Charambe au Tandale kwa mfuga fisi.
Retreating ina impact kwenye morale ya
M

Mkuu jitahidi kumuelewa mtu alichomaaanisha kabla hujajibu

Nilichoandika nilimaanisha kitendo cha kuingia Kherson ni mtego
Maana haileti maana urusi kutoweka shinikizo kuwazuia Ukraine wasichukue Kherson badala yake kawaaacha waingie,

Kwa MTU mwenye ufahamu lazima ujue huu ni mtego
Kufanya technical withdraw mara nyingi kwenye uwanja wa medani kunatokana na shinikizo kama adui ame break through defence line. Jeshi la ukraine linatumia analysed information kutoka kwenye vyombo vya upelelezi vya mabeberu. Kumbuka intelligence ya uk ilitabili kuwa wanajeshi wa urusi wanajiandaa kuondoka kharson. Ukifanya generalizations kuwa ni mtego wakati askari waliondoka wakivunja na daraja inaleta wasiwasi kidogo muda ni mwalimu ngoja tusubili Russia atajibu mapigo kwa staili ipi.
 
Back
Top Bottom