Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Takwimu hizi.....ila mvamizi bado analipia gharama kubwa mno.Kwenye kila mwanajeshi mmoja wa Urusi aliyekufa basi nyuma yake kuna wanajeshi 5 wa Ukraine waliokufa
Takwimu hizi.....ila mvamizi bado analipia gharama kubwa mno.Kwenye kila mwanajeshi mmoja wa Urusi aliyekufa basi nyuma yake kuna wanajeshi 5 wa Ukraine waliokufa
Do you know anything about Russia???!!! Amekuaibisha ukiwa wewe na wenzako mnaodai mmeaibishwa ni akina nani??!! Mna maslahi gani na Russia??!!!@qisby unajitahidi sana. Lakini ukweli ni kwamba Russia katuaibisha sana sisi wafuasi wake.
Yafuatayo ndiyo madhara ya kutumia mirungi.Karibu mirungi mizuri kutoka kenya,inachangamsha mwili
Madhara ya muda mfupi yatokanayo na matumizi ya mirungi (khat)Karibu mirungi mizuri kutoka kenya,inachangamsha mwili
Hahaha kwamba ndio simu anayotumia kusumbua wadau mtandaoniHii hapa bei ya simu hiyo kwenye maduka ta tigo. Kitaani ni kuanzia Tsh 50,000
View attachment 2415451
Karibu mirungi mizuri kutoka kenya,inachangamsha mwili
Umedanganywa huko tzView attachment 2415866
Madhara ya muda mrefu
• Huzuni/mfadhaiko wa mawazo
• Upungufu wa msukumo wa kufanya jimaa (sex drive). Na pia kuwahi kumaliza haraka na kutoweza kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda mrefu (pre-ejakulation)
• Humpelekea mlaji kutawaliwa nayo (Addiction)
• Msongo wa mawazo
• Kupata njozi zinazojirudia rudia
• Mahangaiko ya akili
• Kushindwa kujizuia kufanya vitendo visivyofaa kwenye jamii.
• Kuwa kwenye hatari kubwa ya kupata Shambulio la moyo
Utumiaji wa muda mrefu husababisha kuharibu utendaji kazi wa ini, na pia kusababisha ubadilikaji rangi meno, kudhoofika, na fizi kuuma na harufu ya mdomo
• Kansa ya mdomo
Athari zisizozuilika
• Kifo
• Kiharusi kutokana na shambulio la moyo
Hapo sawa na kuoa mwanamke Malaya alipigwa na wanaume Kama Mia halafu unashangilia umepata mke walichoshinda Hapo kipi?Yaani nchi zote hizo mnapigia kelele ka eneo ka square km 135?
Albania, Belgium, Bulgaria, Canada, Croatia, Czechia, Denmark, Estonia, France, Germany, Greece, Hungary, Iceland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Montenegro, Netherlands, North Macedonia, Norway, Poland, Portugal, Romania, Slovakia, Slovenia, Spain, Turkey, the United Kingdom, and the United States.
Nakukumbusha mkuu wanaosema ni mtego ni marekani na viongozi wa UkraineRetreating ina impact kwenye morale ya
Kufanya technical withdraw mara nyingi kwenye uwanja wa medani kunatokana na shinikizo kama adui ame break through defence line. Jeshi la ukraine linatumia analysed information kutoka kwenye vyombo vya upelelezi vya mabeberu. Kumbuka intelligence ya uk ilitabili kuwa wanajeshi wa urusi wanajiandaa kuondoka kharson. Ukifanya generalizations kuwa ni mtego wakati askari waliondoka wakivunja na daraja inaleta wasiwasi kidogo muda ni mwalimu ngoja tusubili Russia atajibu mapigo kwa staili ipi.
Nadhani jamaa data za Kherson alichukua hapaNdio maana me nilisema kua, nikiona vile mtu anazungumza kitu ambacho hakijui kum'qoute siwezi zaidi nitampisha tu kwani atanipotezea mda wangu kijinga.
Issue ya Kherson!
Ukitaka kuona majority wanao fatilia huu mzozo wako mihemko-wise tizama response zao kwenye issue hii.
1. Pro Russia
Baadhi yao tena ni wengi inaonekana Ukraine hawaijui vizuri. Niseme tu mwenendo wa SMO nzima hawako aware nao so wako na low data af wapo sharp ku-criticize pale hisia zao zinapokua fed with taarifa wasizo zitarajia.
2. Pro Ukraine/NATO/West kwa ujumla
Kwa hawa sidhani kama kuna jipya, Cheap propaganda zikifall kwe dead brain hazina mda wa kuchujwa. So kile kinachoingia ni kile kinachotoka...
Lakini kilichopo ni kipi...
Katika all 4 annexed regions I mean LPR, DPR, Zaporozhye na Kherson... Only LPR ndio ilikuwa full liberated. Hayo maeneo mengine ni sehem kubwa ndio zipo liberated huku baadhi ya maeneo machache mapigano yakiwa bado yanaendelea. Na hali hii ya kutokujua administrative regions na mipaka yake hapo Ukraine ndio inayoleta wingi wa ubishano uchwara usio na mantiki yoyote.
Most hapa tumezoea administrative style yetu ya Mkoa, kisha Wilaya kisha Kata hadi ngazi ya mtaa. Tumekariri sana na ule Ufinyu wa mawazo plus low exposure tunashindwa kuelewa si kila nchi iko hivyo.
Nini kuhusu Kherson!
Itambulike Kuna Kherson as Oblast, na Kherson kama City Council. Ndani ya Kherson Oblast ndio kuna Kherson City council na maeneo mengine mengi ni kama inavyoonekana kwenye Raman hapo chini..
View attachment 2415731
Kama inavyoonekana kwenye Raman hapo, huo mto unaotenganisha upande wa kulia na upande wa kushoto. Eneo la pili upande wa kushoto wa Kherson kutoka kwenye Raman ndio upande jeshi la Russia walipotoka kurudi upande wa pili wa kulia wa jimbo hilo la Kherson (Kherson Oblast)
So Kherson upande wa kushoto eneo ambalo kuna rangi ya kama ya blue (mtanisahihisha me sio mtaalam wa rangi) wapo Ukraine AF kwa sasa na upande wa kulia lipo jeshi la Russian AF na zaidi along yani pembezoni mwa mto huo katika jimbo la Kherson ndipo wananchi wa kawaida waliko ondolewa.
Kherson Oblast as whole baada ya referendum hilo eneo lipo Russia na halijarudi kwa Ukies!
Hii ipo kama Dar yetu... Ukitoka kigamboni kurudi Posta hujaondoka mkoa wa Dar es Salaam. Umetoka katika wilaya moja ya Dar kurudi kwenye wilaya nyingine ya mkoa huo huo.
Sasa kama kutoka Kigamboni kwenda Ilala ni kukimbia mkoa wa Dar es Salaam hilo nalo lkachunguzwe tujifunze aina mpya ya uelewa.
Au tuchukulie mfano wa Mkoa wenye jina moja na wilaya ndani yake kama Geita. Kuna Geita Mji, tuna Geita wilaya na tuna Geita kama Mkoa ambao unajumuisha na wilaya zingine kama Bukombe, Chato, Nyang'wale na Mbogwe.
Tuelewe utofauti wa kutoka wilaya ya Geita na kutoka mkoa wa Geita. Ukitoka wilaya ya Geita huku umekalia maeneo mengine ya mkoa huwezi sema umeondoka mkoa wa Geita labda kama kuna standard nyingine ya namna ya kufikiri na kuamua kama kawaida etu huwa hatuna neno. "Free world" hii kila mtu yuko free kua yule ajitakae 😂.
Mwingine anaulizia Square meter 135 kujarib kujenga hoja kwa aliyesema square kilometres 135 really? Em tueni serious kidogo si kila jambo ni la kunyanyulia mdomo. Ukubwa wa eneo wa Sq Meter 135 ni eneo la kuweka packing za Bas za Yutong 6 tu tena bila nafas between... Yes 6 tu, Yutong yenye urefu wa 12M na upana wa Meter 2 zikiwa 6 zinachukua eneo la sq Meter 144... kwanza 6 zinazidi mbaali eneo hilo la 135sq meter na hapo space between hatujaiweka into consideration.
Sasa how comes mtu unajiropokesha ati ni Sq Meter na wala sio Sq Km kwa hapo mbagala? Do we really think deep of what kinatoka vinywani mwetu?
Em tueni GT wa faida, haya mahaba ya kingese inalifanya jukwaa kua la kifala sana.. Watu tunashadadia Geopolitics af tuko weupe tiiiii huku tukiendeshwa na mihemko na ujuaji wa kijinga kwenye vitu tusivyo vijua.
Na tulifanye jukwaa uwe uwanja wa kupashana habari na kujadiliana kwa facts, kama mtu hajui mara 1,000 bora awe mtazamaji mengine ni kujidharilisha saaana!.
Your comment is vague to say the least.Hahahah mbona hujiulizi kuwa hawaachi kutuma silah Ukraine?
Nato wanapigana na urusi kwa akili wewe, hawatumii manguvu kama urusi.. akili mtu wanguNATO yote imegwaya. Wanaingia kwa unyenyekevu.
Vipi leo umekula chapati za ngano toka Urusi!?
Mzee wa honda umerudi tena.Nato wanapigana na urusi kwa akili wewe, hawatumii manguvu kama urusi.. akili mtu wangu
[emoji122][emoji122][emoji122]Nato wanapigana na urusi kwa akili wewe, hawatumii manguvu kama urusi.. akili mtu wangu
Kifupi vita upandeNadhani jamaa data za Kherson alichukua hapa View attachment 2416044
Nimejikuta nikicheka kijinga Sana na kufikili mbali Sana, jf ni kiboko unaweza kuta mtu unatukanana na boss, Ndugu ,mzazi wako bila kujua, ila mkikutana story ,na tabasam kibaoUnajua mimi ni baba yako. Acha kunikosea adabu nitakulaani uache kusimanisha miaka miwili.
Kijana wangu jifunze kuandika vizuri. Jua matumizi ya nukta, mikato n.k. Kwa sasa unaandika kama bata. Maandishi yako hayana "aya". Sasa basi; maandishi haya yanaonesha namna ulivyo mbumbumbu.
Hata hivyo umri wako ni mdogo mno. Bado unawaza masuala ya ngono tu. Sisi wazazi wako tulifanya kazi yetu tukamakiza. Ni wakati wako sasa.
Ukiwa na swali mimi baba yako nipo. Tumia hekima yangu.