Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndio maana me nilisema kua, nikiona vile mtu anazungumza kitu ambacho hakijui kum'qoute siwezi zaidi nitampisha tu kwani atanipotezea mda wangu kijinga.

Issue ya Kherson!

Ukitaka kuona majority wanao fatilia huu mzozo wako mihemko-wise tizama response zao kwenye issue hii.

1. Pro Russia
Baadhi yao tena ni wengi inaonekana Ukraine hawaijui vizuri. Niseme tu mwenendo wa SMO nzima hawako aware nao so wako na low data af wapo sharp ku-criticize pale hisia zao zinapokua fed with taarifa wasizo zitarajia.

2. Pro Ukraine/NATO/West kwa ujumla
Kwa hawa sidhani kama kuna jipya, Cheap propaganda zikifall kwe dead brain hazina mda wa kuchujwa. So kile kinachoingia ni kile kinachotoka...

Lakini kilichopo ni kipi...

Katika all 4 annexed regions I mean LPR, DPR, Zaporozhye na Kherson... Only LPR ndio ilikuwa full liberated. Hayo maeneo mengine ni sehem kubwa ndio zipo liberated huku baadhi ya maeneo machache mapigano yakiwa bado yanaendelea. Na hali hii ya kutokujua administrative regions na mipaka yake hapo Ukraine ndio inayoleta wingi wa ubishano uchwara usio na mantiki yoyote.

Most hapa tumezoea administrative style yetu ya Mkoa, kisha Wilaya kisha Kata hadi ngazi ya mtaa. Tumekariri sana na ule Ufinyu wa mawazo plus low exposure tunashindwa kuelewa si kila nchi iko hivyo.

Nini kuhusu Kherson!
Itambulike Kuna Kherson as Oblast, na Kherson kama City Council. Ndani ya Kherson Oblast ndio kuna Kherson City council na maeneo mengine mengi ni kama inavyoonekana kwenye Raman hapo chini..
View attachment 2415731
Kama inavyoonekana kwenye Raman hapo, huo mto unaotenganisha upande wa kulia na upande wa kushoto. Eneo la pili upande wa kushoto wa Kherson kutoka kwenye Raman ndio upande jeshi la Russia walipotoka kurudi upande wa pili wa kulia wa jimbo hilo la Kherson (Kherson Oblast)

So Kherson upande wa kushoto eneo ambalo kuna rangi ya kama ya blue (mtanisahihisha me sio mtaalam wa rangi) wapo Ukraine AF kwa sasa na upande wa kulia lipo jeshi la Russian AF na zaidi along yani pembezoni mwa mto huo katika jimbo la Kherson ndipo wananchi wa kawaida waliko ondolewa.

Kherson Oblast as whole baada ya referendum hilo eneo lipo Russia na halijarudi kwa Ukies!

Hii ipo kama Dar yetu... Ukitoka kigamboni kurudi Posta hujaondoka mkoa wa Dar es Salaam. Umetoka katika wilaya moja ya Dar kurudi kwenye wilaya nyingine ya mkoa huo huo.

Sasa kama kutoka Kigamboni kwenda Ilala ni kukimbia mkoa wa Dar es Salaam hilo nalo lkachunguzwe tujifunze aina mpya ya uelewa.

Au tuchukulie mfano wa Mkoa wenye jina moja na wilaya ndani yake kama Geita. Kuna Geita Mji, tuna Geita wilaya na tuna Geita kama Mkoa ambao unajumuisha na wilaya zingine kama Bukombe, Chato, Nyang'wale na Mbogwe.

Tuelewe utofauti wa kutoka wilaya ya Geita na kutoka mkoa wa Geita. Ukitoka wilaya ya Geita huku umekalia maeneo mengine ya mkoa huwezi sema umeondoka mkoa wa Geita labda kama kuna standard nyingine ya namna ya kufikiri na kuamua kama kawaida etu huwa hatuna neno. "Free world" hii kila mtu yuko free kua yule ajitakae [emoji23].

Mwingine anaulizia Square meter 145 kujarib kujenga hoja kwa aliyesema square kilometres 145 really? Em tueni serious kidogo si kila jambo ni la kunyanyulia mdomo. Ukubwa wa eneo wa Sq Meter 145 ni eneo la kuweka packing za Bas za Yutong 6 tu tena bila nafas between... Yes 6 tu, Yutong yenye urefu wa 12M na upana wa Meter 2 zikiwa 6 zinachukua eneo la sq Meter 144... kwanza 6 zinazidi mbaali eneo hilo la 135sq meter na hapo space between hatujaiweka into consideration.

Sasa how comes mtu unajiropokesha ati ni Sq Meter na wala sio Sq Km kwa hapo mbagala? Do we really think deep of what kinatoka vinywani mwetu?

Em tueni GT wa faida, haya mahaba ya kingese inalifanya jukwaa kua la kifala sana.. Watu tunashadadia Geopolitics af tuko weupe tiiiii huku tukiendeshwa na mihemko na ujuaji wa kijinga kwenye vitu tusivyo vijua.

Na tulifanye jukwaa uwe uwanja wa kupashana habari na kujadiliana kwa facts, kama mtu hajui mara 1,000 bora awe mtazamaji mengine ni kujidharilisha saaana!.
Sawa,tumekusikia..,kwa mantiki hiyo,nani anayedhibiti makao makuu ( city centre) ya Hilo Jimbo la kheson?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Retreating ina impact kwenye morale ya

Kufanya technical withdraw mara nyingi kwenye uwanja wa medani kunatokana na shinikizo kama adui ame break through defence line. Jeshi la ukraine linatumia analysed information kutoka kwenye vyombo vya upelelezi vya mabeberu. Kumbuka intelligence ya uk ilitabili kuwa wanajeshi wa urusi wanajiandaa kuondoka kharson. Ukifanya generalizations kuwa ni mtego wakati askari waliondoka wakivunja na daraja inaleta wasiwasi kidogo muda ni mwalimu ngoja tusubili Russia atajibu mapigo kwa staili ipi.
Sidhani kama unachokiongea ni kweli.
Kama moral za wanajeshi zinashuka kutokana na retreat basi hao wanajeshi hawafai kuitwa wanajeshi.

Kuna sababu nyingi kuhusiana na Russia kurudi nyuma kidogo.

Kumbuka eneo walilotoka Russia halina direct connection na supply ya silaha maana kuna mto umetenganisha. Kuna daraja lilikuwa linaunganisha pande mbili. Ukraine walikuwa wamesogeza silaha na lengo lao ni kulilipua kisha kuligawa jeshi la Urusi. Kitendo hicho kingewafanya walio upande wa pili washindwe kupata silaha.

Halafu kipindi cha baridi kinaingia Russia anachokifanya ni kupunguza vifo huku akiharibu miundombinu ya kuleta silaha kwenye jeshi la Ukraine lililoingia Kherson. Baridi ikiwagonga watanyanyua mikono yao wenyewe tu.

Mimi nawashangaa sana hawa wazungu sijui kwanini wanategwa kwenye mitego rahisi hivi wanajaa mazima. Tunakumbuka mtego wa panya kule Azov Store. Walikuja kubebwa kama samaki.

Kuhusu morali, unajua Russia siyo kajeshi kadogo ka kutishiwa nyau. Yeye anapiga na kutoa misaada.
Kinachotakiwa tusubiri mpaka mwisho wa movie hii. Lakini inakoelekea siyo nzuri upande wa Ukraine.
 
Mzee nakushauri kabla ya kuanza kujadili ni vyema ukapitia madesa kidogo ukaelewa ABC hivi kuhusu Kherson. La sivyo utakuwa unaandika maandishi mengi yasiyo na point yoyote.
Kherson Oblast ipo na Manispa tatu nazo ni:-
Kherson, Nova Kakhovka na Kakhovka.
Kherson ni kamji kadogo tu.
Wilaya zake zipo 18. Kwaupande wa kiuchumi

Ukraine ipo na Oblast 25 Kherson ni ya 21 upande wa GDP.
Katika majimbo aliyobeba urusi jimbo hilo ni maskini.
Kwa upande wa Tanzania Songwe GDP yake ni $2.3B huku Kherson ikiwa na $1.4B.
Warusi mna matatizo bila shaka sasa hivi kherson ndio mnainanga hivi ,kwani unafahamu kwa nini mandonga aliiteka kherson ? tena mapema kabisa?unafikiri mandonga alifuata mali au ilikua military strategy .
Ili uivamie crimea lazma kherson iwe kwenye imaya yako.
Kwa hiyo kherson haijalishi ikoje cha muhimu malengo ya kivita yametimia kwa ukraine.
Putin akishindwa100% kherson bas crimea inabebwa kiulain.
Pitia madesa mkuu
 
Kama Urusi wanashindwa vita mbona Marekani wamewaambia Ukraine waonyeshe nia ya mazungumzo na Urusi?Halafu akili zingine hizi,kama mmeshikiwa akili vile,sasa anayeshindwa vita anashikilia maeneo ya adversary wake!!!??? Acheni umbumbumbu.Kama mnaona Russia kashpindwa Vita kwa kuwa ame-withdraw kutoka Kherson si kweli.Issue ya Kherson ni tactitical mkuu,katika vita ni kawaida kabisa.Urusi wameona hawataweza ku-supply troops across River Dnipro hasa kwa vile American troops tayari wana-close in Kherson.So the best option was to withdraw from Kherson,and then shell it from across the River,while having the River as a buffer.A very intelligent millitary move indeed.
Hahahah mbona hujiulizi kuwa hawaachi kutuma silah Ukraine?
 
Warusi mna matatizo bila shaka sasa hivi kherson ndio mnainanga hivi ,kwani unafahamu kwa nini mandonga aliiteka kherson ? tena mapema kabisa?unafikiri mandonga alifuata mali au ilikua military strategy .
Ili uivamie crimea lazma kherson iwe kwenye imaya yako.
Kwa hiyo kherson haijalishi ikoje cha muhimu malengo ya kivita yametimia kwa ukraine.
Putin akishindwa100% kherson bas crimea inabebwa kiulain.
Pitia madesa mkuu
Hawa pro Russia ni wazee wa sizitaji mbichi hizi..,kila wakitembezewa kichapo na ku-retreat utasikia eti mtego[emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Warusi mna matatizo bila shaka sasa hivi kherson ndio mnainanga hivi ,kwani unafahamu kwa nini mandonga aliiteka kherson ? tena mapema kabisa?unafikiri mandonga alifuata mali au ilikua military strategy .
Ili uivamie crimea lazma kherson iwe kwenye imaya yako.
Kwa hiyo kherson haijalishi ikoje cha muhimu malengo ya kivita yametimia kwa ukraine.
Putin akishindwa100% kherson bas crimea inabebwa kiulain.
Pitia madesa mkuu
Ujatafuna mirungi kweli wewe!?
Screenshot_20221113-213625.png
 
⚡️The USA is preparing a new military aid package for Ukraine

It will be announced in the coming weeks, – Jake Sullivan, US President's National Security Adviser, says.

👉 Follow
@Flash_news_ua
 
⚡️For the current week, the Armed Forces of Ukraine de-occupied 179 settlements on more than 4,500 square kilometers of Ukrainian land on the right bank of the Dnieper, – Operational Command "South".

Stabilization works are currently being carried out in the liberated territories, including demining.
 
⚡️Ukraine and the USA will build a small modular reactor on Ukrainian territory, - Ukrainian Ambassador to the USA Oksana Markarova.

"In addition, Special Envoy Kerry announced the creation of a new initiative, Project Phoenix, aimed at accelerating the transition of coal-fired power plants in Central and Eastern Europe to SMR," Markarova added.
 
Retreating ina impact kwenye morale ya

Kufanya technical withdraw mara nyingi kwenye uwanja wa medani kunatokana na shinikizo kama adui ame break through defence line. Jeshi la ukraine linatumia analysed information kutoka kwenye vyombo vya upelelezi vya mabeberu. Kumbuka intelligence ya uk ilitabili kuwa wanajeshi wa urusi wanajiandaa kuondoka kharson. Ukifanya generalizations kuwa ni mtego wakati askari waliondoka wakivunja na daraja inaleta wasiwasi kidogo muda ni mwalimu ngoja tusubili Russia atajibu mapigo kwa staili ipi.
Somehow "Yes" some how "No"...

Em turejee nyuma kuangalia eneo lilivyo...
Russian_Occupation_of_Kherson_Oblast.svg.png


Iangalie Kherson, Iangalie na sehem inayoongelewa. Examine the situation af fikiria maamuzi yaliyo fanywa na maamuzi unayo yafikiria yapi ni sahihi.

Huo upande walipoamua kutoka hakuna sehem unayoweza peleka silaha bila kuvuka maji. Vita haipiganwi kwa style za Kungfu ama Judo bali Silaha. Upande wa pili wa mto huo kulikuwa kuna wanajeshi zaido ya 20k wa Russian F.

Na ni upande huu Ukraine walikuwa wamepeleka kila nguvu zao zote huko. Kinumber of military equipments na personnel walikuwa wengi zaidi. Na mind you moral fight ya Ukraine hawajali wanakufa wangapi wao wanachohitaji ni matokeo tu kuyafanyia PR kitu ambacho kiko tofauti na Russian AF ambao maisha ya wapiganaji wanayalinda kwa nguvu zote.

So morale unayo izungumzia ni ipi? Vifo vya hao wote 20k walio kua wamevuka upande wa pili ambao kutokana na logistics kua ngum wangeishiwa silaha na kuuawa au kuwatoa salama na kuangalia jambo lingine la kufanya?

Au huko mbali turudi hapa hapa kwenye jiji letu.

Imagine tumechukua eneo kubwa la Dar es Salaam na ilikua imebaki sehem ndogo eneo la kigamboni ili Dar yote iwe mikononi mwetu. Itizame kigamboni kama iko upande wa pili ambayo haijaungana na eneo lolote la nchi kavu upande wa huku Ilala, Temeke n.k na maana ya kwamba Isahau Twangoma na fikiria daraja la Nyerere na vile vivuko as only means of transport ya kuingia Kigamboni.

Umepeleka jeshi lako Kigamboni lipo linapigana, unayepigana nae akaongeza nguvu ya wanajeshi... Kwa lugha nyepesi ni kwamba umekua outnumbered nini utafanya?

Will you keep the fighting? If yes how would you supply your army? Fastest way ni through bridge na slowest ni kwa kivuko... Would you trust the bridge with the lives of your soldiers? What if the bridges is blown up... Would you be ready for the surrender? How will that affect the so called morale unayoizungumzia?

Sisi huku majority ni wazee wa kuunga unga... Ukituangalia hatuna professional ya kijeshi... So Maamuzi ambayo tunayafikiria ni yale yapo ki-movies oriented.

Kama ni Intelligence, Ukraine inalishwa kila aina ya Intelligence tena from all top agencies like Pentagon/CIA, Mi6, Mossad na wengineo hapo hatujaongelea Corporates ambazo zinatumia their commercial satellite ku-gather kila aina ya Intel against Russia na ikumbukwe sio jana wala juzi hata kabla Russia hajaingia walikua wanajua na walikua washajiandaa na hawajaweza kumzuia hadi dk hii zaidi ya kumchelewesha tu.

Me naona tuwe free minded ku-analyze the situation hata kama hatuna exposure kiivyo ya issue za kijeshi ila common sense kwa werevu is more than enough
 
⚡️ About 700,000 Russian citizens went to Georgia after Putin announced a "partial" mobilization in the country, Georgian President Salome Zurabishvili said on Radio France.

Zurabishvili noted that about 100,000 Russians remained in Georgia, and 600,000 could leave for other countries. There are also about 30,000 Ukrainians in Georgia who were forced to leave their homes due to the war.
 
⚡️The Luhansk Regional Military Administration confirmed the liberation of the settlement of Makiivka.

Ukraine inazidi kuchanja mbuga
 
Back
Top Bottom