Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Sasa anachelewa Nini kuingia front?
As if anapigana na watoto? Kila kitu ni mkakati
Sasa anachelewa Nini kuingia front?
Uzuri PUT IN katulia zake KREMLIN mnaoanza kukia lia mazungumzo mtamfata kule mkaeleze shida zenukurudi nyuma haikua strategy yao ila ni kwamba maji yalizidi unga, general alisema alirudi nyuma kwa order kutoka kwa bosi wake na ilikua uamuzi mgumu sana kuukubali
Eti uliishaKuna watu tuliwaambia Russia hana na sio mtengenezaji wa hizo suicide drones mkabisha. Mzigo ulioletwa kwa ndege mbili za Iran tena zilikuwa tracked na mabeberu uliisha sasa hivi kimya.
Russia wanasubiri kuombaomba watumiwe mzigo mwingine wasumbue anga la Ukraine ila angalau kwa sasa air defence systems zipo baadhi ya maeneo ingawa zikiwa saturated with attacks zinatumia gharama kubwa
Utaambiwa haya nimaoni yake uhuru wakujieleza jf unashangaza mnoooBosi wenu vip unakubaliana naye au unampinga?View attachment 2416469
Halaf kuna watu wanajidanganya eti RUSSIA katengwa [emoji16][emoji16][emoji16]Traditional joint photography at the G20 summit canceled - Kyodo with reference to the organizers. Allegedly, the reason was the disagreement of the participants about the situation in Ukraine and the accusations against the Russian Federation.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lini tunarudi kuichukua mji wa Kherson?Utaambiwa haya nimaoni yake uhuru wakujieleza jf unashangaza mnooo
UKRAINE inaangamia huko waache wajifanye hawaoni Elensky analialia tuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamtesa nani[emoji3][emoji16][emoji3]Hizi siku 4 mfululizo Putin kakuteseni sana wafuasi wake.
Lini mliuchuku kwan[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lini tunarudi kuichukua mji wa Kherson?
Unacomment kinyonge sana siku hizi.Vipi tunarudi lini Kherson kwenye mtego wetu tuliowawekea
Karibu kwa sherehe za kupandisha bendera ya Ukraine mji wa Kherson.
Russia wanapaswa kuimaliza hii kadhia. Hii SMO inamgharimu sana.Sasa kama unayajua haya,Urusi kakuanguashaje?
Hapa ni ukweli na logic. Ukikosa hivi vitu unakuwa mmoja wa wale mashabiki wa kuburuzwa. Usikubali kuburuzwa, tafuta ukweli na uupime kwa kutumia logic. Sijui kama naeleweka.Pro Russian washapoteana walikuwa wanaleta ma update mengi ya uongo washakimbia wamebaki viburi wa chache[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waliutawala sana huu UZI
Mji wa kherson unajua umeanzia wapi nakumalizia wapiKaribu kwa sherehe za kupandisha bendera ya Ukraine mji wa Kherson.
Kama hutojali MKUU tunaomba maelezo yako hapa kwamba Us hanazo hizo artillery kuipa UKRAINE ama zimemuishiaKuna watu tuliwaambia Russia hana na sio mtengenezaji wa hizo suicide drones mkabisha. Mzigo ulioletwa kwa ndege mbili za Iran tena zilikuwa tracked na mabeberu uliisha sasa hivi kimya.
Russia wanasubiri kuombaomba watumiwe mzigo mwingine wasumbue anga la Ukraine ila angalau kwa sasa air defence systems zipo baadhi ya maeneo ingawa zikiwa saturated with attacks zinatumia gharama kubwa
Ukipigana na nguruwe Utachafuka matope. Bora umkodishe kijana mdogo tuu afu uumpe silaha
Sasa mbona huko Iraq, Afghan mlichafuka matope?Mbona hamkumkodisha kijana mdo tuu mkampa silaha?
Ila hizi commercial drones anazotumia Ukraine zinawatesa Sana warusi, halafu zinaua vibaya[emoji26]
[emoji298]️The command of the Ground Forces of the Armed Forces of Ukraine published a video of the liquidation of the Russian military personnel.
[emoji117]Follow
@Flash_news_ua
Belgorod muda huu
[emoji298]️A fire started in Belgorod, Russia.
Photo from local social networks.
[emoji117]Follow
@Flash_news_ua
Kama ukiziacha zinaenda kuvuruga miundombinu ya muhimu na maisha ya watu si bora ukaingia hasara kuzitungua?Kutumia mifumo ya ulinzi kupambana na na hizi drone za kiiran ni hasara kabisa.