mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Jeshi la Ukraine halina uwezo wa kukomboa mji wowote hizo sehemu za khasoni ni jeshi LA Urusi limeondoka lenyewe kwa malengo yao.Hata hivyo Urusi bado ana control karibu 75% ya eneo zima la kharson.Lakini si tulikuwa tunaongelea Kherson hizo habari za KIEV umezipachika hapa wewe sasa hivi.Haya turudi sasa kule Kherson na ujibu swali,Je mji umekombolewa ama la?
Mihogo inaharibu akili sanaJeshi la Ukraine halina uwezo wa kukomboa mji wowote hizo sehemu za khasoni ni jeshi LA Urusi limeondoka lenyewe kwa malengo yao.Hata hivyo Urusi bado ana control karibu 75% ya eneo zima la kharson.
Yan mpka sasa hujui Himas imefanya kazi gan? siyo kosa lako tatizo vita inapigwa ukraine wewe uko kibaigwa unatoa coment na riportHiyo Himars imemmaliza nani?Kwahiyo Ukraine kashinda vita?Nasema kama huyo Afgan au Iraq wangepata msaada wa silaha Bora,mafunzo na Intelegensia kutoka 30+ nations kama anavyopata Ukraine basi hali ingekuwa tofauti!
Mpaka Sasa Russia kaonesha ukubwa wake,na hapo hajatumia style za hovyo kama za US Ile unaingia Kwa airforce,Unajua kila kinachoonekana then jeshi la ardhi wakuja kamaliza kufanya usafi!
Ndio hapo tatizo mnalishwa propaganda na west na mmejaa wazima wazima,west media propaganda imeondoka na wengi wenu!Yan mpka sasa hujui Himas imefanya kazi gan? siyo kosa lako tatizo vita inapigwa ukraine wewe uko kibaigwa unatoa coment na riport
Kama mandonga super power mbona hana ushawishi zaid ya iran ndiye kamsapot tena kwa kumuuzia .Ukubwa gani Russia kaonyesha zaudi ya kuhenyeshwa na vijisilaha kidogo alizipewa ukraine.
SMO gani inacontain mobilazation embu amka mkuu acha kulala.
Sikatai wazo lako .Ila Himas imebadili upepo tuache ushabikiNdio hapo tatizo mnalishwa propaganda na west na mmejaa wazima wazima,west media propaganda imeondoka na wengi wenu!
Fikiri ni mataifa mangapi yameisaidia silaha Ukraine?Lakini zinazopewa promo ni silaha za US kwenye media!Na hapo ndipo mmeshikwa akili,US Yuko kwenye biashara na anatumia propaganda kuwaaminisha ni silaha zake ndio zimesababisha mpaka Leo Ukraine kasimamahapo hapo mnajisahaulisha Kuna kanchi kadogo tu kashatumia zaidi ya 40% ya arsene yake Kwa Ukraine!
Germany,France wametoa silaha mbalimbali,ila huwezi sikia zikapata airtime!
Endeleeni kulishwa propaganda,akili wekeni mfukoni!
Bombers zake zitapita anga gani kudondosha?Ni kama mwaka 2007 ,mandonga alipoona USA kapiga watelebani kwa bomu kubwa kabisa lijulikanalo kwa jina la Mother of all bombs (MOAB).Naye akasema ametengeneza father of all bombs .CIA wakasema ni fake , Putin akalionesha kwenye gwaride ila hakuwah kutest.Sasa leo kama angekua nalo si angepiga huko ukraine maana hakuna kombora ambalo mandonga hajatumia Ukraine .Ndio maana wanamhofia atageukia nuke ,hii midicteta huwa ina mikwara sana.Nakumbuka nikiwa shule ya msingi tuliaminishwa sadamu anaweza kuangamiza dunia nzima kwa silaha zake za kibaiology.kumbe mikwara tuu.sasa hivi story imehamia kwa mandonga kuwa nyuklia alizonazo anaweza kuangamiza dunia nzima.Ngoja tuone hii picha
Wanadai Winter itamsaidia sana Ukraine na huenda Russia akaondoka Luhansk, Donesk, kabla ya MarchSasa afganistan unalinganisha na ukraine mkuu , vita viwili tofati kabisa ,nasema hivi kwa sababu vita ya Russia na Ukraine ni kubwa kuliko ya US kule afganistan,nikimaanisha Russia ametumia nguvu nyingi ukraine mpaka anafikia hatua ya mobilazation na kutishia kutumia nuke .Hilo US hakufanya afganistan
Pili kumbuka US aliikalia afganistan zaid ya miaka 10.Putin miji aliyoichukua sidhani hata mwaka atamaliza itarudishwa.
Alafu ukae ukijua chata ya US ni tai ,tai uliyemwona kanyonyoka manyoya enzi ya vietnam siyo wa leo.
Silaha moja tuu Himas imetosha kuwavuruga .
Na hiyo ni ndogo sana .
Upepo ukibadilika mseme pia Himars zimefeli!Sikatai wazo lako .Ila Himas imebadili upepo tuache ushabiki
Meanwhile
Us military budget is $700b
Asilimia 1 tu inamuenyesha hvyo
Sasa ndo ataweza kupigana na 700bilions kweli
kwani urafiki ndo unatengeneza silaha? 🙄Ndo umefika mwisho wa kufikiri?Iran si marafiki wao ni warusi unategea nini
Yaani ukisoma uchambuzi uchwara wa Jf unaweza kufikiri Urusi hakuna kitu wamefanya..na Ukraine imeichakaza vibaya mno Urusi..lakini ground Hali ni tofauti.Kwa kweli lilikuwa janga kubwa kwa jeshi la Urusi..,kule histomel airport waliwasubiri wote wakajaa .., alafu mvua ya maloket ikaanza kuwanyeshea..,wakaanza ku-fight for life [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app