Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Unatamani kusikia tu kile unachopenda kusikia.., jaribu kuvumilia pia Yale usiyopenda kusikiaYaani ukisoma uchambuzi uchwara wa Jf unaweza kufikiri Urusi hakuna kitu wamefanya..na Ukraine imeichakaza vibaya mno Urusi..lakini ground Hali ni tofauti.
Hapa ndipo unapo ona, kama taifa tuna safari ndefu sana ya ukombozi.
Hivyo mkuu tukisema 'Apache' ndio best attack helicopter gunship kwa sasa tupo sahihi sio ?..AH-64 Apache ni bora zaidi kuliko Ka-52. Distinguishing feature ya Ka-52 ni counter rotating rotors ambazo huifanya isihitaji tail rotor na kuipa stability kubwa zaidi angani na kuifanya iwe survivable zaidi maana tail rotors huwa ni dhaifu na zinaongeza chance ya kudondosha helicopter kama zikipigwa. Kumbuka rotors huwa nyepesi hata risasi moja ya .50 cal inatosha kuikata ikibahatisha shabaha. Ila kwenye vita hii imeonyesha Ka-52 inatetemeka ikibeba mzigo mzito, structure yake sio imara sana. Kutetemeka kunaharibu aiming.
Pia inategemea unguided rockets zaidi wakati Apache inazo guided missiles nyingi. Na mawasiliano yake sio mazuri sana, uwezo wa kuona adui mfano systems kama night vision nazo inapungukiwa. Ila ina speed kuliko Apache.
Kiujumla Kamov walifanya kazi nzuri kwa Ka-52 ila inaangushwa na subsystems zinazoundwa na subcontractors. Urusi unakuta silaha ina structure nzuri, engine nzuri ila electronics na communication systems za kawaida. Hakuna integration nzuri
Unavyozungumzia masuala ya kijeshi kwa mtu asiyegundua haraka uongo wako anaweza kufikiria wew ni proffesion military expertise, lakin kwa ambao wameshakujua tayari kuwa wew ni kituko basi hata vituko vyako unavyoandika haviwasumbui akili.Tanzania tunategemea Buk SAM systems za Soviet era. Kama iliyoangusha ndege ya Malaysia pale Ukraine mwaka 2014 kama sikosei. Sio za kisasa, ila huwa sipendi kuisema JWTZ nitaonekana sio mzalendo. Wabongo wanataka usifie ambapo hakuna.
Hizo Shaheed zinatumika kumaliza missiles za Ukraine maana zile interceptors zina gharama kubwa. Ukituma Shaheed zikadondoshwa mara zikiacha kudondoshwa unajua hawa wameishiwa interceptors unatuma cruise missiles kama Kalibr. Israel ingeingia ulingoni ndio tungepata dawa halisi ya hizo Shaheed maana dawa ya silaha ya Iran anayo Israel anayekutana nazo miaka yote
Kama mandonga putuni siyo eee!!!ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi
sio siku zote anayepiga mbio sana hushinda!
Hapana asee...nchii hii ina vijana wa hovyo sana....sure na kwambia...!Unatamani kusikia tu kile unachopenda kusikia.., jaribu kuvumilia pia Yale usiyopenda kusikia
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu huyo jamaa ni kituko hivyo usishangae vituko anavyoandika.Jamaa umekua waajab sana ujue
Tunaheshimu sana mawazo yako na wala hatutaki uamini tunachokiamini
Ila tukukumbushe tu sio Bwana Utam wala Jesus Mlokozi wala Galip Vrl na wala sio pro PUT IN ama RUSSIA yeyote aloichukua RUSSIA akaieka hapo ilipoekwa
Nenda kwenye hizo MSM zenu mnazodai ndio reliable ama popote ambapo wameandika ama waliandika halaf waulize kwanini waliieka RUSSIA hapo nasio UK GER nk
Yaani licha ya hii SMO mnayosema eti imefeli na ponda ponda zenu huko kwenye MSM nahuku jf bado hakuna GER UK wala nchi yeyote ilioshika nafasi ya RUSSIA
Sasa unaposema sisi tulidanganywa na hao waloieka hapo RUSSIA hawakujua haya unayoyajua wewe yaani wewe unajua zaidi kuliko hao waloieka hapo RUSSIA
Mnatulaumu bure sisi tunafata data sio za RUSSIA bali zaulimwengu popote pale utakapoenda wanamrank RUSSO kama namba mbili ila bwana wewe sijui data zako unatoa wapi ambazo ziko very reliable
Jengine unamtetea huyo kichaa wa NATO au tulete twita za BIDEN hapa anaesema kama hawataki direct confront na RUSSIA wewe unajua kama RUSSIA dhaifu ila yule mpuuzi BIDEN hajui lolote
Tunaheshimu mawazo yako ila huu ujuaji wako kuliko wajuaji unatutia shaka
Haya RUSSIA kavamia nchi ya watu kapiga na anaendelea kupiga kaua na anaendelea kuua umeona msaada gani wamaana toka kwa hao unaowaita wababe dhidi ya mdhaifu kama RUSSIA !!?
NATO walitoka mamia ya miles wakaenda kuwahami raia wa LIBYA wakaeka No Fly zone wakatetea raia dhidi ya rais wao
Ila wanashindwa kukaa hapo boda wakaeka No Fly Zone wakatetea taifa la UKRAINE linaloangamizwa na RUSSIA kilaleo
RUSSIA kupitia hii SMO yake kaonesha ukuu wake dhidi ya NATO maana nje ya vikwazo hawana wanaloweza kumfanya na vikwazo vyenyewe havina impact yeyote maana kama SMO inaendelea kama ilivyoanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakukimbia, alifurumushwa kwa kipigoUrusi hakukimbia Afghanistan jamani,msipotoshe.tulishaeleza sana hili humu jukwaani.
Kwahiyo cheers TU tayari unahisi China Yuko tayari kufata matakwa ya US?Mjanja mjanja kaenda kuumuza putini....
Hapa hela tu , Aisee China ni dunia nyingine....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2417008
View attachment 2417010