Mkuu Ukraine kashatoboa - Vita kwishiney.....Tunachojua ni kwamba urusi kafurushwa huko kheson city..,hayo mengine ni chai tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu nadhani ni vyema ungekuja na hoja za kupinga kile alichojenga T14 Armata. Hiki ulichofanya ni sawa na taarabu na majungu ya kike tu.Unavyozungumzia masuala ya kijeshi kwa mtu asiyegundua haraka uongo wako anaweza kufikiria wew ni proffesion military expertise, lakin kwa ambao wameshakujua tayari kuwa wew ni kituko basi hata vituko vyako unavyoandika haviwasumbui akili.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] leta link ya source ya hii habari tafadhari,huwezi kutudanganya tena kama ulivyozoea
The Treaty of Versailles (signed in 1919) and the 1921 London Schedule of Payments required Germany to pay 132 billion gold marks (US$33 billion [all values contemporary]).UN General Assembly calls for war reparations to Russia for Ukraine invasion
The UN General Assembly on Monday passed a resolution providing for Russia to pay war reparations to Ukraine by 94 votes in favor, 14 against and 73 abstentions.
Andika wewe ukweli wako Sasa.....tunataka ukosoaji wa kujenga hoja zenye mashiko sio mipasho.Unavyozungumzia masuala ya kijeshi kwa mtu asiyegundua haraka uongo wako anaweza kufikiria wew ni proffesion military expertise, lakin kwa ambao wameshakujua tayari kuwa wew ni kituko basi hata vituko vyako unavyoandika haviwasumbui akili.
Hilo ni kweli mkuu, wengine unaweza kusema ni punguani flani..,yaani wamejaa upumbavu wa ajabu sana..,unakuta mtu bila aibu anamshabikia fashsti mmoja aliyevamia nchi nyingine bila kurushiwa hata jiwe [emoji848][emoji848]Hapana asee...nchii hii ina vijana wa hovyo sana....sure na kwambia...!
Huyo ni mhuni tu.., wahuni siku zote Huwa wanakaa kimachale sana[emoji23][emoji23]Mtemi wa vita anapoogopa mkutano wa wakubwa wenzake ..... teh teh teh
Vladimir Putin, the leader of Russia - a member of G20 - refused to attend and sent his foreign minister Sergei Lavrov instead.
Hilo halina ubishi mkuu, ukiangalia almost maeneo Yate yanayoshikiliwa na urusi Kwa kiasi kikubwa ni maeneo Yale Yale yaliyokuwa na vita tangu 2014..,[emoji848]Mkuu Ukraine kashatoboa - Vita kwishiney.....
Sasa tusubiri hatua za kisheria za kimaitafa kumhusu Putin.
Tuliwaambia wakatubishia !! kiko wapi sasa.
Niliacha kuchangia hii thread kwa upuuzi wa vijana wachache wasiojua chochote kuhusu hii dunia yetu. Eti wanaviamini vyombo ya habari vya madikteta na mafashisti kuliko vyombo vya habari vilivyo huru.Mkuu Ukraine kashatoboa - Vita kwishiney.....
Sasa tusubiri hatua za kisheria za kimaitafa kumhusu Putin.
Tuliwaambia wakatubishia !! kiko wapi sasa.
π π π πHuyo ni mhuni tu.., wahuni siku zote Huwa wanakaa kimachale sana[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Translated into simpler language, Ukraine and Russia are essentially saying they NEVER EVER WISH or ENVISION PEACE in the near future. Both want the war to continue.Zaluzhnyi: Armed Forces will not accept any negotiations, agreements or compromise decisions
14.11.2022 22:28
The Armed Forces of Ukraine will not accept any negotiations, agreements or compromise decisions.
This was stated by Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine, Valeriy Zaluzhnyi, in a phone call with Chairman of the U.S. Joint Chiefs of Staff, General Mark Milley, Ukrinform reports with reference to the Telegram channel of Zaluzhnyi.
I assured that we will fight as long as we have the strength. Our goal is to liberate all Ukrainian land from Russian occupation. We will not stop on this path under any circumstances. The Ukrainian military will not accept any negotiations, agreements or compromise decisions. There is only one condition for negotiations - Russia must leave all captured territories," said Zaluzhnyi.
Usinifokee na kunikulupukia kaa umshauri mwenzio aache punyeto, na usidhanie kuwa hii Ni Mara ya kwanza mie kusoma uongo wake. Sasa nikulize wew boya wapi nimeweka mipasho peleka huko unajisi wako wa nyeto ndio maana akili zenu zinakuwa na ukungu na uwezo mdogo wa kufikiria na kuishia kuandika uongo.Andika wewe ukweli wako Sasa.....tunataka ukosoaji wa kujenga hoja zenye mashiko sio mapisho.
Afu wew memkwa mapisho ndio niny!Andika wewe ukweli wako Sasa.....tunataka ukosoaji wa kujenga hoja zenye mashiko sio mapisho.
atandikwe tu huyo ili next time awe na adabu, kituo kinachofuata CRIMEA.. πTranslated into simpler language, Ukraine and Russia are essentially saying they NEVER EVER WISH or ENVISION PEACE in the near future. Both want the war to continue.
Haya ni mapumbavu..bila shaka hata lile kenge Putin mitoto yake inazurura tu huko kwenye miji ya westHaya boss wenu huyo Anti US[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2417305