Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uzi huu ufungwe. Vita imeisha ingawa bado huyo Gaidi mtoa roho za raia anatafuta aanzaje kuishi bila kunywa damu.
Huu uzi walijaa warusi wengi humu na tuliwaambia mrusi atashindwa, wakabadilisha na lugha na kuanza kuongea kirusi.
Tukawa wapole maana kirusi hatujui. Bahati nzuri ikaja uzi mwingine iliyosema Uzi wa picha mbalimbali kutoka vita ya Ukrain, humo wakawa wengi ni wenye akili wa kupenda NATO.
Niseme huu uzi imeisha kazi yake

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Hii ndiyo kazi ya mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani....

“Biden underscored that the United States and China must work together
to address transnational challenges — such as climate change, global macroeconomic stability including debt relief, health security, and global food security — because that is what the international community expects,” the White House said.

The official Chinese news agency, Xinhua, also cited Xi as saying that the “two sides should work with all countries to bring more hope to world peace, greater confidence in global stability, and stronger impetus to common development”.

 
Yale mashenzi mengine yanawaza kutengeneza nyuklia tu na kuvamia nchi za watu wakati wananchi hali ni ngumu.

Urusi kubwa jinga
 

aliikalia miaka 20.
 
Huna akili
 
Ww ndio kilaza usiye jua tofautisha kurusha na kutengeneza.
 
Ni kweli
 
Sio akili tu hata fuvu halimo uyo
Wew bichwa panzi kwakuwa umelelewa na wazazi waliokua wanategemea Kula kweny NGOs, za westerns na saiv kukosa mseleleko huo uliopelekea kuamishia hasira na matusi yako kwa urusi. Kutokana na kuishi kwako kindezi. Kwa kushinda jf kwenye jukwaa hili ukipost pumba zile zile kuhusu urusi, Jitahidi ukatibu ugonjwa wako wa akili au tafuta idea yoyote ya kishoga inayolipa afu uende kwenye ubalozi wa kimarekani ili wakusaidie kuingia kwenye LGBTQ community kwa kulipa fadhila za wew kuwalea wazazi wako ili uondoe mistress yako ya kipumbavu usije kutuambukiza nasie mbwa wew.
 
Proputin/Pro-Russia wana mbwembwe sana, wameleta hadi Kirusi JamiiForum[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Kwa hiyo russia katengeneza kwa kutumia technoy yake we kilaza kweli wakati baadhi ya componets kanunua Germany
Umesha sema baadhi hata hiyo Ujerumani bidhaa zake mfano magari yanatengenezwa kwa kutumia teknolojia kutoka nchi tofauti.
Kwa hiyo punguza ushamba.
 
Kwa hiyo sasa hivi hamuikomboi tena Cremea na Dombas mmewaachia Urusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…