King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Maskini ndama ona ulivyopanick mpaka unandika ujinga angalia usije ukajiua huko ulipo, ulidhani mie naogopa matusi wew tukana sababu unajionesha ulivyo na ufinyu wa akili, aya umeshanyonya wew ndama jike Kama tayari lia moooo🐄🐄🐄 afu ukanye ukalale.Ndama ni aliyekuzaa akapatikana ngurue wewe msenge mmoja usiyejuwa adabu kumalyamamayo.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Mkuu humu jf Kuna member nusu binadamu nusu ndama 😁Pro Ukraine amechafukwa na kuanza kutukana ovyo kama chizi baada kupigwa Spana za kichwa na Pro Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] piga hao kenge
Hayo mengine tuyaache tiyari mwanachama mmoja amesha pigwa tunahitaji kuona madege ya kimarekani unayo shinda humu unaya sifia yakipaa kwenye anga ya Urusi yakidondosha mabomu.Mwenye mikwara nani. Russia alidai atakayetoa misaada Ukraine anapigwa, Marekani inatangaza kabla haijatoa misaada. Na nchi zote hata ndogo zinatangaza. Finland na Sweden zimepeleka maombi kujiunga na NATO kwa kudharau mikwara mbuzi kutoka kwa Urusi.
NATO haiiogopi Urusi, Marekani haina muda kubishana na GDP level za California. Hao kina Germany, France wako busy na uchumi mambo ya kuringia gesi ni ya kina Nigeria
NATO hawawezi kujiingiza mazima kumbuka hata Turkey ambae ni NATO member iliwahi tungua ndege ya Urusi na kuua marubani wote wawili na hakuna kitu ambacho Russia ilifanya zaidi ya Putin kutoa hotuba ya vitisho tu.
Kwanini hujazungumzia vikwazo vya bidhaa za kilimo ambavyo mrusi alimwekea Turkey mpaka Rais wa Turkey akaenda kuomba msamaha yakaisha?
Turkey ilivyotungua ndege ya Urusi na kuua marubani wake wawili uliona ndege ya Russia zikiruka kuishambulia Turkey ambae ni NATO member?! ...Zaidi Putin alitoa hotuba na kuiambia Turkey imefanya ugaidi!!!Hayo mengine tuyaache tiyari mwanachama mmoja amesha pigwa tunahitaji kuona madege ya kimarekani unayo shinda humu unaya sifia yakipaa kwenye anga ya Urusi yakidondosha mabomu.
Ili tujue kweli kama Urusi ni super power wa mchongo au la.
Bila ya NATO us kama somalia tuUnadhani article 5 hua inatumika tumika tu kirahisi rahisi?!
Kwanza NATO sio Supapawa, Supapawa ni mmoja tu nae ni United States of America [emoji1258][emoji1258][emoji1258]
Ndama 🐄🐄🐄 Kama ushamaliza kunyonyeshwa basi utoke zizini ukalale ndani.Ndama ni mama yako. Kama unatakakunyonywa tafuta watu wakukunyonya mimi sio mnyonyaji.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Ndugu zako Russia mbona wanakataa kwamba si wao waliorusha hizo kombora Poland [emoji3]
Wew ndama 🐄🐄🐄 a.k.a mooo, ushatoka zizini kunyonyeshwaHiyo darsa jifunze menyewe huna elimu hata moja yakuwezakunifunza.
Kama umfanyaji wa hayo unayoyataja mda wote ni kwako mwenyewe. Maana ndio hoja zako.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Hahahaha Yani Erdogan huyuhuyu aende kumuomba Putin msamaha kisa tu kuzuiwa bidhaa za kilimo?! Yaani Turkey haikuiomba msamaha Marekani ilipoitoa kwenye F-35 program ambayo Turkey ilichangia billions ije iiombe Russia Kwenye biashara ambayo thamani yake hata $ bilioni moja?!
Erdogan na Putin (na Trump)sio type za kuomba misamaha ni zile type vichwa ngumu mnaelewena baada ya kufanyiana umafia. Hizo type hua hazikubali kushindwa.
[/QUOTE
Kisheria Kutokujua kwako sio utetezi.
Nenda katafute ujifunze kwamba uko Kwa NATO zaidi ya 80% of military hardwares zinatoka wapi?!
Hahahaha Yani Erdogan huyuhuyu aende kumuomba Putin msamaha kisa tu kuzuiwa bidhaa za kilimo?! Yaani Turkey haikuiomba msamaha Marekani ilipoitoa kwenye F-35 program ambayo Turkey ilichangia billions ije iiombe Russia Kwenye biashara ambayo thamani yake hata $ bilioni moja?!
Erdogan na Putin (na Trump)sio type za kuomba misamaha ni zile type vichwa ngumu mnaelewena baada ya kufanyiana umafia. Hizo type hua hazikubali kushindwa.
Kwa hiyo ulitegemea wakiri?Ndugu zako Russia mbona wanakataa kwamba si wao waliorusha hizo kombora Poland [emoji3]
Wanaogopa Nini!
Leta source tuone huo msamaha,yanini kuandikia mate wakati wino upo?!Kutokujua k
RUSSIA hana lakuogopa hapa DUNIANI mzeeNdugu zako Russia mbona wanakataa kwamba si wao waliorusha hizo kombora Poland [emoji3]
Wanaogopa Nini!
Leta source tuone huo msamaha,yanini kuandikia mate wakati wino upo?!
Leta source!!!!
Yakumnufaisha ama laa sio hojaNenda katafute ujifunze kwamba uko Kwa NATO zaidi ya 80% of military hardwares zinatoka wapi?!
Inshort NATO inamnufaisha Sana US maana kwenye NATO inatakiwa utumie 2% ya GDP yako kwenye Ulinzi,hapo nchi hizo hela hupeleka Marekani kununua vifaa vyao vya kivita. Mfano mzuri baada ya Russia kuvamia Ukraine
Poland imetoa order ya Himars 500
Ujerumani imeongeza budget ya Ulinzi $100bn ambapo Kati ya hizo imeagiza F-35 (ambayo mwanzoni walisema hawatonunua sababu watatengeneza Yao),Chinook helicopters,nk
Baltic States zimetoa order ya Himars
Ufaransa imetoa order ya switchblade drones
Bado, Uingereza,nk $$$$ zote hizo zinaenda [emoji1258][emoji1258][emoji1258]
Nyani katema bungo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ka google mwenyewe yaani unataka nikutafunie kila kitu kwani wewe njiwa.