Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndio ujue pentagon Wana akili kuliko huyo mwehu unayemsifia humu anayerusha hovyo makombola.

Huwezi tu kuipiga nchi kisa vikombola viwili vilivyorushwa mpakani probably ni kwa bahati mbaya.

Apige seriously na dimage kubwa itokee uone atakavyoshughulikiwa kikamilifu
 
Mkuu embu acha utoto Russia ana maadui ndani na nje ya mipaka yake ,hivyo hili swala ni la kiuchunguz zaid kubain kweli kombora limetoka direct toka Russia au la.Embu acha mihemuko vita havipigwani kwa kuhisihisi ,vita ni uhalisia.

No concrete evidence on who fired missile: Duda​

Poland’s president has told reporters there is no concrete evidence – as yet – indicating who fired the missile.
“We do not have any conclusive evidence at the moment as to who launched this missile… it was most likely a Russian-made missile, but this is all still under investigation at the moment,” Duda said.
 
..Yatapita kimya tu...maana supa pawa wa mchongo kakanusha kuhusika
Nadhani NATO hamna kitu wanaweza fanya hapo, wazungu wako selfish na maendeleo yao hamna nchi iko tayari kuharibiwa sababu vita vya nchi nyingine, NATO wanaangalia na nchi za kuingilia.

Anyways, Kuna taarifa kutoka Polish security forces zinaonyesha hiyo milipuko Poland imesababishwa na Air defence system ya Ukraine (S300) wakati inajaribu kuintercept missiles zilizokua zimetumwa jana.

Kuna mdau humu aliuliza hivi hizo missiles from Air defence system zikishindwa kuintercept missile zinaenda kuangukia wapi? Nadhani jibu tumeshalipata.

Nimekua interested kuona Poland imeguswa na kombora alafu US official kusema ni Russian missiles ndio ime hit, ngoja tuone majibu baada ya "vikao vya dharura"



 
Nakwambia hayo ya porn sijui ujinga gani ni yako mwenyewe ila ujue kuwa ndama ni mamayako aliyekuzaa.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Mwenye akili finyu ni wewe unaeona comments za watu balada ya kujibu kwa hoja unawatukana na wewe unaejiona nikichwa unashindwa nikuleta hoja za kupinga.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ndama ni mama yako.

Hatasijapaniki ni upumbavu wako wako tu akili.

Eti ndama. Sasa utaheshimu comments za watu nishakupa darsa murua.

Ukiona comments za watu hazijakufurahisha zipinge kw hoja badala ya kumtukana mtu huwezi soma pita kimyakimya.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hujui chochote kuhusu vita nyamaza
Sawa kamanda mbobezi wa vita, mjuzi wa vita vya familia yako.

Umekaa nyuma ya keyboard unajiona unajua sana vita kwa kupiga porojo hapa.

Kwa Dunia yetu iliyostaarabika ni mpumbavu pekee ndio anaweza kupiga watoto kwa kosa alilofanya mzazi.

Vita inapiganwa on batterground kwanini huyu mpuuzi apige makazi yawatu ambako hakuna hata mwanajeshi mmoja anayeishi hapo.


Hizi ni dalili za kuchoka kwa wanajeshi wa Urusi na sio mbaya kwake kunyoosha mikono na kurudi kwao.


Wewe kamanda na mbobezi wa vita aliekuambia kupiga civilians ndio kushinda vita ni nani?


Hawa na Rusians na M23 hawana tofauti kabisa.
 
Russia yeye anapiga tu,sensa utajifanyia mwenyewe!Wakati wa kufukua watu buku kwenye kaburi moja ndio Huwa mnajihesabu vizuri!

Tokea vita imeanza,Ukraine Huwa tunaoneshwa makazi ya kiraia tu,ndio mnaaminishwa kwamba since day one Russia anashambulia makazi ya watu na miundombinu!

Can I really believe that?Tumiavtu common sense!

Propaganda na media support vinawabeba sana Ukraine kwenye macho ya watu,tofauti na uhalisia!
 
Ila Marekani huyo huyo anatoa silaha ambazo haziwezi kutua Moscow na anatoa maelezo kabisa kwamba anafanya hivyo kuepusha escalation of the war😃😃😃!
Sasa kati ya wewe na Biden,tukwamini nani?
NATO wa buza mnachekesha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…