Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baada ya tukio ilo kutokea Turkish Army 65th Mechanised Infantry Brigade ilivunjwa.sasa jiulize kama walikiwa wanajeshi 33 ingevunjwa?
Hayo ni maamuzi yaliyofanywa na uongozi wa kijeshi lakini bado haithibitishi kwamba waliuawa wanajeshi 200. Maana hakuna ushahidi,hata Syria iliyofanya hilo shambulizi haikutoa hiyo idadi.
 
Kiufupi Urusi na mataifa ya magharibi wote wanaogopana kutokana na nguvu za maangamizi walizo nazo.
Hapa umeongea sahihi. NATO ipo sababu ya kujilinda na Urusi na marafiki zake. Na Urusi inajua kitakachotokea iwapo itapambana na NATO katika vita na kwa akili ya kawaida haiwezi ruhusu hilo litokee kizembe.

Mengine yote ni ushabiki tu ambao hata hauna maana.
 
Hayo ni maamuzi yaliyofanywa na uongozi wa kijeshi lakini bado haithibitishi kwamba waliuawa wanajeshi 200. Maana hakuna ushahidi,hata Syria iliyofanya hilo shambulizi haikutoa hiyo idadi.
Mbona mgumu kuelewa. Syria akufanya ilo shambulizi maana msafara ulishambuliwa na ndege aina ya SU-34 bomber na izi ndege hakuna mwenye nazo zaidi ya Urusi tu
 
Kilaza ikiwemo na ww Shekhe. Hua napenda tubishane kwa hoja na sio matusi.
Urusi mwenyewe kasema hajahusika

Marekani kasema urusi hajahusika

Ukraine wenyewe wanasema wao ndo walirusha hayo makombora wakati wakijaribu kudungua makombora ya Urusi

Wewe ndio naona umekazana kuonyesha kwamba Urusi kahusika,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbona mgumu kuelewa.Syria akufanya ilo shambulizi maana msafara ulishambuliwa na ndege aina ya SU-34 bomber.na izi ndege hakuna mwenye nazo zaidi ya Urusi tu
Syria wanasema ndo waliofanya shambulizi, Turkey wanasema Syria ndio ilihusika,Russia inasema haikuhusika...wewe unasema Russia kwa kutumia Su-34 ndo ilihusika!!! Sasa hapo nikuamini wewe au Turkey na Russia?!

At least 33 Turkish soldiers have died in a Syrian government attack in opposition-held north-western Syria, in a major escalation of the conflict.

Turkey, which backs the opposition, says it hit 200 government targets in response, "neutralising" 309 soldiers.

Russia, Syria's key military ally, says Turkish troops were attacked in Idlib province by Syrian forces while operating alongside jihadist fighters.

The EU has warned the crisis could escalate further.

Syria war: Alarm after 33 Turkish soldiers killed in attack in Idlib

Rahmi Dogan, the governor of Hatay province, told the state-run Anadolu news agency that he and other Turkish officials blamed the strikes on the Syrian government.

Russia’s defense ministry on Friday denied that its aircraft had been operating in the area and said the Turkish troops had come under fire from Syrian government forces. The ministry in a statement blamed Turkey for failing to inform Russia of the troops’ location and said they had been mixed in with “terrorists.”

As soon as Russia became aware of the Turkish casualties it took “exhaustive measures” to have the Syrian government forces ceasefire and allowed Turkey to evacuate its dead and wounded, the ministry said.

Turkey’s president Tayyip Recep Erdogan on Friday spoke with Russia’s president Vladimir Putin by phone about the incident on Friday, both president’s offices said. The two agreed on the need for “additional measures” to resolve the situation in Idlib, the Kremlin said in a readout.

In Turkey, Erdogan convened an emergency meeting of his security council in response to his troops’ deaths and on Friday officials vowed retaliation against the Syrian government. Turkish officials later in the day said their military had struck back at 200 Syrian government targets in Syria.

Russia denies responsibility after strikes kill at least 33 Turkish troops in Syria
 
Sasa kwanini akanushe kama sio uwoga huo.Anaerusha ngumi ndoige na anajiamini angekaa kimya akawaacha wao waamue lakini kukimbilia kujitetea siyo yeye ndiyo Umandonga wenyewe huo.
 
Super anaendelea kukimbia baada ya Jeshi la Ukraine kuvuka mto jana wanaelekea Crimea naona kufucha aibu wakaina warushe makombora kwenye makaziView attachment 2418168
Morogoro kaskazini unaona wenzio wanaleta na source ya habari zao.Na wewe tuletee sasa source ya zile comments zako na siyo kutuambia habari ikiwa inaning'inia hewani tu.
 
Sasa kwanini akanushe kama sio uwoga huo.Anaerusha ngumi ndoige na anajiamini angekaa kimya akawaacha wao waamue lakini kukimbilia kujitetea siyo yeye ndiyo Umandonga wenyewe huo.
Sasa kwanini na NATO wasimsingizie Ili wapate sababu ya kumvamia?Walifanya hivyo Kwa Iraq,akasingiziwa kuwa ana nuclear na akavamiwa!
 
Tumeanza na Poland, next ni Wingereza.tutagawa dozi kwa kila mmoja mpaka muombe msamaha.


KENGE WA BLUE NYIE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Vita ni pamoja na propaganda ulitaka wafanyeje? Mbona RT nao wanafanya sansa tu hizo propaganda.Kuzidiwa kwa propaganda za Russia ndiyo kufail kwenyewe.
Unajisifia mtu kuua maelfu ya watu wasio na hatia.Tukiwaambia nyinyi Pro Russia mna akili za ajabu sana kushabikia mauaji ya raia wasio na hatia tutakuwa tunakosea.Bila aibu kabisa unaandika eti " sensa ya kufukua watu buku" what a heartless comment [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…