Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

T14 Armata naona mpaka kufikia kesho jioni hakutakuapo tena na taifa lasuper power wamchongo

Maana tayar huko memba wenu wa NATO kashaguswa

Nategemea kuiona ile atiko yenu yakujilinda pindi mwanachama mmoja akishambuliwa ikitumika hapa

Nahisi yale maombi yenu yakuguswa wanachama wa NATO imetimia na kufa juu sasa acha tungojee tuone kama NATO wataifungia kazi super powa wamchongo


[emoji778]️Two stray missiles fell in Przewodau in Poland's Lublin province on Tuesday.

[emoji617] The initial information is that two Polish citizens were killed.

[emoji617] According to Radio Zet from Poland, today Russia targeted the suburbs of Lublin near the Ukrainian border in its missile attacks.




Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua maana ya stray missiles ungeficha aibu yako hapa
 
Sasa kwanini na NATO wasimsingizie Ili wapate sababu ya kumvamia?Walifanya hivyo Kwa Iraq,akasingiziwa kuwa ana nuclear na akavamiwa!
Na Ukraine alikusudia wafanye hivo kwa kumsingizia maana hata yeye alijua kabisa lazima wajue kombora wapi lilitokea lkn li kuoata sababu ya kumvamia wangekaza shingo wakamsingizia Russia wakamvamia. Lkn imekua kinyume.

NATO wameniangusha sana.
 

Kherson Oblast: Russians retreating 15-20 kilometres inland on left bank of Dnipro River​

Ukrainska Pravda
Tue, November 15, 2022, 12:31 PM·1 min read
6a33543b2868921cc9ced9fd406b2f05

The Russian occupation troops are moving 15-20 kilometres inland from their constructed frontiers on the left bank of the Dnipro River in Kherson Oblast in order to avoid attacks by the Armed Forces of Ukraine. However, the south defence forces are taking the Russians’ logistics under their fire control.
 
Marekani kaiweza USSR aje ashindwe Russia? Taifa lililoanzishwa 1991 kama masalia ndio unataka lishindane na Marekani?

Yani Marekani itishwe na nchi iliyowahi tawaliwa na marais watatu tu tangu ianzishwe? Come on futa hiyo njaa kichwani
Yaani hapo ndio umejiona umejenga hoja😃😃!
Tunasubiri hiyo siku US+NATO wamvamie Putin!
Ukiona nchi zinajikusanya kujilinda dhidi ya taifa Moja basi ujue Hilo taifa sio la mchezo mchezo!
Inamaana wewe una akili kuliko hao walioanzisha NATO kujihami dhidi ya Mrusi?😃😃
 
Vita ni pamoja na propaganda ulitaka wafanyeje? Mbona RT nao wanafanya sansa tu hizo propaganda.Kuzidiwa kwa propaganda za Russia ndiyo kufail kwenyewe.
Unajisifia mtu kuua maelfu ya watu wasio na hatia.Tukiwaambia nyinyi Pro Russia mna akili za ajabu sana kushabikia mauaji ya raia wasio na hatia tutakuwa tunakosea.Bila aibu kabisa unaandika eti " sensa ya kufukua watu buku" what a heartless comment [emoji15]
Halafu Huwa mnaondoa kwanza askari waliofukiwa mnaacha raia ndio mnaita media!Vita lazima Kuna collateral damage!
Nitajie vita Moja tu iliyopiganwa bila raia wa kawaida kuuwawa!
 
Warusi wa Mama Samia nyuzi joto la munkari wa vita limeshapanda kufikia 100 Centigrade,wao wanataka NATO ajibu mapigo [emoji23][emoji23]
😃 . Kuna Kiu ya vita kuliko wahusika.
 
Trup si ni mshikajiwa wake Putin, ajiangalie sana kwa kauli zake hizi kwamba Putin aachwe afanye anachotaka kwa sababu tu ana makombora ya nuclear.
[/QUOTE
Trump si Mbowe
 
Pamoja na mimi kuheshimu sana pia comments zako na wewe pia ulipaswa kutazama hiyo comment nimeandika muda gani. Unaleta maelezo ambayo yametoka baadae sana,wakati najibu hiyo comment kulikuwa haya maelezo bado hayajatoka.Otherwise huwa una kupanic kwa aina flani hivi unaposomaga kile ambacho hupendi kukisikia japokuwa huwa unajitahidi sana kuficha kwa kutumia lugha ya staha.
🤣
 
Hujui NATO inavyoendeshwa wala articles zake zilivyo. Haiendeshwi kama kilabu cha gongo kama kule ambapo yule mtu akikaa kwenye meza kubwa kama uwanja anaamua sasa tutimue mbio tulikopigisha kura na kudai ni sehemu yetu.

Stray missile haiwezi anzisha vita. Sio kombora la kwanza kudondoka Poland na linaweza lisiwe la mwisho. Hata ingekuwa limerushwa makusudi na matangazo juu bado isingeanzisha vita.

Turkey iliipiga ndege ya Urusi na rekodi ikatoa na rubani akafa ila wakaishia kufanya vikao. Juzi hapa Turkey ilizuia meli za kivita za Urusi kupita kwa zaidi ya miezi miwili. Wameufyata
Ndio maana siku hizi nakuita kilaza kwahiyo unataka kuniambia ya kuwa hujui ya kwamba mlango wa kuingia kwenye bahari nyeusi inamilikiwa na Uturuki kisheria ndio maana unahitaji ruhusa ya Uturuki kupita?
Angekuwa kazizuia kupita kwenye maji ya kimataifa ndo ningeiona Uturuki ni mbabe kweli.

Tuongee yote lakini NATO na Urusi wanaogopana kutokana na nguvu za maangamizi walizo nazo.

Kwa hiyo tupupunguze ujuaji wa kijinga.
 
Marekani kaiweza USSR aje ashindwe Russia? Taifa lililoanzishwa 1991 kama masalia ndio unataka lishindane na Marekani?

Yani Marekani itishwe na nchi iliyowahi tawaliwa na marais watatu tu tangu ianzishwe? Come on futa hiyo njaa kichwani
Huyo huyo Marekani aliye iangusha USSR ndio huyo huyo aliye shindwa kuiangusha Vietnam na Talban kwa hiyo acha kukalili.
 
Hiyo paragraph ya mwisho ndiyo umeonyesha kiwango cha juu kabisa cha kupanic mpaka hata kuandika tu maneno ya kawaida kabisa unakosea mwanzo mwisho.
Nimewaita vilaza kwa sababu hamjui chochote lakini mnajifanya kujua.

Mnaicheka Urusi kupata upinzani nchini Ukraine, wakati anacho kipitia Urusi nchini Ukraine hata Marekani alisha kipitia nchini Vietnam , Afghanistan na Somalia tena sio kupata upinzani tu bali alipata kipigo cha paka mwizi mpaka akakimbia kwa aibu.

Kwa mtu anaye jua historia kama hizo huwezi kukuta anapanua mdomo wake kuidhihaki Urusi.

Ndio maana tangu vita ianze hakuna kiongozi yeyote wa kijeshi duniani alisha sikika akilidhaki jeshi la Urusi sababu ugumu wa vita wanautambua vizuri.
 
Sasa kwanini wanaita kikao cha NATO?hawa jamaa kweli hawana kitu.
Unajua mkuu,kwamba Russia haihusiki ni mawazo binafsi ya Biden,but things must be proved on the ground.Hata hivyo kwa kuwa Biden ameshasema Russia haihusiki,the rest is formality.

Matamshi ya Biden ni obvious sign ya ku-soften tone ili kuweka groundwork for possible future negotiations between Kyiv and Moscow,jambo ambalo Washington inali-push behind the scenes.

Inaelekea according to Washington,short term goals za Washington za kuwa na the Russian-Ukraine War zimeshakuwa achieved.And that is to destroy the Russia &EU economies and co-operation,especially with Gernany,ili US iwe the sole supplier of gas and other commodities to the EU.Note for example that the EU is now buying US
liquefied gas at 4-6 times more than Russian gas,prices which the EU has categorically said are unsustainable.
 
Sasa kwanini na NATO wasimsingizie Ili wapate sababu ya kumvamia?Walifanya hivyo Kwa Iraq,akasingiziwa kuwa ana nuclear na akavamiwa!
[emoji23][emoji23][emoji23] waseme tu makombora yaliyorushwa na urusi ndio chanjo cha hizo air defence missiles kufyatuka na kuleta madhara poland, so wakamnyooshe urus kama wanaweza
 
Nimewaita vilaza kwa sababu hamjui chochote lakini mnajifanya kujua.

Mnaicheka Urusi kupata upinzani nchini Ukraine, wakati anacho kipitia Urusi nchini Ukraine hata Marekani alisha kipitia nchini Vietnam , Afghanistan na Somalia tena sio kupata upinzani tu bali alipata kipigo cha paka mwizi mpaka akakimbia kwa aibu.

Kwa mtu anaye jua historia kama hizo huwezi kukuta anapanua mdomo wake kuidhihaki Urusi.

Ndio maana tangu vita ianze hakuna kiongozi yeyote wa kijeshi duniani alisha sikika akilidhaki jeshi la Urusi sababu ugumu wa vita wanautambua vizuri.
While na support baadh ya vitu ulivyo andika. For the record tu reasons za kuondoka somalia, afganistan si kwa kukimbia (kama ulivyostate)
Maana hata russia afganstan walipashindwa but walikimbia kwa kichapo? No
 
Halafu Huwa mnaondoa kwanza askari waliofukiwa mnaacha raia ndio mnaita media!Vita lazima Kuna collateral damage!
Nitajie vita Moja tu iliyopiganwa bila raia wa kawaida kuuwawa!
Umeona aibu hadi unajaribu ku coat sugar comment yako ya kwanza.Hiyo collateral damage unajaribu kuipachika hapa kwa sasa ili tu kupunguza ukali wa comment yako ya mwanzo.Na ndiyo maana sisi tumeamua kusimama na Taifa linalojitetea dhidi ya Blood war monger kama Putin na wale wote wenye kufurahia damu zisizo na hatia kumwagika bila sababu.Unasema nikutajie vita yoyote isiyo na collateral damage,kwanza hii vita wala haikupaswa hata kuwepo kabisa.Ni vile hapa Duniania kuna Ma Vampire kama Putin wanaofurahia kuona damu za watu wasio na hatia zikimwagika bure ndiyo maana hata vita hii ikawepo.
 
Back
Top Bottom