Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni uamuzi wa wananchi wa maeneo hayo!
Kama ni uamuzi wa wananchi wa maeneo hayo mbona imekuwa hivi Tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1668430230449.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa mawazo Yako,mtu kuwa na akili zaidi basi kipimo chake ni kuwa Rais😃😃😃!Umeniangusha sana Kwa mawazo mfu kama hayo!
Watu huwa wananishambulia sana na hii statement.

" Huwezi kuta ng'ombe akichunga kundi la masai"

Siku zote hata katila level ya familia, ukiruhusu kuongozwa na mamlaka isiyo na akili ujue ww huna akili zaidi.

Asiye na akili akitwaa mamlaka hata kwa bahati mbaya dhidi ya wenye akili, hawezi kudumu kwenye hiyo nafasi, wenye akili watamuondoa tu.
 
Kwa mawazo Yako,mtu kuwa na akili zaidi basi kipimo chake ni kuwa Rais[emoji2][emoji2][emoji2]!Umeniangusha sana Kwa mawazo mfu kama hayo!
Ili uweze kuwa Rais wa Taifa lolote Duniani,mojawapo ni utatakiwa uwe na utimamu wa akili. Ni wewe na mawazo yako mfu na ujuaji wa hapa JF tu ndiyo utamuona hana akili kwakuwa upeo wako ndiyo umefikia hapo.Kumbuka Zelesky ni Rais wa taifa lenye nguvu mara 100 kuliko Taifa lako katika nyanja zote na wewe hata kwa Taifa lako hujawahi kuwa hata balozi wa nyumba 10 [emoji1][emoji1].
 
Kwa hiyo marekani ya Vietnam unaifananisha na Nyie vilaza.Miaka kumi US kapigana Vietnam hajapoteza personel weng kama mandonga aliopoteza kwa miez 8.
Hata siku moja usilinganishe US ya miaka ile na ya sasa.mmepigwa mkubali mmepigwa siyo kuleta visingizio na kuanza kufanya hesabu za mlinganyo
Lakini jibu ni alishidwa vita acha kujifariji.

Kwani mshindi wa vita huwa anaamuliwa kwa hasara aliyo ipata au huwa anaamuliwa kwa matokeo ya mwisho kwenye hivyo vita?

Kwanza hakuna vita ambayo Marekani alishapata hasara kubwa kama vita ya Uvietinam maana alipoteza zaidi ya ndege 5000 ,na hata hiyo idadi ya wanajeshi wake walio uawa hakuna anaye ijua wenda idadi ni zaidi ya mara 4 ya aliyo itaja.
 
Kwa hiyo marekani ya Vietnam unaifananisha na Nyie vilaza.Miaka kumi US kapigana Vietnam hajapoteza personel weng kama mandonga aliopoteza kwa miez 8.
Hata siku moja usilinganishe US ya miaka ile na ya sasa.mmepigwa mkubali mmepigwa siyo kuleta visingizio na kuanza kufanya hesabu za mlinganyo
Vip kuhusu Talban ?
 
Watu huwa wananishambulia sana na hii statement.

" Huwezi kuta ng'ombe akichunga kundi la masai"

Siku zote hata katila level ya familia, ukiruhusu kuongozwa na mamlaka isiyo na akili ujue ww huna akili zaidi.
Aisee,mpaka tukupe mifano ya marais wendawazimu?
Halafu hapo nilikuwa nazungumzia uwezo wa kiakili!Sasa Inamaana Zelensky ana akili kuliko wa Ukraine wote?
Niliyemjibu amesuggest kwamba Zelensky ametuzidi akili ndio maana ni Rais!Kuwa Rais ndio kigezo Cha kuwa na akili kuliko wengine?
 
Watu huwa wananishambulia sana na hii statement.

" Huwezi kuta ng'ombe akichunga kundi la masai"

Siku zote hata katila level ya familia, ukiruhusu kuongozwa na mamlaka isiyo na akili ujue ww huna akili zaidi.

Asiye na akili akitwaa mamlaka hata kwa bahati mbaya dhidi ya wenye akili, hawezi kudumu kwenye hiyo nafasi, wenye akili watamuondoa tu.
You can say that again [emoji122][emoji122]
 
Ili uweze kuwa Rais wa Taifa lolote Duniani,mojawapo ni utatakiwa uwe na utimamu wa akili. Ni wewe na mawazo yako mfu na ujuaji wa hapa JF tu ndiyo utamuona hana akili kwakuwa upeo wako ndiyo umefikia hapo.Kumbuka Zelesky ni Rais wa taifa lenye nguvu mara 100 kuliko Taifa lako katika nyanja zote na wewe hata kwa Taifa lako hujawahi kuwa hata balozi wa nyumba 10 [emoji1][emoji1].
Mbona Putin mnasema hana akili?
 
Aisee,mpaka tukupe mifano ya marais wendawazimu?
Halafu hapo nilikuwa nazungumzia uwezo wa kiakili!Sasa Inamaana Zelensky ana akili kuliko wa Ukraine wote?
Niliyemjibu amesuggest kwamba Zelensky ametuzidi akili ndio maana ni Rais!Kuwa Rais ndio kigezo Cha kuwa na akili kuliko wengine?
Mkuu Bome...
With exceptions Kuwa kiongozi wa kundi fulani ni kigezo cha kuaminiwa uwezo wako wa kuliongoza hilo kundi. Sasa, uwezo wa kuongoza kundi unapimwa na nn?
(Ceteris paribus)
 
Mbona Putin mnasema hana akili?

Wakati mwingine watu wanasema hana akili ili kukerana tu humu ki pro pro sababu mtu akisema Putin akili hana basi kuna watu damu inachemka, akili inatokota, hasira n.k

LAKINI HONEST, PUTIN NA SERIKALI YAKE WANAZO AKILI NDO MAANA WANASUMBUA WENYE AKILI MPAKA WANAMKALIA VIKAO.
 
Putin stayed in Tanzania where he was training freedom fighters for more than five years, precisely in the period between 1973 and 1977. Though the period is yet to be confirmed as others claim it was in the 80s An old photo to that effect was unveiled a few years ago by a Zimbabwean News Outlet.

Did Russian President, Vladimir Putin, Really Live and Work in Tanzania?​

View attachment 2418276View attachment 2418279View attachment 2418279
tanzaniatimes.net/when-vladimir-putin-lived-in-tanzania/
nye
 
Ndio ujue pentagon Wana akili kuliko huyo mwehu unayemsifia humu anayerusha hovyo makombola.

Huwezi tu kuipiga nchi kisa vikombola viwili vilivyorushwa mpakani probably ni kwa bahati mbaya.

Apige seriously na dimage kubwa itokee uone atakavyoshughulikiwa kikamilifu
[emoji23][emoji16][emoji23]
Basi nanyie kapigeni bahati mbaya kule mpakani halaf muone kitakacho wakumba

Tena nyie musiue hata inzi muue hata kunguru ya RUSSIA muone mtakumbwa na nini

No Action Talk Only

[emoji778]️ناتو و G7 از لهستان حمایت می کنند و اقدامات روسیه را محکوم می کنن

[emoji778]️NATO and G7 support Poland and condemn Russia's actions




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Explosion in Poland caused by Ukrainian missile, Biden says — Reuters

The Russian Defense Ministry said there had been no Russian strikes near the Ukrainian-Polish border

[https://phototass3]

[emoji2398] REUTERS/Kacper Pempel

MOSCOW, November 16. /TASS/. US President Joe Biden told his G7 and NATO counterparts that the explosion in Poland had been caused by a Ukrainian air defense missile, Reuters reported on Wednesday, citing a NATO source.

The leaders of the G7 and a number of NATO countries held an emergency meeting on the sidelines of the G20 summit earlier on Wednesday to respond to the incident of a missile falling on Polish soil. After the meeting, Biden cited preliminary reports contesting claims that the missile that landed in Poland had been fired from Russia. "It is unlikely in the lines of the trajectory that it was fired from Russia," Biden said.

The Russian Defense Ministry said there had been no Russian strikes near the Ukrainian-Polish border. The Russian military agency pointed out that the published photos of the wreckage from the incident site have nothing in common with Russian weapons.

A missile hit grain dryers in the village of Przewodow in eastern Poland’s Lublin Voivodeship on the border with Ukraine, killing two people. According to the republic’s President Andrzej Duda, so far there is no evidence indicating who launched this projectile. The Polish Foreign Ministry insisted that it was a Russian-made missile.
 
Mkuu Bome...
With exceptions Kuwa kiongozi wa kundi fulani ni kigezo cha kuaminiwa uwezo wako wa kuliongoza hilo kundi. Sasa, uwezo wa kuongoza kundi unapimwa na nn?
(Ceteris paribus)
Ndio maana nikasema,kuwa Rais Haina maana una akili kuliko wananchi wengine wote!Nikaongeze pia Kuna viongozi wendawazimu wameshawahi kuaminiwa na wananchi wao kuongoza!
 
Putin stayed in Tanzania where he was training freedom fighters for more than five years, precisely in the period between 1973 and 1977. Though the period is yet to be confirmed as others claim it was in the 80s An old photo to that effect was unveiled a few years ago by a Zimbabwean News Outlet.

Did Russian President, Vladimir Putin, Really Live and Work in Tanzania?​

View attachment 2418276View attachment 2418279View attachment 2418279
tanzaniatimes.net/when-vladimir-putin-lived-in-tanzania/
Mkuu hii historia ina ukakasi kidogo jaribu kufatilia
 
Back
Top Bottom