Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimewaita vilaza kwa sababu hamjui chochote lakini mnajifanya kujua.

Mnaicheka Urusi kupata upinzani nchini Ukraine, wakati anacho kipitia Urusi nchini Ukraine hata Marekani alisha kipitia nchini Vietnam , Afghanistan na Somalia tena sio kupata upinzani tu bali alipata kipigo cha paka mwizi mpaka akakimbia kwa aibu.

Kwa mtu anaye jua historia kama hizo huwezi kukuta anapanua mdomo wake kuidhihaki Urusi.

Ndio maana tangu vita ianze hakuna kiongozi yeyote wa kijeshi duniani alisha sikika akilidhaki jeshi la Urusi sababu ugumu wa vita wanautambua vizuri.

Sawa sawa Mkuu mjuzi na mbobezi wa maswala ya kivita uliyepigana na kupata mafanikio makubwa sana kwenye medani za vita na Dunia yote inakutambua.Endelea kutupatia elimu sisi vilaza 🥱
 
Halafu tulio na kiu ya hii Vita sasa panya road tu huwa wanatulaza saa kumi na mbili jioni kuanzia wababa,wamama mpaka na watoto wetu.
Wapuuzi wanaparara tu hapa wapigane, wapigane wanasahau kuwa wakianza hizo ngumi mipaka ikafungwa na mitandao ikapotea kitakachobaki ni kutegemea tbc redio kutoa updates, mafuta kukosekana, na mafuta yakishakosekana hakuna usafirishaji wa chochote, mijini hakutakalika sababu hakuna chakula, serikali itashindwa kufanya kazi maana hata polisi hawataweza kuwa na usafiri, uhalifu utakuwa juu, Madawa hayatakuwepo, sindano hazitakuwepo, umeme utakata na mabalaa mengine mengi.

Sijui wanadhani vita vya NATO na Urusi vitakuwa vinatazamwa kama world cup 😃 😃
 
Umeona aibu hadi unajaribu ku coat sugar comment yako ya kwanza.Hiyo collateral damage unajaribu kuipachika hapa kwa sasa ili tu kupunguza ukali wa comment yako ya mwanzo.Na ndiyo maana sisi tumeamua kusimama na Taifa linalojitetea dhidi ya Blood war monger kama Putin na wale wote wenye kufurahia damu zisizo na hatia kumwagika bila sababu.Unasema nikutajie vita yoyote isiyo na collateral damage,kwanza hii vita wala haikupaswa hata kuwepo kabisa.Ni vile hapa Duniania kuna Ma Vampire kama Putin wanaofurahia kuona damu za watu wasio na hatia zikimwagika bure ndiyo maana hata vita hii ikawepo.
Hii vita isingekuwepo kama Zelensky angekuwa na akili!
Sasa anapumbazwa na hao west,kumbe ndio wanamuingiza Chaka zaidi!
 
Nimewaita vilaza kwa sababu hamjui chochote lakini mnajifanya kujua.

Mnaicheka Urusi kupata upinzani nchini Ukraine, wakati anacho kipitia Urusi nchini Ukraine hata Marekani alisha kipitia nchini Vietnam , Afghanistan na Somalia tena sio kupata upinzani tu bali alipata kipigo cha paka mwizi mpaka akakimbia kwa aibu.

Kwa mtu anaye jua historia kama hizo huwezi kukuta anapanua mdomo wake kuidhihaki Urusi.

Ndio maana tangu vita ianze hakuna kiongozi yeyote wa kijeshi duniani alisha sikika akilidhaki jeshi la Urusi sababu ugumu wa vita wanautambua vizuri.
Kwani USA Somalia alikwenda kupigana au kulinda amani?kwa akili ya wasomali wakawahujumu,wakaondoka na kusema tuondoka lakini amani mtaililia miaka mingi.Matokeo yake wanaishi kwa tabu mpaka wengine wamepalilia mashamba ya mpunga kyela baada ya harakati za kwenda south kukwama.
 
Kwa hiyo marekani ya Vietnam unaifananisha na Nyie vilaza.Miaka kumi US kapigana Vietnam hajapoteza personel weng kama mandonga aliopoteza kwa miez 8.
Hata siku moja usilinganishe US ya miaka ile na ya sasa.mmepigwa mkubali mmepigwa siyo kuleta visingizio na kuanza kufanya hesabu za mlinganyo
 
Wapuuzi wanaparara tu hapa wapigane, wapigane wanasahau kuwa wakianza hizo ngumi mipaka ikafungwa na mitandao ikapotea kitakachobaki ni kutegemea tbc redio kutoa updates, mafuta kukosekana, na mafuta yakishakosekana hakuna usafirishaji wa chochote, mijini hakutakalika sababu hakuna chakula, serikali itashindwa kufanya kazi maana hata polisi hawataweza kuwa na usafiri, uhalifu utakuwa juu, Madawa hayatakuwepo, sindano hazitakuwepo, umeme utakata na mabalaa mengine mengi.

Sijui wanadhani vita vya NATO na Urusi vitakuwa vinatazamwa kama world cup [emoji2] [emoji2]
The last paragraph got me rolling on the floor [emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo marekani ya Vietnam unaifananisha na Nyie vilaza.Miaka kumi US kapigana Vietnam hajapoteza personel weng kama mandonga aliopoteza kwa miez 8.
Hata siku moja usilinganishe US ya miaka ile na ya sasa.mmepigwa mkubali mmepigwa siyo kuleta visingizio na kuanza kufanya hesabu za mlinganyo
Vietnam ni jirani na US?Vietnam alisaidkwa na mataifa 30+ silaha,mafunzo,fedha na Intelejensia?
Russia angeamua kuigeuza Ukraine majivu basi isingemchukua mwezi kabla Ukraine hajasurrender!
 
While na support baadh ya vitu ulivyo andika. For the record tu reasons za kuondoka somalia, afganistan si kwa kukimbia (kama ulivyostate)
Maana hata russia afganstan walipashindwa but walikimbia kwa kichapo? No
Hata Urusi alikimbia Afghanistan baada ya kishindwa vita mkuu hakuna haja ya kupindisha maneno.
 
Bahati nzuri sana Zelensiky ana akili kuliko mimi na wewe,ndiyo maana akawa hadi Rais wa Ukraine tena wa kuchaguliwa wakati sisi hata kuongoza tu kitongoji hatujawahi.
Kwa mawazo Yako,mtu kuwa na akili zaidi basi kipimo chake ni kuwa Rais😃😃😃!Umeniangusha sana Kwa mawazo mfu kama hayo!
 
Siwezi kujua hilo maana kwenye malengo ya SMO yalitajwa na Russia,Hilo sikuliona!
Okey mkuu. Nimekuuliza kwa sababu huenda Zele alijua kuwa Putin atachukua ardhi tena ndo maana akafikiri kujilinda kwa kutaka kuingia NATO.

Hii vita huenda isingekuwepo iwapo Putin angeachana na mambo ya ardhi na kumhakikishia Ukraine usalama badala ya Ukraine kutafuta kujilinda na Urusi.
 
Kwani USA Somalia alikwenda kupigana au kulinda amani?kwa akili ya wasomali wakawahujumu,wakaondoka na kusema tuondoka lakini amani mtaililia miaka mingi.Matokeo yake wanaishi kwa tabu mpaka wengine wamepalilia mashamba ya mpunga kyela baada ya harakati za kwenda south kukwama.
Vip kuhusu Vietnam?
 
Back
Top Bottom