Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The president of Ukraine, Volodimir Zelenski, has urged the population to stay in shelters until the threat of new attacks is ruled out and has assured that, despite the wave of bombings perpetrated on Tuesday, Russia "will not achieve what it wants".

Volodimir Zelenski, President of Ukraine - PRESIDENCIA DE UCRANIA
Omba msamaha kwa Warusi wala hakuna kingine zaidi ya icho.unatesa raia wako bure
 
Polish President Andrzej Duda said Tuesday night that Polish authorities have no conclusive evidence about who is behind the missile launch that killed two people near the Ukrainian border.

File - File image of Polish President Andrzej Duda in Bratislava, Slovakia. - Michal Svìtok/TASR/dpa
Nilijua tu haya yatatokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787].kwani kusoma ajui hata picha haoni kule Ukraine wenzake wanavyojifungia kwenye maandaki
 
Watu huwa wananishambulia sana na hii statement.

" Huwezi kuta ng'ombe akichunga kundi la masai"

Siku zote hata katila level ya familia, ukiruhusu kuongozwa na mamlaka isiyo na akili ujue ww huna akili zaidi.

Asiye na akili akitwaa mamlaka hata kwa bahati mbaya dhidi ya wenye akili, hawezi kudumu kwenye hiyo nafasi, wenye akili watamuondoa tu.
Tukiachana na Ng'ombe na Masai,ulichokisema hapa sio kweli mkuu,labda tu kabla ya yote utuambie AKILI ni nini?....then tuendelee!!
 
Ili uweze kuwa Rais wa Taifa lolote Duniani,mojawapo ni utatakiwa uwe na utimamu wa akili. Ni wewe na mawazo yako mfu na ujuaji wa hapa JF tu ndiyo utamuona hana akili kwakuwa upeo wako ndiyo umefikia hapo.Kumbuka Zelesky ni Rais wa taifa lenye nguvu mara 100 kuliko Taifa lako katika nyanja zote na wewe hata kwa Taifa lako hujawahi kuwa hata balozi wa nyumba 10 [emoji1][emoji1].
Acha uwongo wewe hiyo mara 100 umepima kwa kipimo gani au kipimo mahaba
 
The president of Ukraine, Volodimir Zelenski, has urged the population to stay in shelters until the threat of new attacks is ruled out and has assured that, despite the wave of bombings perpetrated on Tuesday, Russia "will not achieve what it wants".

Volodimir Zelenski, President of Ukraine - PRESIDENCIA DE UCRANIA
Huyu ndiye kiboko wa fashisti anayejiita Putin.., fashisti katoa mikwara yote lakini imegonga mwamba kwa huyo jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tukiachana na Ng'ombe na Masai,ulichokisema hapa sio kweli mkuu,labda tu kabla ya yote utuambie AKILI ni nini?....then tuendelee!!
Akili ni nini 🤔 🤔

Nadhani kwa swali hili tuishie hapa. Mada itakuwa ndefu mno kwa sababu concept uliyoileta ni pana mno, kutafsiri tu maana ya akili ni mada inayojitegemea.

"A person's ability to think and reason"

"Human intellect".

"The element of a person awareness"

"Extent of life experiences"

"Ability to think".

"Human consciousness"

"Thought".

Hapo kila neno lina tafsiri pana sana boss. Tuishie tu hapa.
 
Screenshot_20221116-155052_Chrome.jpg
 
Wewe ukivamiwa nyumbani kwako na mtu anataka kuchukua kila kitu ulichonacho utafanyaje ili kulinda vitu vyako visichukuliwe? Putin hakutumia akili kwa sababu hakukuwa na lazima ya kuanzisha vita iloyopelekea umwagikaji mkubwa wa damu na kuwafanya watoto wa wenzie wakafie vitani bila sababu ya msingi.
Hizo sababu zisizo na msingi unazijua ww kwa sababu sio Mrusi na wala sio mwana siasa.
Usichukulie siasa kama unavyo iona kwa juu ,ukiingia ndani utagundua kuwa kuna mambo makubwa yamejificha nyuma ya pazia ambayo kwa mtu wa kawaida kama mm na ww hatuwezi kuyajua.

Ebu mfano Marekani na Wingereza ziliivamia Iraq kwa kisingizio cha kuwa ina silaha za sumu lakini badae ikagundulika ni uongo lakini kwenye hiyo vita Marekani na Uingereza walipoteza maelfu ya wanajeshi,walipoteza silaha, walipoteza pesa, zaidi ya raia 200,000 wa Iraq waliuawa na mamilion kukosa makazi na mpaka ni miaka karibia 20 Iraq haijatulia.

Kwa hiyo unataka kuniambia Bush aliamuka asuhi tu akamua kuivamia Iraq kwa sababu za uongo tu ili kujifurahisha?

Hapana wenda kuna kitu kikubwa kilicho
pelekea wao kuivamia Iraq ila mm na ww hatutakiwi kujua na ndio maana walikuja na kisingizio cha silaha za sumu ambacho badae kilioneka hakikuwa na msingi.

Viongozi wa Urusi sio wenda wazimu eti waamke na kuamua kuivamia Ukraine bila sababu kwani Putin katawala miaka mingapi hapo Urusi ?

Mbona haja ivamia miaka yote ila aje kuivamia sasa hivi chini ya Zerensiky?

Urusi miaka mingi ilikuwa inatafuta visingizio ili ipate sababu za kuivamia Ukraine lakini viongozi wa Ukraine walio pita walikuwa wanajua kucheza na siasa za mataifa makubwa kwa hiyo walicheza na Urusi kwa akili , mpaka Urusi aka shindwa haanzie wapi, hali nkadharika walicheza hivyo hivyo kwa upande wa nchi za magharibi.
,Lakini alipo kuja Zerensiky akaja kichwa kichwa na kujiingiza kwenye mtego wa siasa za Mataifa makubwa,
bila kujua kucheza na siasa za mataifa makubwa utajikuta nchi yako inatumika kwa maslahi ya mataifa makubwa wakati nchi na raia wako wanaumia na ndio kitu kinacho itokea Ukraine kwa sasa.

Zerensiky ni mtu anaye kurupuka hata jana baada kutokea lile shambulizi uko poland mara moja alikuwa amesha ituhumu Urusi ya kuwa ndio imehusika na kuitaka ijibu lakini anashindwa kujua ya kwamba iwapo vita kati ya Urusi na NATO itatokea basi Ukraine ndio taifa la kwanza kufutika kwenye uso wa dunia.
 
Wapuuzi wanaparara tu hapa wapigane, wapigane wanasahau kuwa wakianza hizo ngumi mipaka ikafungwa na mitandao ikapotea kitakachobaki ni kutegemea tbc redio kutoa updates, mafuta kukosekana, na mafuta yakishakosekana hakuna usafirishaji wa chochote, mijini hakutakalika sababu hakuna chakula, serikali itashindwa kufanya kazi maana hata polisi hawataweza kuwa na usafiri, uhalifu utakuwa juu, Madawa hayatakuwepo, sindano hazitakuwepo, umeme utakata na mabalaa mengine mengi.

Sijui wanadhani vita vya NATO na Urusi vitakuwa vinatazamwa kama world cup [emoji2] [emoji2]
Wanadhani bado tutaendelea kua online JF tunatukanana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Article pendwa inasemaje kwanza

Halaf unitoe hio aibu yangu MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwamba mpaka sasa hujui au.
[emoji16][emoji23][emoji16]

Kwahio mwanachama akiguswa kidogo hakuna shida

Hilo la meli nkuache ukalipitie vyema kujifunza sio vibaya

No Action Talk Only

Sent using Jamii Forums mobile app
Makombora yamerushwa na Ukraine. Kwa mzoefu yeyote tangu hiyo jana asingethibitisha kusema makombora ni ya Urusi. Mpaka sasa upo tu
 
Ndio maana siku hizi nakuita kilaza kwahiyo unataka kuniambia ya kuwa hujui ya kwamba mlango wa kuingia kwenye bahari nyeusi inamilikiwa na Uturuki kisheria ndio maana unahitaji ruhusa ya Uturuki kupita?
Angekuwa kazizuia kupita kwenye maji ya kimataifa ndo ningeiona Uturuki ni mbabe kweli.

Tuongee yote lakini NATO na Urusi wanaogopana kutokana na nguvu za maangamizi walizo nazo.

Kwa hiyo tupupunguze ujuaji wa kijinga.
Na hapa hiyohiyo Turkey utasingizia mlango bahari
IMG_20221116_161921.jpg
 
1.Zelensky aliamini angewahi kujiunga NATO wangemtetea kwa kuanzisha 'Article 5' . Russia alilitambua hilo na kumvamia haraka kabla hajasajiliwa ili akwepe show na NATO

2. NATO walipogundua Russia kawawahi na anajipigia tu Kiev kama koloni lake. Nao kama nchi mojamoja wanashindwa kwenda Ukraine kupiga SHOW ya kumtoa Russia zaidi wanampa Zele Anti Missiles azugezuge tu sababu wameshabugi na wao ndo walimponza.

3. NATO anajaribu kumpunguza nguvu Russia kwa vikwazo na subbotages kadhaa ikiwemo Nord Streams 1 na 2. Russia anafight back na kudhibiti exports za nishati na vyakula huku akizidi kuibomoa Ukraine na miundombinu muhimu ya Nishati na NATO wakitazama tu huku Recession ikipanda kwa kasi ulimwenguni.

4. Zele kawaita nato waweke 'No Fly Zone' wamegoma hata Kiranja wa Dunia (US) aligoma sababu hawataki Show Show na Russia. Russia katishia kushambulia mchi itakayomsaidia Ukraine, Mataifa ya Eu yanaisaidia Ukraine kwa kivuli cha NATO wakitegemea Article 5 . Israel hayupo kwenye Article 5 kagoma kuisaidia Ukraine sababu hataki Show show na Russia .

5. Zelensky akaomba Makombora ya Masafa marefu ili ashambulie Moscow na maeneo mengine ndani ya Russia, NATO wamegoma na kiranja mkuu KAGIMA.

Hatimaye Zele kaamua kurusha 'Surface to Air Missile' huko Poland kuwachonganisha. Russia amekana haraka na NATO wamekanusha haraka pia ikiwemo KIRANJA Mkuu (US) . Poland mwenyewe amekanusha haraka kuwa inaweza kuwa siyo Russia.

6. Nyongeza:
Taiwan haipo Nato na hailindwi na Article 5 ya Nato. Kwa somo la Ukraine haitajitangazia uhuru (Never) , Na China haitaivamia Taiwan bila sababu za maingi. Maisha yataendelea kama yalivyo Taiwan itaendelea kuwepo bila kutambulika kama Taifa.

Somo la wazi tukitoa unazi.
Article 5 haimsaidii mNATO yeyote atakayeanza kushambulia taifa lingine bila resolution ya Nato. So hakuna taifa litaanzisha noma na Russia kisa ukraine, Russia hatoanzisha Noma na Nato wala US individually.

Wanaheshimiana, wanaogopana, wanaogopa madhara. Mvamizi anaogopa Retaliation strength sababu anayevamiwa anajua ukubwa na hatari ya nguvu ya anayemvamia. Matumizi ya Nuclear yanaweza kuhusika mmojawapo akianza kujihami.

It will never Happen vita kati ya NATO na Russia , Kati ya US na China wala US na Russia kisa tu Ukraine na Taiwan...

Zelensky ajitathmini.
 
[emoji23][emoji16][emoji23]
Basi nanyie kapigeni bahati mbaya kule mpakani halaf muone kitakacho wakumba

Tena nyie musiue hata inzi muue hata kunguru ya RUSSIA muone mtakumbwa na nini
Mkuu sijui ulikunywa au kuvuta nini?? Tulia tu, hakuna anayetaka kutisha kunguru wala inzi za Urusi! Ila kwa bahati mbaya nchi mbalimbali zinashirikiana kusaidia silaha zinazoua binadamu kutoka Urusi walioingia katika nchi ya jirani, tena maelfu.
Nisipokosei hatumjamwona aliyekumbwa na kitu.
 
Back
Top Bottom