NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
I'm Honored.Thank you, You are admired by Putin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm Honored.Thank you, You are admired by Putin
Kama Katibu anasema anaogopa vita isije ikaja kwao i.e tunamwogopa Putin atatupigaUS Secretary of State Blinken commented on the idea of introducing a no-fly zone over Ukraine: we do not want the conflict to expand to our countries.kView attachment 2142256
Elewa kwamba Yugoslavia ilikuwa ni muungano wa mataifa sita wakati Ukraine ni taifa moja.Sidhani kama ataweza kuitawala maana raia hawawataki.
Ila malengo yao kwa kiasi kikubwa yata kuwa yametimia maana Ukraine haita weza tena kujiunga na Nato na wenda ikaishia kusambaratika kama iliyo kuwa Yugoslavia.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Fanya research ndo urudi apa tujadili la sivyo nikuache uendelee kulishwa taarifa hewa na RtMipaka gani iyo unaongelea ndugu maana sehemu kubw za mipani zipo chini ya warusi
Yeah I think it is your high honor and distinct privilege to be admired by presidentI'm Honored.
Bogus.Lawama zote ziende kwanza kwa Zelensky pili kwa NATO na mwisho kwa Nyamizi na USA yake
Kwamba huoni hao wenyewe hayo maongezi wameyatoa fox newsKumbe source ni ya pro Russia,basi sawa.
Na masharti hayo mmepewa kazi kwenuKumbe source ni ya pro Russia,basi sawa.
SawaFanya research ndo urudi apa tujadili la sivyo nikuache uendelee kulishwa taarifa hewa na Rt
Happy to be off service, I'll Serve until my last breath. 👮♂️Yeah I think it is your high honor and distinct privilege to be admired by president
Acheni porojo za kwenye vijiwe vya kahawa bwana. Mipaka gani hiyo ambayo ipo chini ya warusi. Tuonyeshe tuzione.Mipaka gani iyo unaongelea ndugu maana sehemu kubw za mipani zipo chini ya warusi
Dah, warusi wa Magomeni Mapipa shida yaani wewe ndio unajua kwamba Putin waga halali, hilo ungemuachia mkewe ndiye atuambie sio wewe.Intelejensia ya Urusi ipo vizuri sana na walio threats kutoka NATO na USA kupitia Ukraine. Putin never sleeps when comes to territory protections.
Lawama zote anazibeba Putin kwa hili la sasa,kasababisha wananchi wake hata hawatumii tena mitandao ya kijamii,wako gizani wamerudi kuishi maishaa ya 60's huko wakisubiria kulishwa propaganda za RT peke yakeLawama zote ziende kwanza kwa Zelensky pili kwa NATO na mwisho kwa Nyamizi na USA yake
Ukiwa unatoka usingizi kumbuka kunawa USO na kupiga mswaki kwanza kabla ya kukimbilia JF ,kufanya hivyo inakusaidia kujenga afya ya ubongoAcheni porojo za kwenye vijiwe vya kahawa bwana. Mipaka gani hiyo ambayo ipo chini ya warusi. Tuonyeshe tuzione.
Tuanze kwanza kwenye mipaka ya ukraine na warusi, ipo kwenye imaya ya nani?.ili tujue story za kwenye kahawa zinatoka wapiAcheni porojo za kwenye vijiwe vya kahawa bwana. Mipaka gani hiyo ambayo ipo chini ya warusi. Tuonyeshe tuzione.
Hao guerrillas watatoka wapi wakati karibu wote watakufa na kuzikwa kwenye mahandiki waliochimba wenyewe?? Russia imepanga hivi Vita au 'special operation' kwa karibu miaka 20...Halafu Russia haitaikalia hiyo west Ukraine...Russia itakuwepo huko Eastern Ukraine ambako wanaishi warusi na ambao ni asilimia 40 ya watu wa ukraineElewa kwamba Yugoslavia ilikuwa ni muungano wa mataifa sita wakati Ukraine ni taifa moja.
Marekani ameshasema litaundwa serikali ya Ukraine ambayo itafanya kazi nje ya nchi na ndio itatambulika kimataifa wakati huo wavamizi wa Russia watakuwa wakimenyana na "Guerrilla Warfare" ndani ya Ukraine.
Scenario itakayokuwepo nchini Ukraine itakuwa kama ile iliyokuwepo kule Afghanistan wakati Marekani akiwa huko.
The Russian invaders won't be given a breathing space and worse enough is that they're not welcome by the locals.
Leo tu bei ya gesi ulaya ni $3200 per 1000 cubic meter na hali inazidi kuwa mbaya kila siku wataalamu wanasema ikifika winter ulaya magharibi watu wengi watakufa kwa baridi kali. Matokeo ya kuzimwa kwa mtambo wa gesi yameshaonekana huko Finland.Lawama zote anazibeba Putin kwa hili la sasa,kasababisha wananchi wake hata hawatumii tena mitandao ya kijamii,wako gizani wamerudi kuishi maishaa ya 60's huko wakisubiria kulishwa propaganda za RT peke yake
T-72 tank ni ya mwaka gani?Nani amesema kwamba Russia wametumia chini ya 20% ya uwezo wao na nani anakudanganya kwamba hawaaribu miundombinu na kuua raia wasio na hatia. Acha propaganda bwana.
Ubaguzi gani uliofanyika Hadi unakufanya ujiweke kwenye uchochezi wa umwagaji wa dam za watu?Yaan mm nimekua upande aa putin kwa kujali wamakonde wenzetu ila hao ukraine wapigwe mpaka wachakae kwa ubaguzi walio uonyesha ...sina dua nzuri kwa mbaguzi