PNU
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 377
- 2,809
Analyst: Baada ya hii vita kuna NEW ORDER itaanza
1. Hungary kakaataa kupitisha majeshi ya NATO kwenye ardhi na kusema haiusikii na hii vita
2. Brazil amepingana na EU kuhusu swala la vikwazo, na kusema itaendeleza mahusiano ya kibiashara na Russia.
3. India wapo kwenye trial ya kuanzisha mfumo mpya usiotegemea Dollar na kutumia Rupee na Ruble ili kuendeleza biashara na Russia.
4. Israel wamegoma kuonesha umoja wao na Ukrain maana Russia anashikiria maslahi ya Israel kule Syria
5. China wapo kwenye ku update mfumo wa union pay uanze kutumika kote Dunia kwa yyte atakayetaka kufanya biashara na Russia
6. France anapingana na US na NATO na kusema mawazo ya NATO yanaendeshwa na US na hii inapelekea vita kuwa kubwa hivyo ikaamua kutumia njia zake za kidiplomasia kuwasiliana na Russia bila baraka za US.
7. Russia kuanzisha mfumo wake wa malipo ya oil na gas hata kma vikwazo vikiondolewa.
8.Russia na washirika wake kuanzisha mashirika na idara za kimataifa kama ilivyo umoja wa mataifa baada ya China na Russia kuilalamikia baadhi ya mashirika hayo kuwa ni baraka wa marekani na yapo kutimiza matakwa ya marekani.
9.Uturuki kugoma kufunga bahari yke na kusema hawezi kuharibu mahusiano yake na Russia
10.Russia kuongeza uzalishaji wa silaha za juu na kuuzia washirika wake ikiwa ni njia ya kuwapatia nguvu washirika wake ili watengeneze umoja wenye nguvu