mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Mi nimekuletea ramani ya kwenye uwanja wa vita kama inatofauti na ya kwako niambieDuuh we jamaa ado hujaaamka usingizin emu stuka basi acha kuwa kama umenyweshwa methadon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nimekuletea ramani ya kwenye uwanja wa vita kama inatofauti na ya kwako niambieDuuh we jamaa ado hujaaamka usingizin emu stuka basi acha kuwa kama umenyweshwa methadon
Chanzo chako cha taarifa yako pls weka sourceTupo njiani kwenda kuchukua kinu chetu cha 3View attachment 2142333
Akili ndogo sana wewe. Hakuna unachojua ngoja tu nikuache kwa sababu unaongea kishabiki tu.Hao guerrillas watatoka wapi wakati karibu wote watakufa na kuzikwa kwenye mahandiki waliochimba wenyewe?? Russia imepanga hivi Vita au 'special operation' kwa karibu miaka 20...Halafu Russia haitaikalia hiyo west Ukraine...Russia itakuwepo huko Eastern Ukraine ambako wanaishi warusi na ambao ni asilimia 40 ya watu wa ukraine
Apa hamna ligha kali yoyotw iliyotumika alafu apa sijaona hoja yoyote ile ya kujibu hoja zangu so labda urudie kuandika upya may be unaweza may unawez ukaja na point yenye mashiko"Raise your words not your voice. It is rain that grows flowers not thunder."
Unaonekana haufuatilii wala kutizama taarifa za habari!
Putin kwenye hotuba yake aliyolihutubia Taifa lake na dunia kwa ujumla alisema kitakachofanyika Ukraine ni ".......special military operation"
Akasema "....it is not our plan to occupy the Ukrainian territory"
Kuliweka wazi zaidi lengo akasema "...to this end, we will seek to demilitarise and denazify Ukraine"
Hivyo brother, wewe unaandika na kujenga hoja kwa mizuka ya fikra yako na wala si kwa uhalisia wa kilichowekwa. Na huu ni mojawapo ya uraibu wa kutotaka kujishughulisha.
Kabla ya kunikosoa au kunijia na hoja jishughulishe kwanza. Mbali na hilo samahani kama lugha iliyotumika ni kali.
Ameandika pumba sa na wakati kapewa uwezo wa kufikiri na kuchanganua alafu yeye anajiandikisha pumba!!Una hitimisha vipi kwamba huyu mtu Hana akili.
Umetumia vigezo gani
Mbona ni.pale pale tu tangia vita imeanza apo si ndo mlianzia siku ya mwanzo kabisa ya vita mbona sijaona advancing yoyote ya maana asee muda wote mko pale pale ni kaM vile mkwam kwenye matopeZaidi ya special operation in Ukrain kutaka kuiondolea uwezo wa kijeshi na unazi mambo leo. ankai jua wamefika hapa pia
View attachment 2142350
Yeye aache ujinga, vita ameanzisha mwenyewe halafu anakuja kuongea tena mambo ya kipumbavu. Hovyo sana huyu jamaa.Putin spoke by phone with President of the European Council Charles Michel. We talked about Ukraine:
- The humanitarian aspects of the situation in the country were discussed in detail.
- The President of Russia outlined Moscow's position in connection with the conduct of a special operation to protect the republics of Donbass.
- According to Putin, the main threat in Ukraine comes from nationalists who use terrorist tactics and hide behind the population.
Putin called on the EU to make a real contribution to saving people and to put pressure on Kyiv to make it respect humanitarian law.
View attachment 2142185
Endelea kuwaletea habari!!Mimi nitakuwa napost vipigo na mizoga ya Russia tu
Si unaona hapo wameandika web site yao(MANAZ NET)Chanzo chako cha taarifa yako pls weka source
Japo hawazipendi lakin hamna namna let them face it!!Mimi nitakuwa napost vipigo na mizoga ya Russia tu
Ikitawaliwa na familia ya kifalme ya Lithuania.hawa watu hawabackup hoja zao na facts ht kidogo, ukraine ni nchi yny historia yake ht crimea pia ina historia yake si mali ya ukraine wala urusi, watu wanasikiliza uongo wa putin wanabeba km ulivyo, kitu ambacho ni kweli ni kuwa hii ukraine ya sasa iliundwa kwa kuongezewa baadhi ya maeneo kutoka urusi,poland na romania, lkn ukraine ni nchi iliokuwepo tangu enzi na enzi,
Huwaga comments zako zinanipaga raha sana🤣🤣😅ha ha ha umechemka leo ni siku ya mazungumzo na kuokoa raia leo hakukuwa na mapigano ha ha ha mapigano yataanza usiku
Tunakusanya ushahidi wa nini NATO walikuwa wanataka kufanya Urusi kwa kuanzisha bioweapons labs na hapo ndio tutapata justification ya kufuta kizazi za wanazi kwa silaha za silaha za kibailojia. Dunia nzima inatambua uwezo wa Urusi wa kutengeneza silaha hatari za kibaolojiaMbona ni.pale pale tu tangia vita imeanza apo si ndo mlianzia siku ya mwanzo kabisa ya vita mbona sijaona advancing yoyote ya maana asee muda wote mko pale pale ni kaM vile mkwam kwenye matope
Wewe ndo kilaza.unaleta story nyingi wakati jibu ni moja tu kuwa nani ana miliki uwo mpakaJamaa reasoning capacity yako ni ndogo mno ivi unajua kati ya mrusi na mukrain nani kamvamia mwenzie tuanzie apo kwanza alafu uko mbele utapata jibu lako ukishajua kuwa kati ya hawa wawili ni nani kamvamia mwenzie basi hutokaa uulize tena swali la kijinga na kipumbavu namna hii
Wamogoma kuwaachia kwa sababu nyie watz ni wajinga kupitiliza yaani mwenye nchi ni ukrain ndo ana mamlaka na mandate ya Ardhi ya Ukrain alafu mlivuo mapopo eti mnaenda kuongea na Russia ambaye ni mvamizi na hana mamlaka ndani ya Ukrain eti awaondoe sasa mtu unajiuliza uyo mrussia atapitia wapi mpaka awafikie hao wanafunzi bila kushambulowa na majeshi ya ukrainHapana mkuu hawajaondoka hata sasa hivi barozi wa Tz nchini Ujerumani alikuwa anaojiwa na Dw ana sema Ukraine imegoma kuwaachia.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Duuh sio mchezo mzee asee
Weka source ya taarifa yako kama huna basi izo ni ngonjera kama nyingine ama source yenyewe ni Rt nini ndo maana u naogopa kuiweka apa mzeeMi nimekuletea ramani ya kwenye uwanja wa vita kama inatofauti na ya kwako niambieView attachment 2142377
Source gani unataka wewe.nimekwambia kutoka( Manaz Net) ila kama una imani nayo nimekuwekea nyingine kutoka wikipedia.au nayo wikipedia ni ya WarusiWeka source ya taarifa yako kama huna basi izo ni ngonjera kama nyingine ama source yenyewe ni Rt nini ndo maana u naogopa kuiweka apa mzee
Hali ya Hewa, terrain na uzoefu wa kivita vinaikwamisha sana Russia... Ukraine wakipata ndege 100 utaona Kila siku watakuwa wanawarudisha Russia nyuma... yaani leo tu wamekomboa mji mmojaWeka source ya taarifa yako kama huna basi izo ni ngonjera kama nyingine ama source yenyewe ni Rt nini ndo maana u naogopa kuiweka apa mzee