LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Elewa kwamba Yugoslavia ilikuwa ni muungano wa mataifa sita wakati Ukraine ni taifa moja.

Marekani ameshasema litaundwa serikali ya Ukraine ambayo itafanya kazi nje ya nchi na ndio itatambulika kimataifa wakati huo wavamizi wa Russia watakuwa wakimenyana na "Guerrilla Warfare" ndani ya Ukraine.

Scenario itakayokuwepo nchini Ukraine itakuwa kama ile iliyokuwepo kule Afghanistan wakati Marekani akiwa huko.

The Russian invaders won't be given a breathing space and worse enough is that they're not welcome by the locals.
 
Intelejensia ya Urusi ipo vizuri sana na walio threats kutoka NATO na USA kupitia Ukraine. Putin never sleeps when comes to territory protections.
Dah, warusi wa Magomeni Mapipa shida yaani wewe ndio unajua kwamba Putin waga halali, hilo ungemuachia mkewe ndiye atuambie sio wewe.

You've overstepped the mark in eulogizing the Russian despot.
 
Lawama zote ziende kwanza kwa Zelensky pili kwa NATO na mwisho kwa Nyamizi na USA yake
Lawama zote anazibeba Putin kwa hili la sasa,kasababisha wananchi wake hata hawatumii tena mitandao ya kijamii,wako gizani wamerudi kuishi maishaa ya 60's huko wakisubiria kulishwa propaganda za RT peke yake
 
Acheni porojo za kwenye vijiwe vya kahawa bwana. Mipaka gani hiyo ambayo ipo chini ya warusi. Tuonyeshe tuzione.
Ukiwa unatoka usingizi kumbuka kunawa USO na kupiga mswaki kwanza kabla ya kukimbilia JF ,kufanya hivyo inakusaidia kujenga afya ya ubongo
 
Acheni porojo za kwenye vijiwe vya kahawa bwana. Mipaka gani hiyo ambayo ipo chini ya warusi. Tuonyeshe tuzione.
Tuanze kwanza kwenye mipaka ya ukraine na warusi, ipo kwenye imaya ya nani?.ili tujue story za kwenye kahawa zinatoka wapi
 
Hao guerrillas watatoka wapi wakati karibu wote watakufa na kuzikwa kwenye mahandiki waliochimba wenyewe?? Russia imepanga hivi Vita au 'special operation' kwa karibu miaka 20...Halafu Russia haitaikalia hiyo west Ukraine...Russia itakuwepo huko Eastern Ukraine ambako wanaishi warusi na ambao ni asilimia 40 ya watu wa ukraine
 
Lawama zote anazibeba Putin kwa hili la sasa,kasababisha wananchi wake hata hawatumii tena mitandao ya kijamii,wako gizani wamerudi kuishi maishaa ya 60's huko wakisubiria kulishwa propaganda za RT peke yake
Leo tu bei ya gesi ulaya ni $3200 per 1000 cubic meter na hali inazidi kuwa mbaya kila siku wataalamu wanasema ikifika winter ulaya magharibi watu wengi watakufa kwa baridi kali. Matokeo ya kuzimwa kwa mtambo wa gesi yameshaonekana huko Finland.
 
Nani amesema kwamba Russia wametumia chini ya 20% ya uwezo wao na nani anakudanganya kwamba hawaaribu miundombinu na kuua raia wasio na hatia. Acha propaganda bwana.
T-72 tank ni ya mwaka gani?
 
Yaan mm nimekua upande aa putin kwa kujali wamakonde wenzetu ila hao ukraine wapigwe mpaka wachakae kwa ubaguzi walio uonyesha ...sina dua nzuri kwa mbaguzi
Ubaguzi gani uliofanyika Hadi unakufanya ujiweke kwenye uchochezi wa umwagaji wa dam za watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…