Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, Nilijaribu bahati yangu katika shindano la stories of change lakini sikufanikiwa.

Ngoja sasa nikatazame fursa zingine za pesa. Leo ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp

E-MAIL: [email protected]
===

I wish you all the best.
All the best Infantry Soldier,life is a fight,don't loose hope.
 
Mkuu, Nilijaribu bahati yangu katika shindano la stories of change lakini sikufanikiwa.

Ngoja sasa nikatazame fursa zingine za pesa. Leo ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp

E-MAIL: [email protected]
===

I wish you all the best.
all the best Legend, tutaonana tena 2024.
 


Russia targets Ukrainian aircraft engine plant​

The assembly line in the city of Zaporozhye has been destroyed in a high-precision airstrike
Russia targets Ukrainian aircraft engine plant

FILE PHOTO. Aircraft engines pictured at the Motor Sich plant. © Sputnik / Marina Lysceva
The Russian military has targeted the Motor Sich plant in the city of Zaporozhye, the Defense Ministry said in a statement on Sunday.
“A high-precision strike by the Russian Aerospace Forces in the city of Zaporozhye has destroyed a line assembling engines for aircraft of the Ukrainian Air Force,” the Russian military said.
While the statement did not elaborate on when exactly the strike took place, the attack on the facility apparently occurred early Saturday. According to Vladimir Rogov, a senior Zaporozhye Region official, the strikes targeted an ammunition depot in the city, as well as a manufacturing line that produces aircraft engines, including those used in Turkish Bayraktar attack drones.
The official also shared unverified footage on his Telegram channel taken amid the strikes, with the videos purporting to show multiple blasts and a massive fire at the site.

Zaporozhye Region, as well as three other formerly Ukrainian territories, officially became part of Russia in early October following referendums that saw the majority of residents vote in favor of accession. Kiev and its Western backers have rejected the referendums, dismissing them as “sham” elections. However, the city of Zaporozhye itself remains under Ukrainian control.
The Motor Sich plant was taken over recently by Kiev under wartime authority. The move prompted an international scandal, with Beijing Skyrizon Aviation Industry Investment, a Chinese company engaged in a legal battle over plant’s majority stake, accusing Ukraine of “shameless” actions and “plunder” of assets belonging to foreign investors.
 


The next batch of armored vehicles has been prepared for operation in the combat zone. This is a very reliable special equipment capable of quickly moving front-line personnel - Kadyrov.

🚨🇷🇺🇷🇺🇷🇺👏The head of Chechnya tested the machine gunner's seat, equipped with a Degtyarev machine gun, and was satisfied.💪
 
View attachment 2422484

The next batch of armored vehicles has been prepared for operation in the combat zone. This is a very reliable special equipment capable of quickly moving front-line personnel - Kadyrov.

🚨🇷🇺🇷🇺🇷🇺👏The head of Chechnya tested the machine gunner's seat, equipped with a Degtyarev machine gun, and was satisfied.💪
 
Hata kama ni yy hakuna kitu watamfanya kwani Iran alipo shambulia kambi za Marekani hadharani Marekani nn alifanya?

Kiufupi Urusi na mataifa ya magharibi wote wanaogopana kutokana na nguvu za maangamizi walizo nazo.

Ni mtu mwenye akili za ukilaza ndo anayeweza kuibeza Urusi.
Sisi Team Urusi tutaua nae kwa maslahi mapana ya Hii Dunia ..Kinachoitwa Ukraaine Army wala Hakipo pale kuna US and Nato All together Army.....Sasa Amepambana nao miezi hii ni kazi ngumu..Ila kama Tulivyokua tuhamuamini angeonyesha shaw off moja ya hatari kwa kupiga sana Kikatiri hasa zile siku za Mwanzo au kuwaua sana wale askari wa Nato walioingia hapo kwa wingi sana...Angewaua katika mipaka au ndege zinazowaleta....
Huo ni udhaifu mkubwa..Nini kitatokea nadhani hili ni swali gumu ila tunaona Mrusi sasa hana mbinu zaidi ya kupiga mabomu tuu basi...Plan zote zimemuishia..Atakubali kuomgea akiwa mnyonge sana...Kuna hatari hata Huyu Putin wakamtoa na juzi angeenda Kile Kikao alikua apigwe sumu pale Airpot...Ndio mana akastuka hata Lavrov hakutumia magari ya Indonesia alitumia gari lake lilipelekwa maalumu....
Hivyo tunaumia na kusikitika kwamba Putin alidhani hawa wauaji watashindwa kuungana Mana ni mashetani watupu hawa EU na marekani sio watu ni bora shetani....
 
Katika Hii Vifa Habari Nyingi hufichwa hasa zile zinazoonyesha mafanikio ya Urusi katika hii operation..Ila tunashukuru Kwamba Mrusi ana Nuclear kama sio hivyo basi wangempiga na wanamonitor sana Vikosi vyake vya Nuclear....
 
Back
Top Bottom