Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Biden;If russia will stop fighting there is no war,and if ukraine will stop fighting there will be no ukraine anymore.Wewe ndiye una akili siyo nenda kampe ushauri huo uliojaa mahaba na uchungu wa kupigwa
Umezunguuka kama pia! Ila ukweli utabaki
kwamba Zelensky kaambiwa a-negotiate,uwezekano wa kushinda Vita haupo.Tena kaambiwa as winter approaches it will be even more dangerous for Ukranians.

Halafu Zelensky alivyo punguani,eti anashauri wananchi wake wahamie Ulaya,sasa nchi ibaki wazi!Huyu ni wazi ana ajenda ya kuigawa nchi kwa Khazarian Oligarchs,mbona inafahamika.
 
Hapo awali, utawala wa mkoa wa Kherson ulisema jeshi la Urusi halitaruhusu wanajeshi wa Ukraine kuvuka mto Dnieper.

Maafisa kutoka ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Skadovsk katika mkoa wa Kherson siku ya Ijumaa walisema vikosi vya Ukraine vinaogopa kukaribia ukingo wa mto Dnieper, achilia mbali kuvuka mto.

"Licha ya matamshi ya baadhi ya wanasiasa wa Ukraine, adui anaogopa kukaribia ukingo wa mto Dnieper, na kuvuka kwao mto huo ni nje ya swali," utawala ulisema kwenye Telegram. Mizinga imekuwa ikirusha makombora (Shellinng) kutoka ukingo wa mashariki, maafisa walisema.

Hapo awali, utawala wa mkoa wa Kherson ulisema jeshi la Urusi halitaruhusu wanajeshi wa Ukraine kuvuka mto Dnieper.

Mnamo Novemba 9, Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu aliamuru kurudi nyuma kwa vikosi vya Urusi kutoka ukingo wa magharibi wa mto Dnieper, ambapo Kherson ipo, akikubaliana na pendekezo la Jenerali Sergey Surovikin, kamanda wa kikundi kilichojumuishwa cha vikosi katika eneo maalum la operesheni ya kijeshi.

Surovikin alisisitiza kuwa vikosi vya Urusi vimekuwa vikifanikiwa kuzima mashambulizi ya Ukraine, na uamuzi wa kujiondoa ulitokana na hatari ya kundi hilo kutengwa iwapo eneo lililo chini ya bwawa la Kakhovskaya HPP lingekumbwa na mafuriko. Kwa mujibu wa kamanda huyo, raia wote waliokubali kuhama, au zaidi ya watu 115,000, wamehamishwa hadi ukingo wa mashariki. Baadhi ya mashirika ya serikali yamehamia Genichesk kwa muda.

My Take:
Kama ilivyotabiriwa, Urusi waliamua kuchukua nafasi upande wa pili wa mto, ni 'tactical retreat'. Jamaa wanasubiriwa wasogelee mto yawakute mazito, na wao wanahofu wameamua waisogee tena. Sasa watakomboaje jimbo la Kherson?

Sehemu kubwa ya jimbo la Kherson bado lipo Urusi kwakuwa Ukrain wameachiwa kamji kamoja katika jimbo zima!

Wazee wa 'frontline' moja! Baada ya Kherson 'offensive', vipi hakuna 'offensive' nyingine? Maana hatusikii!
 
Umezunguuka kama pia! Ila ukweli utabaki
kwamba Zelensky kaambiwa a-negotiate,uwezekano wa kushinda Vita haupo.Tena kaambiwa as winter approaches it will be even more dangerous for Ukranians.

Halafu Zelensky alivyo punguani,eti anashauri wananchi wake wahamie Ulaya,sasa nchi ibaki wazi!Huyu ni wazi ana ajenda ya kuigawa nchi kwa Khazarian Oligarchs,mbona inafahamika.
Ndoto hii umeiota lini mkuu
 
Ndoto hii umeiota lini mkuu

Mimi sisemi uongo mkuu,soma hii👇​

​

The US Joint Chief of Staff, General Mark Milley, has suggested that Kiev should take the opportunity to negotiate with Moscow as‘harsh winter’ approaches​

Lloyd Austin on the other hand stressed that the US will not intervene in Kiev’s conflict with Moscow
‘Harsh winter’ ahead for Ukraine – Pentagon chief

Pedestrians walk down a street during a power cut in downtown Kiev, Ukraine, November 10, 2022 © AFP / Dimitar Dilkoff
US Secretary of Defense Lloyd Austin warned on Saturday that Ukraine faces a “harsh winter,” as Russia continues missile strikes on its infrastructure. Earlier, the chairman of the US Joint Chiefs of Staff, General Mark Milley, suggested that Kiev should take the opportunity to talk with Moscow.
Speaking at the Halifax Security Forum in Canada, Austin praised the Ukrainian military’s efforts against Russia, but cautioned that “hard times lie ahead as Ukraine faces a harsh winter.”
Although Ukraine has received tens of billions of dollars worth of weapons from the US and NATO, Russian drone and missile strikes have been pounding its command centers and energy infrastructure since early October. These launches have, according to Ukrainian authorities, left 40% of the country’s power infrastructure destroyed or damaged.
Amid the destruction of Ukraine’s infrastructure, a split has reportedly emerged within the White House. Some top-level Biden administration officials are urging Kiev to keep fighting Russia “for as long as it takes,” whereas Milley has declared that Ukraine cannot win militarily and should instead seize “an opportunity to negotiate.”
Ukrainian missile-production facility destroyed – Russian military
READ MORE

In his address on Saturday, Austin claimed that Ukraine’s population would rather go without electricity and heat than have talks with Moscow. However, he reiterated that the US would “not be dragged into [Russian President Vladimir] Putin’s war,” but would continue to funnel arms to Kiev.
Russia sent troops into Ukraine on February 24, citing Kiev’s failure to implement the Minsk agreements, designed to give the regions of Donetsk and Lugansk special status within the Ukrainian state. Earlier, the Kremlin recognized the Donbass republics as independent states and demanded that Ukraine officially declare itself a neutral country that will never join any Western military bloc. Kiev insists the Russian offensive was completely unprovoked.
In early October, the Donetsk and Lugansk People’s Republics, as well as Zaporozhye and Kherson Regions, officially became part of Russia following referendums that saw the majority of local residents vote in favor of accession.
 
Tactical withdrawal sio kurudi nyuma Vunjo,akili hivi zimewatoka kabisa?Backers wa Zelensky wamemuambia a-negotiate,kwa kuwa hawaoni uwezekano wa kushinda Vita,ninyi ambao wala hamhusiki kwa lolote,mnadai anashinda Vita,hivi mpo sawa kweli?Nahisi ni yale yale ya Zelensky,mna matatizo ya Afya ya Akili!
Details: He noted that the United States are "going to continue to provide the capability for the Ukrainian people to defend themselves".

Quote: "We are not going to engage in any negotiation. There's nothing about Ukraine without Ukraine, this is a decision Ukraine has to make," Biden said, commenting on the possibility of negotiations with Russia.
 
Mimi sisemi uongo mkuu,soma hii[emoji116]​

​

The US Joint Chief of Staff, General Mark Milley, has suggested that Kiev should take the opportunity to negotiate with Moscow as‘harsh winter’ approaches​

Lloyd Austin on the other hand stressed that the US will not intervene in Kiev’s conflict with Moscow
‘Harsh winter’ ahead for Ukraine – Pentagon chief

Pedestrians walk down a street during a power cut in downtown Kiev, Ukraine, November 10, 2022 [emoji2398] AFP / Dimitar Dilkoff
US Secretary of Defense Lloyd Austin warned on Saturday that Ukraine faces a “harsh winter,” as Russia continues missile strikes on its infrastructure. Earlier, the chairman of the US Joint Chiefs of Staff, General Mark Milley, suggested that Kiev should take the opportunity to talk with Moscow.
Speaking at the Halifax Security Forum in Canada, Austin praised the Ukrainian military’s efforts against Russia, but cautioned that “hard times lie ahead as Ukraine faces a harsh winter.”
Although Ukraine has received tens of billions of dollars worth of weapons from the US and NATO, Russian drone and missile strikes have been pounding its command centers and energy infrastructure since early October. These launches have, according to Ukrainian authorities, left 40% of the country’s power infrastructure destroyed or damaged.
Amid the destruction of Ukraine’s infrastructure, a split has reportedly emerged within the White House. Some top-level Biden administration officials are urging Kiev to keep fighting Russia “for as long as it takes,” whereas Milley has declared that Ukraine cannot win militarily and should instead seize “an opportunity to negotiate.”
Ukrainian missile-production facility destroyed – Russian military
READ MORE
Ukrainian missile-production facility destroyed – Russian military
In his address on Saturday, Austin claimed that Ukraine’s population would rather go without electricity and heat than have talks with Moscow. However, he reiterated that the US would “not be dragged into [Russian President Vladimir] Putin’s war,” but would continue to funnel arms to Kiev.
Russia sent troops into Ukraine on February 24, citing Kiev’s failure to implement the Minsk agreements, designed to give the regions of Donetsk and Lugansk special status within the Ukrainian state. Earlier, the Kremlin recognized the Donbass republics as independent states and demanded that Ukraine officially declare itself a neutral country that will never join any Western military bloc. Kiev insists the Russian offensive was completely unprovoked.
In early October, the Donetsk and Lugansk People’s Republics, as well as Zaporozhye and Kherson Regions, officially became part of Russia following referendums that saw the majority of local residents vote in favor of accession.
NAKAZIA

Hivi ni vifaru vya super power vinakaangwa leo tazama video wanaendesha.kama machizi

Actually video clip hiyo inahusu jeshi la Ukraine sio Urusi - huu ndio umekuwa mchezo wa propaganda za west na Ukraine wanachukua video clips zilizo rekodiwa na jeshi la Urusi wanazigueza na kudai zinahusu jeshi la Urusi, wakijua fika kqamba hiyo si kweli hata kidogo ,niliwahi kuona clip nyingine ikionyesha wanajeshi wa Urusi wakitupa mabom ya kutupa kwa mkono kwenye drain pipes/karavati kuwavurumusha wanajeshi wa Ukraine kutoka kwenye makravati, kesho yake jeshi na vyombo vya habari vya Ukraine na west vikaonyesha clip hiyo hiyo na kudai ni wanajeshi wa Ukraine wanafurusha wanajrshi wa Urusi - ulaghai mtupu na wa kipuuzi, ndio maana watu weledi wanasema jeshi la Ukraine na Serikali ya Senselessky vita inayo shinda ni ya kwenye mitandao na main stream media za magharibi, basi.
 
NAKAZIA

In his address on Saturday, Austin claimed that Ukraine’s population would rather go without electricity and heat than have talks with Moscow. However, he reiterated that the US would “not be dragged into [Russian President Vladimir] Putin’s war,” but would continue to funnel arms to Kiev.
Sijui tatizo ni nini,aidha hamuelewi au mnafanya makusudi.Alicho ongelea ni "in the mean time,before any agreement is reached!" Dah,shiida kweli kweli.
 
Tatizo ni kwamba hamuelewi mambo.Alicho kuwa anaongelea ni "in the mean time,before any agreement is reached!" Dah,shiida kweli kweli.
Ila nyie mnaosema tactical withdrawal kila Urusi akichapwa na kukimbia mahali ndo mnaelewa mambo. Dah,shiida kweli kweli.

Kiufupi Zele ameshakataa kufanya mazungumzo yoyote na Urusi mpaka pale watakapoondoa majeshi Yao ndani ya mipaka ya Ukraine. Hizo nyingine ni ngonjera tu.
 
NAKAZIA

In his address on Saturday, Austin claimed that Ukraine’s population would rather go without electricity and heat than have talks with Moscow. However, he reiterated that the US would “not be dragged into [Russian President Vladimir] Putin’s war,” but would continue to funnel arms to Kiev.

Now a million dollar question is: what did the same guy say two days after!! Who does not know that US military top brass are sometimes flip floppers par excellence, consequently one should not make a mistake of taking their comments/statements too seriously.
 
Punguza jazba Kaka,Senate soon inapitisha msaada mwingine wa Dola bilioni 38 Kwa ajili ya Ukraine.

Comment yako inaApply kwa Putin pia,maana anachosema Leo si atakachosema kesho ni kama ana Alzheimer

*Mwanzoni mwa Vita alisema conscripts hawatopelekwa vitani baadae wakapelekwa.

*Alisema hakutakua na mobilization,baada ya kubondwabondwa na majeshi ya Ukraine akafanya mobilization ambayo mpaka sasa hatujaona faida yake maana bado anapoteza maeneo

*Kherson will be Russian forever. Baadae wakakimbia.

*Hatutazungumza na utawala wa nazi wa Zelenksy,sasa wanataka mazungumzo.

Sasa Mtu kama huyo utamchukulia serious kweli?!!!!!!!!!
 
Mimi sisemi uongo mkuu,soma hii[emoji116]​

​

The US Joint Chief of Staff, General Mark Milley, has suggested that Kiev should take the opportunity to negotiate with Moscow as‘harsh winter’ approaches​

Lloyd Austin on the other hand stressed that the US will not intervene in Kiev’s conflict with Moscow
‘Harsh winter’ ahead for Ukraine – Pentagon chief

Pedestrians walk down a street during a power cut in downtown Kiev, Ukraine, November 10, 2022 [emoji2398] AFP / Dimitar Dilkoff
US Secretary of Defense Lloyd Austin warned on Saturday that Ukraine faces a “harsh winter,” as Russia continues missile strikes on its infrastructure. Earlier, the chairman of the US Joint Chiefs of Staff, General Mark Milley, suggested that Kiev should take the opportunity to talk with Moscow.
Speaking at the Halifax Security Forum in Canada, Austin praised the Ukrainian military’s efforts against Russia, but cautioned that “hard times lie ahead as Ukraine faces a harsh winter.”
Although Ukraine has received tens of billions of dollars worth of weapons from the US and NATO, Russian drone and missile strikes have been pounding its command centers and energy infrastructure since early October. These launches have, according to Ukrainian authorities, left 40% of the country’s power infrastructure destroyed or damaged.
Amid the destruction of Ukraine’s infrastructure, a split has reportedly emerged within the White House. Some top-level Biden administration officials are urging Kiev to keep fighting Russia “for as long as it takes,” whereas Milley has declared that Ukraine cannot win militarily and should instead seize “an opportunity to negotiate.”
Ukrainian missile-production facility destroyed – Russian military
READ MORE
Ukrainian missile-production facility destroyed – Russian military
In his address on Saturday, Austin claimed that Ukraine’s population would rather go without electricity and heat than have talks with Moscow. However, he reiterated that the US would “not be dragged into [Russian President Vladimir] Putin’s war,” but would continue to funnel arms to Kiev.
Russia sent troops into Ukraine on February 24, citing Kiev’s failure to implement the Minsk agreements, designed to give the regions of Donetsk and Lugansk special status within the Ukrainian state. Earlier, the Kremlin recognized the Donbass republics as independent states and demanded that Ukraine officially declare itself a neutral country that will never join any Western military bloc. Kiev insists the Russian offensive was completely unprovoked.
In early October, the Donetsk and Lugansk People’s Republics, as well as Zaporozhye and Kherson Regions, officially became part of Russia following referendums that saw the majority of local residents vote in favor of accession.
Tangu juzi hii habari ndo inaonekana kuijaza thread.., kiufupi ni kwamba zelensiky ameshaufunga huo ukurasa wa mazungumzo na urusi.., hizi nyingine ni propaganda tu

Alafu mbona urusi anatumia nguvu nyingi sana kutuaminisha kwamba US amemwambia Ukraine akae kwenye meza ya mazungumzo??
Hii ni dalili Tosha inayoonesha kwamba urusi ameshaelemewa, anatafuta pa kujinasua na hili balaa alilojiingiza mwenyewe, lakini bahati mbaya ameshachelewa sana.
Njia anayoitumia ya kulipua miundombinu ya kijamii Ili kumforce Ukraine kuingia kwenye meza ya mazungumzo Haina tofauti na kumtongoza mwanamke au msichana kwa nguvu..,kadri utakavyozidi kutumia nguvu kumtongoza ndivyo atakavyozidi kukuchukia..,Bora tu kumuacha demu au mwanamke anayeonekana kutokukubali maana ukienda zako na kumpa kisogo huenda huyo Binti akajikuta anavutiwa na wewe ,na matokeo yake ataanza kujileta tu kwako,ikifika hatua hiyo Wala hautakuwa na haja ya kutumia Tena nguvu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
"As long as necessary".

[emoji298]️The USA has provided military aid to Ukraine for more than 20 billion dollars and will continue to provide support

This was reported by Lloyd Austin at a press conference in Indonesia.

"As of now, we have provided more than $20 billion in aid to Ukraine. You heard us say, 'We will continue to support Ukraine as long as necessary", – US Defense Secretary Lloyd Austin says.

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
 
Back
Top Bottom