kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Na makao makuu ya kheson (city centre)30% ya kherson ndio Iko Ukraine,70% ndio Iko Urusi
Yanadhibitiwa na nani vile?[emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na makao makuu ya kheson (city centre)30% ya kherson ndio Iko Ukraine,70% ndio Iko Urusi
Nyamizi unamkubali Sana morogoro kaskazini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kisago Russia alichokimbia Kherson nacho kimepitwa na wakati.ProRussia wa Buza,Warusi wa mchongo, mbona mnashida sana?[emoji848]
Warusi walipoondoka watu wanasema walipigwa sasa zamu ya Ukraine nataka nisikie kuwa kipigo ndicho kinachomkimbizaItajulikana.View attachment 2423124
Ambae nchi yake inashambuliwa ameshasema hataki mazungumzo sasa ulitaka nikuamini wewe niache kumuamini Zelenksy?!!!! Ajabu Sana.Wewe ndiye unaejua zaidi kuliko top officials wa serikali ya Marekani,ajabu sana.Na kwa nini watu msiohusika kabisa kwenye mtanange huo,hamtaki Ukraine ifanye mazungumzo na Urusi,mnataka wananchi wa Ukraine waendelee kuuwawa na kuteseka?Ni roho za kipepo kabisa hizo
DuuuhKituo cha treni Moscow chalipuliwa kwa mabomu.[emoji848]
....
Mpaka sasa nawaona Warusi ni superpower wa mchongo🤔Hiyo haiondoi ukweli kwamba kheson city centre Iko mikononi mwa ukraine.., mengine ni chai tu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio wale waliolambwa shaba baada ya kujisalimisha kisha wakaleta mambo ya ajabutunaomba umoja wa ulaya itoe na msaada wa mifuko ya kuifadhia miili ya askar wa russia. hali ni mbaya asee
View attachment 2423389
mene mene tekel na peresi.
"As long as necessary".
[emoji298]️The USA has provided military aid to Ukraine for more than 20 billion dollars and will continue to provide support
This was reported by Lloyd Austin at a press conference in Indonesia.
"As of now, we have provided more than $20 billion in aid to Ukraine. You heard us say, 'We will continue to support Ukraine as long as necessary", – US Defense Secretary Lloyd Austin says.
[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Unaangalia makao makuu,kitu msingi na thamani ni ardhi!70% Iko chini ya Russia,halafu wewe unatamba na 30% kisa ni makao makuu?🤔🤔Na makao makuu ya kheson (city centre)
Yanadhibitiwa na nani vile?[emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app