uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 888
- 2,804
Zelensky hana maamuzi ya mwisho kama mazungumzo yafanyike au la,mwenye mamlaka ya mwisho ni Marekani,mbona Ukraine ni proxy tu.I would expect watu mfurahie possibility ya Ukraine kufanya mazungumzo na Urusi,ili vita iishe,kinyume chake mnafurahia Ukraine kugima kufanya mazungumzo na Urusi,siwaelewi.Hivi ubinadamu umewatoka kabisa?Ambae nchi yake inashambuliwa ameshasema hataki mazungumzo sasa ulitaka nikuamini wewe niache kumuamini Zelenksy?!!!! Ajabu Sana.
Mimi naona wanadanganyana sana , Majeshi ya russia yaliondoka person wiki moja kabla ya majeshi ya Ukraine kufika pale, ila huku WANASEMA URUSI utapewa kichapo, kitu ambacho sio kweliAcha kudanganya watu wewe,Kherson hapa-kuwa na mapigano yeyote,it was a tactical withrawal.
Majeshi ya Ukraine yawatembezea kichapo wavamizi wa Urusi kabla ya kuikimbia Kherson 🤔
....
Mimi nafikili kuna uwezokana kukawa hakuna MAPIGANO kati ya URUSI na ukraine , kama yapo yatakuwa ni madogo sana, video nyingi zinazowekwa matandaoni, zinaweza Zikawa na miezi kadhaa ya nyuma,View attachment 2422475View attachment 2422476View attachment 2422477View attachment 2422478View attachment 2422479View attachment 2422480View attachment 2422481
🇷🇺 Ongoing construction in the Russian city - Mariupol.
The houses will be handed over by December.👏🥰
@T14 ArmataItajulikana.View attachment 2423124
Mwenye uwamuzi wa kufanyika kwa mazungumzo sio huyo Zerensiky bali ni wale wanao mpa silaha zinazo muwezesha kupambana ambao ni Marekani na washirika wake.Ambae nchi yake inashambuliwa ameshasema hataki mazungumzo sasa ulitaka nikuamini wewe niache kumuamini Zelenksy?!!!! Ajabu Sana.
Watoaji silaha nao wameshatoa msimamo waoMwenye uwamuzi wa kufanyika kwa mazungumzo sio huyo Zerensiky bali ni wale wanao mpa silaha zinazo muwezesha kupambana ambao ni Marekani na washirika wake.
Wakimuambia akae mezani akakataa wata mpa jibu moja tu hatuna silaha za kuendelea kukupa, tuone kama ataenda kutega matako yake yatoe risasi ,na mizinga.
Kama ni mfatiliaji mzuri Zelenksy alisema wakishakomboa Kherson watahamisha Raia sababu Russia wameharibu miundombinu ya nishati karibu yote kwenye huo mji,itakua vigumu kwa Raia kuishi hasa msimu huu wa baridi Kali.@T14 Armata
Hem naomba utie neno hapa MKUU kwamba jamaa wamepigwa sana na RUSSIA ama imekuaje kuaje
Maana naona nawao wanataka kujiondoa huko KHERSON au ndio ile tactical !!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Amechakazwa na kupoteza jimbo gani?Urusi hakutegemea kuchakazwa hivi[emoji848]
Kweli Vita isikie tu Kwa jirani aisee [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nachoshangaa watu wa huku Buguruni hawaoni au wanajufanya hawajui.Hapo ndio mwisho, sehemu kubwa ya Kherson ipo mashariki mwa Mto kama 70% hio 30%ipo magharibi mwa mto ndio iliyikombolewa
Kherson haipo Centre ya Jimbo. Na siyo makao makuu ya Jiji mzee ni Jimbo.Bila kusahau kwamba kheson city centre Iko mikononi mwa ukraine [emoji56][emoji56]
Maadam makao makuu jiji yako mikononi mwetu.., mengine yote yatajulikana mbele [emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe ukipita huko unazunguka mto Msimbazi unatokea kwenu KIGOGO.tunapitia njia ya zaporhizia kisha mariupol halaf tuna tokea upande wa pili wa mto. ukraine hawaendi kama mingombe.
ahsanteni kwa kunisikiliza.
Mariupol ndo kuna powerplant kubwa kabisa . Azovstal nadhanitunapitia njia ya zaporhizia kisha mariupol halaf tuna tokea upande wa pili wa mto. ukraine hawaendi kama mingombe.
ahsanteni kwa kunisikiliza.