Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

No body in his right mind believed the Empire of Lies that Russia will run out of ammunition.This only proves once more that America is indeed the "Empire of Lies."
Trust me russia kama katumia silaha zake hazizidi hata 5%, siyo mjinga asijue kwamba anapambana na NATO, yani atumie silaha zake kwa ajili ya military operation ukraine na ana zaidi ya nchi 30 za kuzitumbua kikinuka...wanajeshi wa russia waliokufa ni patriots wa ukraine pro russia, students fighting for money, mercenaries n.k, hawa alioita sa ivi ni michongo tuu, vik9si thaniti vimwtulia vikisubiria kiwake 100%
 
Watoaji silaha nao wameshatoa msimamo wao

Pentagon chief comments on Ukraine commitment

The US will keep sending weapons to Kiev until it retakes the territory it claims as its own, Defense Secretary Lloyd Austin said

on.rt.com/c5fd

Source:RT
20221122_063301.jpg
 
Kama Moskva walivyosema imepata hitilafu kidogo ya Moto halafu baadae ikazama😂😂😂😂. Hivi proRussia si ndo mlikua mnabisha humu Ukraine walivyosema wameipiga Moskva kwa Makombora,baadae mkaumbuka baada ya Russia kusema Meli imezama.

Base kule Crimea ilivyobutuliwa mkasema madhara kidogo baadae picha za satellites zikawaumbua,ndege tisa zilikua zimelipuliwa wakati Russia ilisema hakuna madhara yyte makubwa 😆
Akili za ProRussia wanazijua wenyewe
 
Haina ya haja ya vikosi vya Ukraine kusogea kitu cha msingi wahakikishe tu hao wajuba wa kirusi wapo kwenye range ya Himars,hilo tu linatosha[emoji848]
Hii ni vita ya maeneo , ushindi ni kuchukua maeneo sio kurusha makombora......unatakiwa kujenga daraja kubwa mfano wa lile la kigamboni urefu ule ule ili uvuke ,,,,warusi walijenga daraja walipo kimbia Walibomoa sasa wanajeshi wa Ukraine wakiwa Kherson wana kuwa vulnerable swali ni kwamba UTAJENGA daraja saa ngapi?? NJIA iliyobaki ni KUPITIA DONEST inatakiwa wapige vita kweli kweli ili wapite pale waweze kuichukua kherson ili waichukue Crimea ....

This conflict will only take A very LONGTIME ....
 
Mimi nafikili kuna uwezokana kukawa hakuna MAPIGANO kati ya URUSI na ukraine , kama yapo yatakuwa ni madogo sana, video nyingi zinazowekwa matandaoni, zinaweza Zikawa na miezi kadhaa ya nyuma,
NDO MAANA NASEMA HAKUNA HANAYEJUA HUKO KINACHOENDELEA NI WAO WENYEWE WANAJUA
Marekebisho kidogo ya kiufundi kuhusu Lugha.
Badala ya "nafikili" andika "nafikiri"

Badala ya "Hanayejua" andika "Anayejua"
 
Zelensky hana maamuzi ya mwisho kama mazungumzo yafanyike au la,mwenye mamlaka ya mwisho ni Marekani,mbona Ukraine ni proxy tu.I would expect watu mfarahie possibility ya Ukraine kufanya mazungumzo na Urusi,ili vita iishe,kinyume chake mnafurahia Ukraine kugima kufanya mazungumzo na Urusi,siwaelewi.Hivi ubinadamu umewatoka kabisa?
Kitu hambacho unatakiwa kujua ni kwamba urusi kapewa adhabu isiyo rasmi ya kupigana vita ya muda mrefu,Hali hii inamuumiza urusi..,na ameshaliona wazi suala Hilo ndio maana haipiti siku bila kusikia urusi kutoa matamshi kwamba Yuko tayari kwa mazungumzo na Ukraine yenye lengo la kumaliza vita
Hao marekani ni kama wanazuga tu maana hao ndio master wa huu mchezo, wanachofanya Kwa Sasa hakina utofauti na kile hambacho Huwa anafanya paka baada ya kumkamata panya,atamchezea weee! Kabla hajamuua na kumla

Marekani wameshaona wazi kwamba urusi kaelemewa na hivi vita na angetamani aachane nayo hata leo, hivyo wapo wanamchezea tu,mara waseme hili,mara waseme Lile,Ili mradi tu kuendelea kumzuga urusi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii ni vita ya maeneo , ushindi ni kuchukua maeneo sio kurusha makombora......unatakiwa kujenga daraja kubwa mfano wa lile la kigamboni urefu ule ule ili uvuke
Kabla ya chochote lazima warusi wachakazwe na makombora toka Himars ili kulegezwa mengine ndio yafuate.Kama waliuona moto wa Himars wakakakimbia huko walipotoka hapo pia Majeshi ya Ukraine yahakikishe hapakaliki 🤔
 
Kabla ya chochote lazima warusi wachakazwe na makombora toka Himars ili kulegezwa mengine ndio yafuate.Kama waliuona moto wa Himars wakakakimbia huko walipotoka hapo pia Majeshi ya Ukraine yahakikishe hapakaliki 🤔
Himars ni antimiiles .. Russia hawkukimbia Himars , wameondoka kutokana na hali ya kijiografia na tatizo labbwawa kubwa la maji kuharibika na kuketa mafuriko.

Unapoongelea mvua ya makombora jibu unalo nani anasukumiwa hiyo mvua regulary.
 
Back
Top Bottom