Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi ni kiboko yao.
Kumbi kumbi wanazidi kupukitishana


Massive layoffs in large companies are a serious call. It looks like the era of bloated IT giants is coming to an end.

At the moment, engineers and developers are being cut:
Amazon: 10,000 people;
Facebook Instagram, WhatsApp Meta - 11,000 people (13% of the state);
Twitter: 4 500 (50%);
Salesforce: 2,000 people;
Netflix: 450 people;
Intel: 20% of the staff;
Snapchat: 20% of the state;
Robinhood: 30% of the state;
Stripe and Lyft: ~13% of the state;
Zendesk: 350 people (5% of the staff);
DocuSign: 650 people (9% of the staff);
Shopify: 1000 people (10% of the staff).
Also, Disney, Boeing, and Apple have already announced serious cuts. The list can actually go on for a very long time.

Na bado, makubwa zaidi yanakuja - yaani viongozi wa magharabi na akili zao timamu wanakwenda ku-slap punitive sanction kiholela tu bila ya kufikiria kwa upana kuhusu madhara ya kiuchumi ambayo yameanza kuikumba Dunia kwa nguvu za Tsunami save Russia yenyewe ambayo uchumi wake unadunda kama kawa!!

Putin aliwaonya mazezeta hawa kwamba mnayo yafanya yatakuja kuwatokea puani - hamuwezi kujifanya as if Urusi haipo Duniani na mkafanikiwa - utabiri wa Putin ndio umeanza kudhilika taratibu mpaka wanaona aibu.

Hivi sasa ni maadamano kila kona in Continental Europe wakipinga ugumu wa maisha na kupendekeza vikwazo vya nishati kutoka Russia viondolewe mara moja pia wanashinikiza kwamba Mataifa ya Ulaya yajitoe kwenye ushirika wa NATO na kuunda jeshi la Ulaya bila ya kuishirikisha Merikani.

Ifikapo katikati ya mwaka kesho - Raia wengi wa Ulaya wataukumbuka sana utabiri wa Putin.
 
WAO WANAIMBA SISI TUNAGONGA

💥💥💥The objects of the military administration, the military-industrial complex and the power and energy infrastructure of Ukraine became the targets of rocket attacks by the Russian Armed Forces carried out the day before.

Missile manufacturing facilities were also hit💥💥💥

14 Million Ukrainians hawana umeme wanawasha chemli - depot za mafuta zikishambuliwa na missiles za jeshi la Urusi, sijui Waukraine na Rais wao mbwiya uga watakuwa wageni wa nani??
 
Hasara inapimwa Kwa Nini?
USA alimuua general wa IRAN na IRAN ikapiga kombora kwenye kambi ya USA.

Sasa aliyepata hasara kati ya hizo nchi mbili baada ya kila mmoja kuamua aliloamua ni nani?

Kambi unajenga nyengine uhai haununui na wala haujengi mwegine.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa kushangilia mgao wa umeme..,shangilieni hata huu mgao wa umeme hapa tz, maana kwa mgao tulio nao Ukraine hawaoni ndani [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mgao wa kwetu wa umeme na maji wanauona ni sawa tu na tunaustahili kabisa lakini wakati huo huo wanawacheka walio na mgawo wa kulazimishwa kwa miundo mbinu kuharibiwa.Hawa ndiyo Pro Russia sasa wa JF
 
Tazama wazee wa mahandaki wamejificha.kwenye culvert drone imewapasua hapo hapo

Kwa kichapo hiki Wacha super pawer ajipoze maumivu kwa kulipua miundombinu aisee.., nimejisikia kuwaonea huruma sana Hawa warusi..,acha wajipoze maumivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
wengi humu ni vijana wadogo, wala hawana uelewa mpana juu ya haya mambo!

hawaelewi kwanini mpaka leo Ukraine hajaruhusiwa na wakubwa zake kupiga ardhi ya urusi wala hapewi offensive weapons, wanadhani ni bahati mbaya!

wao wanaongelea sabotage za crimea kama shambulio halali, wakati kule ni kujitoa mhanga, na kimsingi ukraine huwa wanakana kuhusika!.......

kinachoendelea ukraine ndio kile kile cha vietnam, china na korea,...... NATO wanajaribu ku-support kiev isianguke jumla, zaidi ya hapo hawawezi fanya lolote
Cha kustaajabisha ni wabushi kweli kweli hata wakieleweshwa wanakaza mafuvu tu
 
Wamerekani wamemchoka Zelensk wanamuona tapeli muongo na mpumbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221118-161501~2.jpg
 
Atakaeingilia mgogoro??

Kwani kuingilia mgogoro ni nini?

Au kuingilia mgogoro nikuingia kupigana tu?

Kutoa msaada wa vifaa vita sio kuingilia mgogoro?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Haya mambo ni beyond your level. Twende TU kama unavyotaka maana huelewi kitu. Hivi unajua kimalkia kweli wewe?
 
Back
Top Bottom