Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20221118_084151_066.jpg

Xi talks to the Japanese Prime Minister.

It’s even difficult to comment here, the poses and gestures are so expressive.
 
Putin anafunguka zaidi kwa mazungumzo ya amani baada ya kupata hasara kubwa kwenye uwanja mapambano,Ukraine [emoji848]
.....
Naona kibano alichotembezewa na vijana wakakamavu wa rais zelensiky kitakua kimemkaa sawasawa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
NATO walisema Urusi akivamia ukraine watafanyaje???

Urusi wamesema lengo lao la kuvamia Ukraine ni nini? a- Je umeamini?

Inshort haya mataifa ktk mapabano wanatumia sana Propaganda kama tool pia.

Usiminnye sana ubongo
Nato walisema urusi akiivamia Ukraine wataingia vitani kupigana??

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hebu rudi shule ndugu. Hichi ndicho Putin alisema. Narudia Tena alisema atakae ingilia mgogogoro na sio atakae isaidia Ukraine kwa njia ya misaada.
View attachment 2419908
Hakuna nchi imesema wazi kuwa imetuma wanajeshi wake Ukraine elewa hivyo.
Atakaeingilia mgogoro??

Kwani kuingilia mgogoro ni nini?

Au kuingilia mgogoro nikuingia kupigana tu?

Kutoa msaada wa vifaa vita sio kuingilia mgogoro?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kajinga kengine haka huku, kila kukicha kanatest makombola ya kufika US 😀 😀 😀

North Korea tests suspected ICBM with range to reach US mainland​

Weapon landed in seas off the Japanese island of Hokkaido as Pyongyang ratchets up tension in the region.
Japanese Defence Minister Yasukazu Hamada said the weapon, which reached an altitude of 6,000km (3,730 miles), was capable of travelling as far as 15,000km (9,320 milles), giving it the range to reach the mainland of the United States.
Kama kajinga mbona akitest kombola , Mavi yanawagonga vyupi , na kulalamika sana
 
Back
Top Bottom