Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zile Ad alizopewa UKRO NAZI hazina maajabu yeyote yale

Anga linavuja kama chujio la nazi aseee daaah [emoji16][emoji22][emoji3]


[emoji1255][emoji724][emoji366][emoji362][emoji298]️DTEK Energy Company: "About 40% of consumers in Ukraine are without electricity"...Sounds like a percentage towards capitulation...

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanapeleka Patriot soon [emoji23]
 
Wengi wao ni wapuuzi tu,wanajifanya wanajua kumbe hawana lolote.Huwa tunawasoma na kuwadharau.
JF watu huamini wana akili kubwa sana. Sijajua sababu. Mara zote watu hujinadi hivyo, mpaka kuna wakati nilitamani anayejiona ana akili aweke real Id tumpime kwa maisha halisi.
 
Hapa ndipo utakapojua kwanini urusi anaipeleka mdogo mdogo hii Vita, maana wananchi sasa hivi wanajifanya wanafunga mkono serikali zao na kuvumilia Hali ngumu ya maisha
Lakini swali la Putin anawauliza watu wa west , how long wataendelea kuvumilia????, Maana Putin hana mpango wa kuimaliza Vita siku za karibuni ndiyo maana anaharibu miundo mbinu ya Ukraine halafu anatulia, Ukraine wanajitahidi kutengeneza tena faster na kuita media kuwa wamesharudisha huduma na wamesharekebisha Ile miundo mbinu iliyoharibiwa na urusi
Urusi anawaangalia anarudi tena anabomoa Ukraine wanaanza upya kiufupi Ukraine wanajikuta wanajaza tenga maji wakitegenea likae

Kwa ninachokiona sasa hii operation ikiendelea Kwa muda wa miezi sita Hadi mwaka tunatarajia machafuko makubwa ambayo hata MSM hawataweza tena kuficha na dunia nzima itajua,

Mpaka sasa naona kabisa dalili za west kuanza kuhisi harufu ya kushindwa Vita wanatafuta excuse yakujiondoa kwenye hii vita
Na mwakani mwisho dunia itaanza kuona matokeo ya Vita hii kwenye uchumi wa marekani, labda wamalize huu mgogoro mezani ili kupunguza madhara lakini Siyo kuzuia madhara watakayopata baada ya Vita au baada ya mazungumzo

Uchumi wa Ulaya umeshaanguka pamoja na Euro kinachoipa uhai dollar ni investors wengi wametoka Ulaya wamekwenda US na wengine wamebadili pesa kutoka euro to dollar, mwakani tutaanza kuona uchumi unavyoanza kuteteleka. Soko la US ni Europe sasa kama watu hawana purchasing power wataendela kununua bidhaa ghali za Mmarekani??

Kwa kota 2 za mwisho uchumi wa Marekani unasoma - growth na wanazidi kuhike interest rate [emoji1373]
 
Ni uoga CNN wanasema Biden alipewa hizo raarifa usikunakiwa anakoroma; haraka chap akaruka kuroka kitandani na kipensi mbio kupiga simu Poland kuthibitisha Hilo.

Mpaka kunakucha wore Biden, wasaidizi wake na upande wa pili mavi yalikuwa yanagonga kyupi yanarudi ndipo kulipokucha wataalam was kuchunguza picha za satelite wakasema kombora limetoka Ukraine. Hivyo waliwajulisha Poland ndio baada ya masaa kadhaa ya hofu, Biden akazungumza.
View attachment 2419655
Kitu kilichokuja kushanza baadae baada ya massa kadhaa Zele boy akatakangaza kuwa kombora limetoka Urusi. Kitendo cha Zele boy kusema hivyo kiliwashtua sana Poland na US ikabidi simu ipigwe kuwaonya Ukraine kuwa makini na hizo Shutma.
View attachment 2419656

MPAKA Sasa Biden amemnunia Zelensky na kasusa kuongea nae kwenye simu toka Juzi[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkiambiwa Rusia sio Libya muwe mnaelewa.

Ukweli ni kwamba US + NATO wanaogopa sana kuingia kwenye vita ya Moja kwa moja na Urusi
View attachment 2419658
Source CNN Inside the US scramble to run down the facts as the Russia-Ukraine war spills into NATO territory | CNN Politics

Kombora limepiga target kama sio terrorist bhs kuna target ilikua muhimu sana Russia wasingeweza kuvumilia.
 
Mkuu sheria ya kimataifa inaangalia tofauti kati ya mashambulio ya kimakusudi upande mmoja na matukio kama ajali, kosa la utekelezaji kwa upande mwingine. Tofauti hiyo haiondoi haki ya kudai fidia.
Wazee wa kheson _ mycolaiv _odessa mpooooooooooooo [emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russian forces gain control of key supply route near Pavlovka in DPR — top brass

During the combat, Russian troops destroyed over 60 Ukrainian personnel, two tanks and six combat armored vehicles

MOSCOW, November 17. /TASS/. Russian forces gained control of the road between the settlements of Pavlovka and Nikolskoye in the Donetsk People’s Republic (DPR) in the past day during the special military operation in Ukraine, Defense Ministry Spokesman Lieutenant-General Igor Konashenkov reported on Thursday.

"In the southern Donetsk area, the road between the communities of Pavlovka and Nikolskoye in the Donetsk People’s Republic was placed under full control," the spokesman said.

Russian forces also thwarted by their active operations three attacks by the Ukrainian military, which attempted to advance by three company tactical groups from the areas of the settlements of Prechistovka, Ugledar and Novomikhailovka in the Donetsk People’s Republic, the general said.

During the combat, Russian troops destroyed over 60 Ukrainian personnel, two tanks and six combat armored vehicles, the general specified.
 
Kombora limepiga target kama sio terrorist bhs kuna target ilikua muhimu sana Russia wasingeweza kuvumilia.
Mkuu bila shaka trela ya trekta iliyoharibika ilikuwa lengo muhimu sana! (sikumbuki kama ilibeba samadi ya ng'ombe au mavi ya kuku). Kwa hiyo, kama Putin mwenyewe aliagiza pigo, alijua thamani ilikuwa kubwa kuliko bei ya milioni $ kadhaa ya kombora ya Kalibr.
Isipokuwa kama ilikuwa kweli roketi ya S300, kwa bahati mbaya ni lazima ilitoka Ukraine kwa sababu S300 haziendi mbali zaidi ya km 200.
Kwa kila namna, genius Putin ama alilenga hitech ya nchi ya ahadi Urusi dhidi ya mavi ya kuku, au alisababisha wajinga Ukraine kutekeleza kazi yake.
Slawa Kremlin!
 
Russia anataka Symbolic victory, unadhani aibu aliyoipata kwa kukimbia Kherson ni ndogo?! Lazima apate cha kuonyesha wananchi wake kupitia vyombo vyake vya habari ndio maana Ukraine tangu last week walisema wana taarifa za intelligensia kwamba Russia inataka kufanya massive missile attacks kwenye miundombinu ya nishati.
Kaondoka eneo dogo tu la kherson chini ya asilimia 30 ili kupisha mto
 
Uchumi wa Ulaya umeshaanguka pamoja na Euro kinachoipa uhai dollar ni investors wengi wametoka Ulaya wamekwenda US na wengine wamebadili pesa kutoka euro to dollar, mwakani tutaanza kuona uchumi unavyoanza kuteteleka. Soko la US ni Europe sasa kama watu hawana purchasing power wataendela kununua bidhaa ghali za Mmarekani??

Kwa kota 2 za mwisho uchumi wa Marekani unasoma - growth na wanazidi kuhike interest rate [emoji1373]
Mkuu kwa nini wanunue bidhaa za Marekani? Kwanza Ulaya inaendelea kuzalisha bishaa nyingi kuliko MArekani, pili wanaendelea kununua China inayozalisha mengi zaidi kulio Ulaya na MArekani (ingawa mara nyingi kwa niaba na kwa mari ya makampuni ya Ulaya). Si kosa ukijielimisha kidogo kuhusu uhalisia wa biashara kabla ya kuandika!

BTW na China ina hamu kubwa kuendelea kuuza bidhaa zake Ulaya na hapo sababu muhimu haitaki kuona vurugio katika uchumi wa Ulaya - hapo pia sababu kwamba China imekataa hadi leo kuunga mkono vita ya Putin.
 
Lakini kwenye kuumia ki Uchumi wote Russia na Ukraine ni wahanga wakubwa sana,hakuna mwenye afadhari hapo.Mengine unaweza kuwa sahihi kabisa.
Kuumia kiuchumi kwa Ukraine haiwezi kulingana na Urusi.

Uchumi wa Urusi umeathirika kwa upande wa ukuaji yaani mfano kabla ya vita Uchumi wake ulikuwa unakuwa kwa asilimia 4 kwa sasa ukuaji umeshuka mpaka asilimia 1.5.

Wakati kwa upande wa Ukraine yenyewe imepoteza asilimia 40 ya Uchumi wake yaani haujakua tu bali wamepoteza hata ule uchumi walio kuwa nao.

Ukiangalia kwenye data za benki ya dunia uchumi wa Ujerumani umeathirika zaidi kuliko wa Urusi.

Ila mambo yana weza kubadilika yakawa mabaya kwa Urusi iwapo bei ya nishati itashuka.
 
Wazee wa kheson _ mycolaiv _ Odessa mpooooooooooooo [emoji12][emoji2957][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huko hawataki kabiss kupasikia,wako na agenda ya Kombora la Poland.Vijana wa Zelensky wanasonga mbele tu huko kwa battleground.Wakija stuka eneo jingine linakombolewa,kisha pro Russia wa JF wanapotea tena hapa kama kawaida yao [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom