Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
'Vieleele' ndiyo msamiati gani tena huu?Vipi MAREKANI mtarudi tena AFRICA somalia
Maana ni vieleele
'Vieleele' ndiyo msamiati gani tena huu?Vipi MAREKANI mtarudi tena AFRICA somalia
Maana ni vieleele
In their explanation Russia were very much sober kwamba hawakuhusika and they went even further kwamba that was a provocation by Ukraine to draw NATO into war with Russia.... Sasa nataka nikuambie wazi my dear sister...Naandika this as a professional kwa mambo fulani....NATO na West hawataki vita na Russia...ndiyo maana USA, Poland, NATO na West wamejitokeza wazi mapema kabisa kuainisha kuwa lile lilikuwa ni kombora la Ukraine...It is a big relief kwa USA, NATO na West...Wangenyamaza tu kuweka wazi hilo dunia nzima ingekuwa inawaangalia wao kwa kusema kuwa mbona hamchukui hatua dhidi ya Russia??!!! Ila Zele yeye anataka NATO waingie vitani na Russia kwa maslahi ya Ukraine....Lile kombora lilipigwa na Ukraine kwa makusudi kabisa na wala siyo accident au bahati mbaya...Hali ya Ukraine kwa sasa ni mbaya mno and they will never repeat never never recover much of the land which at present is occupied by Russia.... Kilichopo Ukraine kwa sasa ni proxy war... USA, NATO na West wanapigana proxy war dhidi ya Russia...Wao wenyewe hawataki kuingia kichwa kichwa kwenye vita kamili kwani si Russia wala West atakayeibuka mshindi kwani itakuwa vita vya nyuklia....Nchi za West zinataka kuidhoofisha Russia kijeshi, kiuchumi na kidiplomasia...Lakini Russia anajua hilo ndiyo maana yupo makini katika matumizi ya resources....West wanaumia mno kiuchumi na ni suala la muda tu kuona ni uvumilivu wa kiwango kipi citizens wa west wataweza kuendelea nao...Lakini Russia na yeye ameruka kimanga kuwa siyo yeye aliyepiga hilo kombora au hukuona?
Haya anamsaidia Ukraine kwa kila leo na kutangaza hutangaza nendeni mkampige kama mlivyosema kama yoyote ataemsaidia atapata kipigo.Kwani sio kweli?
Scenario ya Iraq ya enzi zile na Urusi ya Sasa ni tofauti mno...Ha ha haa.
Wanaogopa kusema kua kombora limetoka Urusi,kwa sababu Seria ya NATO kujibu mapigo itshusika.
Sasa inaona mlima ulio mbele Yao ni mkubwa mno.
Lkn kwa Sadam Husein alizushiwa TU na akina Colin Powell kuwa anatengeneza silaha za maangamizi wakati wakaguzi wa UN waliozunguka Iraq yote hawakuona hata sumu ya panya TU.lkn Iraq ilipigwa.
Urusi ni Heavyweight.
Zile Ad alizopewa UKRO NAZI hazina maajabu yeyote yaleHivi Ukraine kuna airdefense?? Maana Russia akitaka kufanya fujo muda wowote anafanya [emoji23][emoji23]
Kuna kutoa msaada na kuingilia. Kama hujui uwe unaomba usaidiweHaya anamsaidia Ukraine kwa kila leo na kutangaza hutangaza nendeni mkampige kama mlivyosema kama yoyote ataemsaidia atapata kipigo.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Lakini kwenye kuumia ki Uchumi wote Russia na Ukraine ni wahanga wakubwa sana,hakuna mwenye afadhari hapo.Mengine unaweza kuwa sahihi kabisa.In their explanation Russia were very much sober kwamba hawakuhusika and they went even further kwamba that was a provocation by Ukraine to draw NATO into war with Russia.... Sasa nataka nikuambie wazi my dear sister...Naandika this as a professional kwa mambo fulani....NATO na West hawataki vita na Russia...ndiyo maana USA, Poland, NATO na West wamejitokeza wazi mapema kabisa kuainisha kuwa lile lilikuwa ni kombora la Ukraine...It is a big relief kwa USA, NATO na West...Wangenyamaza tu kuweka wazi hilo dunia nzima ingekuwa inawaangalia wao kwa kusema kuwa mbona hamchukui hatua dhidi ya Russia??!!! Ila Zele yeye anataka NATO waingie vitani na Russia kwa maslahi ya Ukraine....Lile kombora lilipigwa na Ukraine kwa makusudi kabisa na wala siyo accident au bahati mbaya...Hali ya Ukraine kwa sasa ni mbaya mno and they will never repeat never never recover much of the land which at present is occupied by Russia.... Kilichopo Ukraine kwa sasa ni proxy war... USA, NATO na West wanapigana proxy war dhidi ya Russia...Wao wenyewe hawataki kuingia kichwa kichwa kwenye vita kamili kwani si Russia wala West atakayeibuka mshindi kwani itakuwa vita vya nyuklia....Nchi za West zinataka kuidhoofisha Russia kijeshi, kiuchumi na kidiplomasia...Lakini Russia anajua hilo ndiyo maana yupo makini katika matumizi ya resources....West wanaumia mno kiuchumi na ni suala la muda tu kuona ni uvumilivu wa kiwango kipi citizens wa west wataweza kuendelea nao...

Hapa ndipo utakapojua kwanini urusi anaipeleka mdogo mdogo hii Vita, maana wananchi sasa hivi wanajifanya wanafunga mkono serikali zao na kuvumilia Hali ngumu ya maisha.West wanaumia mno kiuchumi na ni suala la muda tu kuona ni uvumilivu wa kiwango kipi citizens wa west wataweza kuendelea nao...
Alichotakiwa kufanya nikufuata mkataba alioingia na Russians lakini yy alivunja mkataba Kwa kutegemea silaha za kupewa zitamsaidiaHahaa Mkuu are you serious??.
Unasema Zele angejua asinge ingia vitani,really??
Are you serious??
Ulitaka Zele afanyeje baada ya kuvamiwa.
Ulitaka afanyeje?, asarende amkabidhi Putini nchi?.
Comeon dude.
Mi sio mshabiki wa Zele wala Putin ila naona alicho fanya Zele hata Mimi ningefanya, jamaa anajaribu kupambania nchi yake.
Najua sababu za Putini kumvamia Zele lakini hazitoshi kumfanya Zele ajikabidhi kwa urusi.
Maamuzi ya Zele ni yakishujaa kwasababu Anajua Ukraine ni nchi huru na inamaamuziyake kama nchi.
Ukiona nchi nyingine inakupangia chakufanya kwa faidayake ukikubali maana yake huna nchi, then anaekupangia akikulazimisha ufanye anavyo taka nini kina fuata, Just fight, right?.
Ungekuwa wewe Zele ungefanyaje.
Anachofanya Russians ni km kilichofanywa na USA+NATO kuwapa uhuru Kosovo na Russians naye anawasaidia Donbass region kupata uhuru wake9
Kwanini sasa walijimegea Crimea? na bado wakanogewa wakataka Ukraine yote,kama sio kufurushwa tu nchi yote ingekuwa imepiga kura feki kujiunga na urusi.
Yani unaongelea swala la uchumi US! West wameanza kutoa misaada mwaka huu?[emoji16],Hapa ndipo utakapojua kwanini urusi anaipeleka mdogo mdogo hii Vita, maana wananchi sasa hivi wanajifanya wanafunga mkono serikali zao na kuvumilia Hali ngumu ya maisha
Lakini swali la Putin anawauliza watu wa west , how long wataendelea kuvumilia????, Maana Putin hana mpango wa kuimaliza Vita siku za karibuni ndiyo maana anaharibu miundo mbinu ya Ukraine halafu anatulia, Ukraine wanajitahidi kutengeneza tena faster na kuita media kuwa wamesharudisha huduma na wamesharekebisha Ile miundo mbinu iliyoharibiwa na urusi
Urusi anawaangalia anarudi tena anabomoa Ukraine wanaanza upya kiufupi Ukraine wanajikuta wanajaza tenga maji wakitegenea likae
Kwa ninachokiona sasa hii operation ikiendelea Kwa muda wa miezi sita Hadi mwaka tunatarajia machafuko makubwa ambayo hata MSM hawataweza tena kuficha na dunia nzima itajua,
Mpaka sasa naona kabisa dalili za west kuanza kuhisi harufu ya kushindwa Vita wanatafuta excuse yakujiondoa kwenye hii vita
Na mwakani mwisho dunia itaanza kuona matokeo ya Vita hii kwenye uchumi wa marekani, labda wamalize huu mgogoro mezani ili kupunguza madhara lakini Siyo kuzuia madhara watakayopata baada ya Vita au baada ya mazungumzo
Tushasema toka mwanzo, Russia ukitoa makombora anabaki Kama Uganda.Kilichoabaakia wa Putin ni kurusha makombola ya masafa marefu kuharibu miundombinu -!! kwenye uwanja wa vita wanamhemea mgongoni dadadeq.
Sidhani Kama Kuna nchi Ina air defense ambayo haitoruhusu kombora hata moja kutua, ni ngumu kuwa na ufanisi 100%Hivi Ukraine kuna airdefense?? Maana Russia akitaka kufanya fujo muda wowote anafanya [emoji23][emoji23]
Ni uoga CNN wanasema Biden alipewa hizo raarifa usikunakiwa anakoroma; haraka chap akaruka kuroka kitandani na kipensi mbio kupiga simu Poland kuthibitisha Hilo.Nato wenyewe wamesema missile tumetoka ukraine sio URUSI, sasa sijui ni uoga tuu