Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tarehe 16 ni siku nying acha mahaba
Alichoongea uongo nini hapo .
Wewe ndiye mjuzi tuambie mmefanikiwa nini ?
Kama wewe ni mfuatiliaji kweli this is not the first time for General Milley to come with such a comment or rather analysis....
 
There are hundreds of missiles/drones hitting Ukraine every day,where is the air protection that was supposed to be provided to the Ukrainians?It is ridiculous,failure,tragedy,a fault of the absence of NATO supplies and their cowardice in not committing NATO armies.

Hapohapo Ukraine kapewa Airdefense kutoka kila kona, airdefense za west zinafanya kazi kwa mataifa kama Iraq, Libya na Somalia
 
IMG_7762.jpg
 
Utumbo gani huu umeandika....? hii nchi kila mtu mtaalamu wa masula ya vita, mahusiano ya kimataifa na ushirikiano.
 
Mrusi so far kashashika adabu kwamba next time hatavamia taifa lingine kichwa kichwa !! na sasa ataingia kwenye mazungumzo ya amani bila masharti yoyote mezani kitu ambacho ni ushindi kwa Ukraine.

Hakuna wa kumzuia Ukraine kujiunga na NATO, hata kama itachukua miaka lakini kama wao wanataka Putin ni nani ?
Wajiunge kama wanaweza
 
Zele alipewa options na Putin, aseme hatojiunga Nato au akaubali vita. So he chose war. Alijua NATO watampa uwanachama Kwa kuwa anapigana na adui Yao .shenzi zake kaishia majivu na madeniii
Why should he given option.
Wewe ungekuwa rais alafu mwanaume mwenzio ukupe option ya ku act anavyo taka ama uchague vita ungechagua nini.

Nikama mtaanikwako mtu jiraniyako akupangie marafiki utakubali.

Ukikubali then wewe ni mtumwa wake.
 
🤣🤣 Zele huko amekazana kombora ni la Russia....Lakini sponsors wake wamekazana kombora siyo la Russia...interesting...
🇺🇲🇺🇦 There are angry comments in the Western press about Zelensky's denial that the rocket that fell in Poland was Ukrainian.

Recall that he stated that "I have no doubt that it was not our missile and not our missile attack."

"It's getting ridiculous. The Ukrainians are destroying [our] trust in them. Nobody blames Ukraine and they are outright lying. It's more destructive than a missile," a diplomat from a NATO country told the Financial Times when asked to comment on Zelensky's statement.
 
Miscalculation kwenye vita ni kitu ambacho hakiepukiki,hata Marekani ilishawahi kupiga Bomu ubalozi wa china kwa bahati mbaya wakati wa Vita kule Yugoslavia na kuua waandishi wa habari watatu, hakuna kilichotokea.
Vita sio km mieleka kwamba Mtu amekuchokoza tu bhas tayari usharusha ngumi
Haikuwa miscalculation walipiga wakijua ujerumani imetumia ubalozi wake kama centre ya magaidi wa Ukraine [emoji1255]. Na hawakufanya kitu
 
Ukraine inaenda kuwa kama Somalia tu na ndio Russia strategic planning yake RAIA mnaishi kwa wasi wasi hujui saa ngapi BOMU litalipuka na sehemu ipi ukweli Iran ndio imebadilsha sura nzima ya vita na Dron zake zina piga kelele kama engine ya pikipiki maana zikiwa zina kuja kama NYUKI na gharama yake kuitengeneza haizid $20000.
 
Russia is strategically focused on building a multipolar world. It is almost single handedly bringing down great world military powers all at once.

Fortunately this war has many fronts than just combat battle fields, and from what I see, the so called West and by this I mean US and it’s allies like EU, UK together with NATO have sensed defeat.

All their attempts to isolate, sanction and Russophobia campaigns have brought nothing to bear or deter Russia from pursuing this noble cause.

The master plan was drawn long time ago, we are now at one of those phases of implementation, soon the US will be down as a super power opening the door to China which is set to be the next big thing. In the process, many countries are experiencing self actualisation and consciousness. Meaning, many countries will be able to challenge the status quo without fear of their leaders being toppled by some rubbish American government should those leaders choose not to toe the line Americans wants them to.

It is a matter of time, for now, let us all keep our eyes open and watch the game as it unfolds.

I am DALA, and I Support Russia! I support Vladimir Putin.
 
[emoji1787][emoji1787] Zele huko amekazana kombora ni la Russia....Lakini sponsors wake wamekazana kombora siyo la Russia...interesting...
Lakini Russia na yeye ameruka kimanga kuwa siyo yeye aliyepiga hilo kombora au hukuona?
 
Hahaha majenerali wa West bwana...duh...Kwanza habari yenyewe ni ya siku nyingi...halafu, Kama Russia has lost then why the worry? Huyu sawa na yule mchambuzi Clarke wa BBC ambaye huwekewa ramani ya front na kuanza kuchonga kiuchambuzi...stupid generals..
Yani unamdharau real General wakati wewe hata hujawahi kuvaa gwanda la mgambo? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wazi wewe ni mchanga mno katika kujenga hoja, kuelewa issues, kuelewa how the international system functiion and how actors in international relations behave...You don't know anything...wewe baki kuandika: kukaza shingo, superpower wa mchongo, fashisti Putin ...huwezi kuendelea zaidi ya hapo...huna analytical capacity..
Hapa tu nyinyi wabobezi na nguli wa haya maswala ndiyo huwa mnatuchosha sisi tusiojua kitu.Badala ya kutuelimisha tuelewe unaishia kutuzodoa.Hivi kwani nyinyi 'Wabobezi' mlizaliwa mnajua kila kitu au na nyinyi mlifundishwa pia? Hao waliokufundisheni wangekuwa wanakuleteeni madharau kama mnayotuletea sisi tusiojua kitu mngekuwa na huo uelewa kweli[emoji848][emoji848]
 
1.Zelensky aliamini angewahi kujiunga NATO wangemtetea kwa kuanzisha 'Article 5' . Russia alilitambua hilo na kumvamia haraka kabla hajasajiliwa ili akwepe show na NATO

2. NATO walipogundua Russia kawawahi na anajipigia tu Kiev kama koloni lake. Nao kama nchi mojamoja wanashindwa kwenda Ukraine kupiga SHOW ya kumtoa Russia zaidi wanampa Zele Anti Missiles azugezuge tu sababu wameshabugi na wao ndo walimponza.

3. NATO anajaribu kumpunguza nguvu Russia kwa vikwazo na subbotages kadhaa ikiwemo Nord Streams 1 na 2. Russia anafight back na kudhibiti exports za nishati na vyakula huku akizidi kuibomoa Ukraine na miundombinu muhimu ya Nishati na NATO wakitazama tu huku Recession ikipanda kwa kasi ulimwenguni.

4. Zele kawaita nato waweke 'No Fly Zone' wamegoma hata Kiranja wa Dunia (US) aligoma sababu hawataki Show Show na Russia. Russia katishia kushambulia mchi itakayomsaidia Ukraine, Mataifa ya Eu yanaisaidia Ukraine kwa kivuli cha NATO wakitegemea Article 5 . Israel hayupo kwenye Article 5 kagoma kuisaidia Ukraine sababu hataki Show show na Russia .

5. Zelensky akaomba Makombora ya Masafa marefu ili ashambulie Moscow na maeneo mengine ndani ya Russia, NATO wamegoma na kiranja mkuu KAGIMA.

Hatimaye Zele kaamua kurusha 'Surface to Air Missile' huko Poland kuwachonganisha. Russia amekana haraka na NATO wamekanusha haraka pia ikiwemo KIRANJA Mkuu (US) . Poland mwenyewe amekanusha haraka kuwa inaweza kuwa siyo Russia.

6. Nyongeza:
Taiwan haipo Nato na hailindwi na Article 5 ya Nato. Kwa somo la Ukraine haitajitangazia uhuru (Never) , Na China haitaivamia Taiwan bila sababu za maingi. Maisha yataendelea kama yalivyo Taiwan itaendelea kuwepo bila kutambulika kama Taifa.

Somo la wazi tukitoa unazi.
Article 5 haimsaidii mNATO yeyote atakayeanza kushambulia taifa lingine bila resolution ya Nato. So hakuna taifa litaanzisha noma na Russia kisa ukraine, Russia hatoanzisha Noma na Nato wala US individually.

Wanaheshimiana, wanaogopana, wanaogopa madhara. Mvamizi anaogopa Retaliation strength sababu anayevamiwa anajua ukubwa na hatari ya nguvu ya anayemvamia. Matumizi ya Nuclear yanaweza kuhusika mmojawapo akianza kujihami.

It will never Happen vita kati ya NATO na Russia , Kati ya US na China wala US na Russia kisa tu Ukraine na Taiwan...

Zelensky ajitathmini.
Toka vita hii ianze we umeongea fact , Sio Wengine Wanaonyesha Ushabiki
 
Hapa tu nyinyi wabobezi na nguli wa haya maswala ndiyo huwa mnatuchosha sisi tusiojua kitu.Badala ya kutuelimisha tuelewe unaishia kutuzodoa.Hivi kwani nyinyi 'Wabobezi' mlizaliwa mnajua kila kitu au na nyinyi mlifundishwa pia? Hao waliokufundisheni wangekuwa wanakuleteeni madharau kama mnayotuletea sisi tusiojua kitu mngekuwa na huo uelewa kweli[emoji848][emoji848]
Bora leo umekubali hujui haya mambo.
 
Back
Top Bottom