kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwanza inabidi utambue kwamba siwezi kupoteza muda na kuchosha akili yangu kujibizana kwa hoja makini na nyinyi mahayawani...,nyie dawa yenu ni kujibiwa tu kipumbavu kulingana na upumbavu wenu...,Kwa hiyo umeandika kiingereza Ili uonekane mbobezi ,sio?Ni wazi wewe ni mchanga mno katika kujenga hoja, kuelewa issues, kuelewa how the international system functiion and how actors in international relations behave...You don't know anything...wewe baki kuandika: kukaza shingo, superpower wa mchongo, fashisti Putin ...huwezi kuendelea zaidi ya hapo...una analytical capacity..
Ukweli ni kwamba urusi hakuna chochote alichoambulia huko Ukraine.., Kama ni kujiunga na NATO, ukraine tayari katuma maombi ya kujiunga na NATO.., Finland na Sweden tayari zimeshatuma maombi ya kujiunga na NATO...,Ile mikwara ya referendum tayari imegonga mwamba
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app