Mkuu huoni mazungumzo hayo ni kitoto kabisa?Sasa wewe na huyu rais wa UKRAINE tumuamini nani MKUU
Ikiwa RAIS wa UKRAINE anasema hivi unatka nimuamini nani kati yake nawewe!!!??
Basi itakua UFO ndio wamepiga POLAND maana UKRAINE umemsikia Elensky hapo na RUSSIA wamekanusha
Basi itakua limetokra kusikojulikana
[emoji1255][emoji1782] I have no doubt that the rocket that caused the explosion in Poland was not Ukrainian - Zelensky
Sent using Jamii Forums mobile app
A) Kila mtu anayetaka kujua anajua ilikuwa S300;
B) uwezekano ni mkubwa ilikuwa S300 ya Ukraine - kwa sababu S300 za Kirusi haziwezi kufika umbali huu kutoka pale ambako Warusi walirusha roketi - ni tabia ya S300. (ambayo kimsingi ni roketi ya kutetea anga lakini Warusi wameanza kuzitumia kutoka ndege kwa kulenga ardhini kwa sababu hawana vifaa vya kutosha kama Kalibr n.k. - ila haziendi umbali huu)
C) kila mtu anayejua mambo kidogo anajua kwamba vitani kila upande unajitahidi kupiga propaganda iwezekanavyo
D) kila mtu anajua kwamba tukio hili linaonekana kama ajali na sasa hakuna mwenye nia ya kuingia katika vita NATO-Urusi (pande zote mbili - labda isipokuwa Zelenski mwenye upande wake);
Tushukuru kwamba upande wa Urusi kuna akili ya kutosha kwamba hawakujaribu uchokozi mpumbavu na hatari - na upande wa NATO kuna akili ya kutosha ya kutotafuta sababu ya kupiga Urusi.