Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naunga mkono hoja,ingawa Russia amejifunza kitu ukraine maana alichoyegemea na alichokikuta ni mbingu na ardhi kwa sasa anatapa tapa kuokoteza visiraha kwa nchi maskini kama korea kaskazini,kwa hakika hatawahi kumvamia jirani yeyote,dharau zimemwishia.
Wewe unaharibu mada ya jamaa...hatutaki mipasho humu...tunataka tuone wachangiaji huru wenye data na maoni kwa ajili ya kujifunza
 
Hapa ni kwamba Poland wametokwa ni kimbelembele.....
Bila Urusi kushambulia Ukraine..na Ukraine kujaribu kulipua hilo kombora ...hao wapoland wawili wasingelikufa....
Indirectly Russia kahusika kabisa na mauaji hayo...

Tulitarajia Poland angekuwa mkali sana kwa kumlaumi Mrusi kwa kusababisha maafa kwake kupitia vita vya Ukraine...
Mkuu unasema kweli. Kulaumu watalaumu Urusi. (katika ugomvi hutaki kukosa nafasi ya kualumu, sivyo?) Ila tu ilhali wote wanaelewa ilikuwa aina ya "ajali", hakuna anayetaka kupeleka jambo kwa ngazi ya juu zaidi. Labda wataandika barua kudai fidia, ambayo wanajua hawatapata . . .
 
Iran level nyingine dogo makamanda .Iran iliwapa Lebanon mafunzo na mbinu za kitoto Hezbollah hatimaye Israel ikasalimu amri mbele ya waarab wa Lebanon


Nenda kasome operation bint jubeil kwanza uache maneno mengi
Nyingine hiyo mwezi jana. Yani Israel kushambulia silaha za Iran ni kama kucheza online game. Muda wowote wakijisikia
IMG_20221116_202111.jpg
 
Na silaha anazopewa nyingi zinaishia kuharibiwa na high precision russia's missiles....
Anatamani ku-quit lakini ameshavuka mstari wa no return sababu kala sana hela za NATO na hajadeliver matokeo.
 
Taharifa zilizopo ni kwamba super pawer wa mchongo ataendelea kuchazwa mpaka ateme bungo[emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nasikia Urusi kashapanga kabisa kujenga soko kuu la watumwa pale London.tukitaji watumwa wa kizungu tunaenda kujinunulia, nasisi tulipize kisasi kama walivyowafanyia wazee wetu hao mbwa miaka ya nyuma.

Yani huu mwaka ni raha tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu humu wanamsifia katuni zelensky kuwa ni kidume
Kidume gani kila siku anaomba asaidiwe na wanaume wenzie kumpiga jirani yake!!!
Zele anatia aibu sana,nina mashaka ni member wa rainbow community
 
Siku nyingine ukitaka ku argue na mimi kaa na notisi kabisa.
Pale umeuliza swali la kipuuzi. Unauliza kama Libya na Iraq zilikuwa NATO. Sasa hii hata tumlete class 7 kweli atafikiria Libya au Iraq kuwa na uwezekano wa kuwa wanachama wa NATO. Mtu kama wewe ndio unataka nije na notisi, elimu bure haijakusadia?
 
Pale umeuliza swali la kipuuzi. Unauliza kama Libya na Iraq zilikuwa NATO. Sasa hii hata tumlete class 7 kweli atafikiria Libya au Iraq kuwa na uwezekano wa kuwa wanachama wa NATO. Mtu kama wewe ndio unataka nije na notisi, elimu bure haijakusadia?
T14 Armata ebu tupeni jibu la kueleweka maana tunashindwa hata kufanya mambo mengine kwa sababu yenu.

Vita ipo au haipo?
 
Nasikia Urusi kashapanga kabisa kujenga soko kuu la watumwa pale London.tukitaji watumwa wa kizungu tunaenda kujinunulia, nasisi tulipize kisasi kama walivyowafanyia wazee wetu hao mbwa miaka ya nyuma.

Yani huu mwaka ni raha tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati huo Putin atakuwa huko uholanzi akijibu mashtaka[emoji848][emoji848]
1666891558188.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Drone hazina watu, Marekani ina zaidi ya $600 billion bajeti ya kijeshi kwa mwaka. Kuangusha drone mbili hauipunguzii chochote. Marekani kaua Jenerali wa Iran na imeufyata.

Kama China tu imeogopa kumgusa Spika wa Bunge Marekani sembuse hiyo Iran. Kuna nchi inaweza kujaribu kumgusa four star General wa Marekani?

Sasa Israel mbona hizo drones za Iran huwa inaharibu kila mwaka. Yani hata huu mwaka kabla haujaisha, kuna silaha za Iran zitapigwa na Israel. Siku sita zilizopita na hakuna kitu Iran itafanyaView attachment 2418805
Kuweka kumbukumbu sawa,Iran hakuufyata Bali alirespond Kwa kupiga Kambi ya kijeshi ya US!
Baada ya hapo,US akaufyata!
 
Muda bado tulia wewe pro-Russian...

Kiranja wa dunia akuandalie mianzi ya moto
Nje ya mada mbona..

Pro Russia nani?

Labda uniite Pro Superpowers. Sababu sipiganishi US, NatoEu wala Russia sababu nawajua ndo mighty powers duniani.

Mada haiongelei hilo lako mzee
 
Back
Top Bottom