Drone hazina watu, Marekani ina zaidi ya $600 billion bajeti ya kijeshi kwa mwaka. Kuangusha drone mbili hauipunguzii chochote. Marekani kaua Jenerali wa Iran na imeufyata.
Kama China tu imeogopa kumgusa Spika wa Bunge Marekani sembuse hiyo Iran. Kuna nchi inaweza kujaribu kumgusa four star General wa Marekani?
Sasa Israel mbona hizo drones za Iran huwa inaharibu kila mwaka. Yani hata huu mwaka kabla haujaisha, kuna silaha za Iran zitapigwa na Israel. Siku sita zilizopita na hakuna kitu Iran itafanya
View attachment 2418805