1.Zelensky aliamini angewahi kujiunga NATO wangemtetea kwa kuanzisha 'Article 5' . Russia alilitambua hilo na kumvamia haraka kabla hajasajiliwa ili akwepe show na NATO
2. NATO walipogundua Russia kawawahi na anajipigia tu Kiev kama koloni lake. Nao kama nchi mojamoja wanashindwa kwenda Ukraine kupiga SHOW ya kumtoa Russia zaidi wanampa Zele Anti Missiles azugezuge tu sababu wameshabugi na wao ndo walimponza.
3. NATO anajaribu kumpunguza nguvu Russia kwa vikwazo na subbotages kadhaa ikiwemo Nord Streams 1 na 2. Russia anafight back na kudhibiti exports za nishati na vyakula huku akizidi kuibomoa Ukraine na miundombinu muhimu ya Nishati na NATO wakitazama tu huku Recession ikipanda kwa kasi ulimwenguni.
4. Zele kawaita nato waweke 'No Fly Zone' wamegoma hata Kiranja wa Dunia (US) aligoma sababu hawataki Show Show na Russia. Russia katishia kushambulia mchi itakayomsaidia Ukraine, Mataifa ya Eu yanaisaidia Ukraine kwa kivuli cha NATO wakitegemea Article 5 . Israel hayupo kwenye Article 5 kagoma kuisaidia Ukraine sababu hataki Show show na Russia .
5. Zelensky akaomba Makombora ya Masafa marefu ili ashambulie Moscow na maeneo mengine ndani ya Russia, NATO wamegoma na kiranja mkuu KAGIMA.
Hatimaye Zele kaamua kurusha 'Surface to Air Missile' huko Poland kuwachonganisha. Russia amekana haraka na NATO wamekanusha haraka pia ikiwemo KIRANJA Mkuu (US) . Poland mwenyewe amekanusha haraka kuwa inaweza kuwa siyo Russia.
6. Nyongeza:
Taiwan haipo Nato na hailindwi na Article 5 ya Nato. Kwa somo la Ukraine haitajitangazia uhuru (Never) , Na China haitaivamia Taiwan bila sababu za maingi. Maisha yataendelea kama yalivyo Taiwan itaendelea kuwepo bila kutambulika kama Taifa.
Somo la wazi tukitoa unazi.
Article 5 haimsaidii mNATO yeyote atakayeanza kushambulia taifa lingine bila resolution ya Nato. So hakuna taifa litaanzisha noma na Russia kisa ukraine, Russia hatoanzisha Noma na Nato wala US individually.
Wanaheshimiana, wanaogopana, wanaogopa madhara. Mvamizi anaogopa Retaliation strength sababu anayevamiwa anajua ukubwa na hatari ya nguvu ya anayemvamia. Matumizi ya Nuclear yanaweza kuhusika mmojawapo akianza kujihami.
It will never Happen vita kati ya NATO na Russia , Kati ya US na China wala US na Russia kisa tu Ukraine na Taiwan...
Zelensky ajitathmini.