Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️[emoji631] U.S. General Milly admitted that the AFU could not dislodge Russian troops from Ukraine [emoji635][emoji1255]

The current chairman of the U.S. Armed Forces Chiefs of Staff, senior U.S. general Mark Milley said that in many parts of the front line the Russian Armed Forces have a serious operational advantage, which does not give the Ukrainian Armed Forces a serious chance.

[emoji187] Getting the Russians physically out of Ukraine is a very difficult task. And it won't happen in the next couple of weeks unless the Russian army completely collapses, which is unlikely," said the American general.

Based on: @truekpru

#war_in_Ukraine
#Russian_troops

#English [emoji636]

InfoDefenseENGLISH,
InfoDefense

Sent using Jamii Forums mobile app
T14 Amarta na Proved hawatakubaliana kabisa na Huyu Gen wa USA.
Watampinga nakuambia.
 
[emoji298]️[emoji631] U.S. General Milly admitted that the AFU could not dislodge Russian troops from Ukraine [emoji635][emoji1255]

The current chairman of the U.S. Armed Forces Chiefs of Staff, senior U.S. general Mark Milley said that in many parts of the front line the Russian Armed Forces have a serious operational advantage, which does not give the Ukrainian Armed Forces a serious chance.

[emoji187] Getting the Russians physically out of Ukraine is a very difficult task. And it won't happen in the next couple of weeks unless the Russian army completely collapses, which is unlikely," said the American general.

Based on: @truekpru

#war_in_Ukraine
#Russian_troops

#English [emoji636]

InfoDefenseENGLISH,
InfoDefense

Sent using Jamii Forums mobile app
"very difficult" but not impossible.
 
Ukicheki kaeneo kanakomwangaisha anayejiita super pawer utaishia kucheka tu..., wanaoshabikia huyu super pawer mna kazi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums2104698285.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni uoga CNN wanasema Biden alipewa hizo raarifa usikunakiwa anakoroma; haraka chap akaruka kuroka kitandani na kipensi mbio kupiga simu Poland kuthibitisha Hilo.

Mpaka kunakucha wore Biden, wasaidizi wake na upande wa pili mavi yalikuwa yanagonga kyupi yanarudi ndipo kulipokucha wataalam was kuchunguza picha za satelite wakasema kombora limetoka Ukraine. Hivyo waliwajulisha Poland ndio baada ya masaa kadhaa ya hofu, Biden akazungumza.
View attachment 2419655
Kitu kilichokuja kushanza baadae baada ya massa kadhaa Zele boy akatakangaza kuwa kombora limetoka Urusi. Kitendo cha Zele boy kusema hivyo kiliwashtua sana Poland na US ikabidi simu ipigwe kuwaonya Ukraine kuwa makini na hizo Shutma.
View attachment 2419656

MPAKA Sasa Biden amemnunia Zelensky na kasusa kuongea nae kwenye simu toka Juzi😂😂😂

Mkiambiwa Rusia sio Libya muwe mnaelewa.

Ukweli ni kwamba US + NATO wanaogopa sana kuingia kwenye vita ya Moja kwa moja na Urusi
View attachment 2419658
Source CNN Inside the US scramble to run down the facts as the Russia-Ukraine war spills into NATO territory | CNN Politics
Mimi siku zote huwa nasema nato wakiingia vitani na Urusi hamna tofauti na samaki aliyejidumbukiza kwenye karai la mafuta yanayochemka au itakuwa hamna tofauti na mtu aliyeamua kujinyonga kwa ridhaa yake.

Urusi ni habari nyingine kwenye hii sayari sema tu Urusi haipendi kuonea mataifa mengine labda ichokozwe.

Leo hii America wangekuwa na uwezo alionao Urusi dunia yote tungekiona cha moto
 
Zile Ad alizopewa UKRO NAZI hazina maajabu yeyote yale

Anga linavuja kama chujio la nazi aseee daaah [emoji16][emoji22][emoji3]


[emoji1255][emoji724][emoji366][emoji362][emoji298]️DTEK Energy Company: "About 40% of consumers in Ukraine are without electricity"...Sounds like a percentage towards capitulation...

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vinapenya tu
 
Mimi siku zote huwa nasema nato wakiingia vitani na Urusi hamna tofauti na samaki aliyejidumbukiza kwenye karai la mafuta yanayochemka au itakuwa hamna tofauti na mtu aliyeamua kujinyonga kwa ridhaa yake.

Urusi ni habari nyingine kwenye hii sayari sema tu Urusi haipendi kuonea mataifa mengine labda ichokozwe.

Leo hii America wangekuwa na uwezo alionao Urusi dunia yote tungekiona cha moto
Team upinde watabisha.
Hilo kombola limedhihirisha ni jinsi walivyo waoga
 
Ignore/block inakuhusu....
Mkuu si lazima kuiga marafiki wa Putin katika kiwango cha upuuzi wanayosambaza. Hapana, hata bila silaha za nyuklia Urusi haitakuwa kama Uganda. Na wewe unaijua. Kwa nini unasema jambo ambalo halina maana?
 
Wakuu wa CIA na SVR wakutana mida hii kwa mazungumzo.

Wakuu wa vyombo vya ujasusi vya Marekani CIA bwana William Burns na mkurugenzi wa idara ya ujasusi wa nje ya Russia SVR bwana Sergei Naryshkin mida hii wanakutana nchini Uturuki kuzungumzia masuala mazito ya kiusalama yanozihusisha nchi hizo mbili, hususan matumizi ya mabomu ya nyuklia.

Russia imekuwa ikikabiliana na madai kwamba huenda ikatumia mabomu hayo ya masafa ya kati katik amgogoro wake unoendelea nchini Ukraine.

Bwana Burns ambae aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Russia amemtahadharisha bwana Naryshkin kuwa matumizi ya mabomu ya nyuklia yatakumbana na majibu ambayo yataharibu mstakabali wa kistratejia kati ya nchi hizi mbili kubwa duniani.

Bwana Burns alitumwa na Marekani mapema mwaka huu kuzungumza na Russia juu ya uwepo wa majeshi ya Russia mpakani na Ukraine kabla nchi hiyo haijaivamia Kyiv.

Mkutano kati ya wakuu hao wawili umeandaliwa na Marekani ambao nyuma ya pazia wamekuwa katika harakati za kutaka mgogoro huo umalizwe mapema kabla ya mwaka mpya. Marekani pia imefanikiwa kufanikisha mkutano kati ya raisi Joe Biden na raisi wa China Xi Jingpin wakati wa mkutano wa G20 ambao raisi wa Russia Vladmir Putin hakuhudhuria.

Naibu waziri wa mambo ya nje wa Russia bwana Sergei Ryabkov amesema Marekani na Russia walipanga kukutanisha majasusi hao bwana Burns na Naryshkin mapema ikiwa pia ni maandalizi ya mkutano wa nchi zenye silaha uitwao New Start ulopangwa kufanyika mjini Cairo kuanzia tarehe 29 November hadi 6 December.

Sergei Naryshkin ni mmoja wa kundi la wanafunzi walofuzu katika chuo kikuu cha masuala ya ujasusi cha KGB amblo inasemwa kuwa raisi Putin alikuwamo.

Pia katika kazi zake za ujasusi wa nje Naryshkin aliwahi kufanya kazi katika ubaloizi wa Russia nchini Ubelgiji kati ya mwaka 1988 na 1992. Kwa kifupi ni kwamba huyu jamaa ni supremo katika nyanja za ujasusi na ana shahada na tuzo mbalimbali katika shughuli zake.

Naryshkin aongea lugha za kiingereza, kifaransa na kirusi.

Bwana William Burns nae ni hivyohivyo amefanya kazi katika ubalozi wa Marekani mjini Moscow kuanzia mwaka 1995 na kaonya katika maandiko yake kuhusu upanuzi wa NATO. Pia alitahadharisha katika maandiko yake kwa alekuwa waziri wa nchi bibi Condoleezza Rice kwamba NATO kupanua wigo wake ilikuwa ni kitendo cha kuhatarisha maslahi ya Russia.

Bwana Burns ni mmoja wa watu pendwa na nchi hiyo kutokana na historia yake ya kuwa balozi nchini humo na mahusiano yake na majasusi wa Russia katika kazi mbalimbali.

Hiyo ni moja ya sababu ya kutumiwa na Marekani katika mazungumzo ya nyuma ya pazia na aongea lugha za kirusi, kifaransa, kiingereza na kiarabu.


Nyanzo vya habari:

News 360, Telegram.
 
Back
Top Bottom