Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

kaka huwa tukisema vita ya muda mrefu ni kitu kibaya mno, warusi waishio Buza wanasema ati Mrusi ana uchumi mkubwa, kwamba hata vita ikienda muda gani yeye yupo gado ...

" Some estimates put the cost of Putin's invasion of Ukraine at $1 billion a day."

Hii vita inaweza kwenda miaka zaidi ya 5 kama mrusi atagoma kuweka silaha chini, kuondoa majeshi yake na kukubali kukaa mezani bila masharti.

Ni hivi watu wa Magharibi hawawezi kamwe kumruhusu Mrusi ashinde vita hii na apandikize watu wake nchini Ukraine, kwa hiyo ngoma ni isambe.

Watu wa magharibi ni lazima wamlegeze Putin kwa gharama yoyote ile.
Hiyo ni kweli..,wengi wanapumbazwa na habari kutoka kwenye vyanzo vya habari vinavyoegemea upande wa clemlin hambavyo haviwezi kutoa habari inayokinzana na matakwa ya Putin..,lait tungekuwa tunapata habari kutoka urusi zinazolipotiwa na vyombo huru vya habari,tungesikia na kuona mengi sana.., kitu hambacho Putin amekiweza na kukimudu ni kuvifunga midomo vyombo vya habari na mtu yoyote mwenye mawazo tofauti na yake
Lakini yote kwa yote huko ndani ya urusi Kuna fukuto kubwa sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huo ndio uhalisia, urusi anapokea kipigo kikali mpaka anajaribu kuhujumu miundombinu ya kiraia Ili kumforce Ukraine kuingia kwenye meza ya mazungumzo lakini naona bado anagonga mwamba

Front line kwa urusi imekuwa chungu mno🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wapo kwenye denial wameanza kuziita habari hizi kuwa ni za Udaku,baada ya jeshi la Russia kutimua mbiyo walituaminisha kuwa hiyo ni trap tusubirie majibu.Leo hii wakiona habari za Ukraine kusonga mbele wanahamaki na kuziita za udaku.
 
Urusi ni kiboko yao.
Kumbi kumbi wanazidi kupukitishana


Massive layoffs in large companies are a serious call. It looks like the era of bloated IT giants is coming to an end.

At the moment, engineers and developers are being cut:
Amazon: 10,000 people;
Facebook Instagram, WhatsApp Meta - 11,000 people (13% of the state);
Twitter: 4 500 (50%);
Salesforce: 2,000 people;
Netflix: 450 people;
Intel: 20% of the staff;
Snapchat: 20% of the state;
Robinhood: 30% of the state;
Stripe and Lyft: ~13% of the state;
Zendesk: 350 people (5% of the staff);
DocuSign: 650 people (9% of the staff);
Shopify: 1000 people (10% of the staff).
Also, Disney, Boeing, and Apple have already announced serious cuts. The list can actually go on for a very long time.
 
Tunawashukuru wamarekani kwa kutuonesha teknolojia yenu, kwa sasa tunaitumia sisi

An analogue of the American kamikaze UAV Switchblade appeared in Russia.

Dmitry Rogozin in his telegram channel published a video of the work of various UAV made by independent Russian developers. The footage shows a drone, which is an analogue of the American "Switchblade 300".

The launch is carried out by a mortar method from a pneumatic catapult. In addition to a single launch of the drone from the launcher, it is also possible to launch the UAV using specially equipped ground equipment.
 
kaka huwa tukisema vita ya muda mrefu ni kitu kibaya mno, warusi waishio Buza wanasema ati Mrusi ana uchumi mkubwa, kwamba hata vita ikienda muda gani yeye yupo gado ...

" Some estimates put the cost of Putin's invasion of Ukraine at $1 billion a day."

Hii vita inaweza kwenda miaka zaidi ya 5 kama mrusi atagoma kuweka silaha chini, kuondoa majeshi yake na kukubali kukaa mezani bila masharti.

Ni hivi watu wa Magharibi hawawezi kamwe kumruhusu Mrusi ashinde vita hii na apandikize watu wake nchini Ukraine, kwa hiyo ngoma ni isambe.

Watu wa magharibi ni lazima wamlegeze Putin kwa gharama yoyote ile.
Mrusi alishapigana vita zaidi ya miaka 8!
Mwanzo walisema Urusi hawezi tonoa Miezi 6,Sasa wanakuja na kauli uchwara!Jiandaeni tu kisaikoloji,yaani mrusi anaweza pigana hii vita mpaka mtoto aliyezaliwa Leo anaenda kuanza darasa la kwanza!
 
HII INAITWA ASANTE Volodymyr Zelenskyy

1668767579486.png
 
WAO WANAIMBA SISI TUNAGONGA

💥💥💥The objects of the military administration, the military-industrial complex and the power and energy infrastructure of Ukraine became the targets of rocket attacks by the Russian Armed Forces carried out the day before.

Missile manufacturing facilities were also hit💥💥💥
 
Hii inaitwa Depopulation of Europe
◽️ The enemy has lost over 100 Ukrainian personnel. 1 tank, 3 infantry fighting vehicles, 2 armoured personnel carriers, and 7 motor vehicles have been destroyed.


◽️ Over 50 Ukrainian personnel, 2 tanks, and 5 armoured motor vehicles have been eliminated.

◽️ Up to 40 Ukrainian personnel, 2 armoured combat vehicles, and 7 pickups have been eliminated.
 
Ukraine haitajiunga NATO [emoji23][emoji23][emoji23]

Ukraine imeshatuma maombi ya kujiunga NATO tayari au unaishi katika dunia yako mwenyewe [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Imeulizwa vipengele vya Minsk vilivyokiukwa against Russia .

Au umevamia comment bro??
 
Back
Top Bottom