Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Hujui mgogoro ulianzaje, Ukraine walikuwa wanataka kuanza mchakato gani???Duh!..kilichokiukwa ni kipi sasa?...kwani Ukraine yupo NATO?...
Na kuhusu NATO kupanuka wakulaumiwa ni Ukraine au NATO?
Hujui... Au unaleta pumba zako, kabla ya uvamizi Russia alionya mara ngapi mchakato huo..
Kama una hoja leta hoja jibu kwa hoja na kuwa mkweli