Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu ni Uongo,hao wanajeshi wa Urusi walikua wanafake their surrender...walilala chini halafu baadae akatokea mwanajeshi mwingine wa Urusi na kuanza kuwarushia risasi wanajeshi wa Ukraine.

Video hii hapa

Naona soldiers wa Superpower wamesujudu kifudifudi😀
 
Hakuna kitu apo Ripoti zaonyesha Wataalam wa Iran wapo Crimea buzy kuwafundisha Russia kutengeneza drons za kamikaze ambazo zinaangushwa kila uchao, US wametumia mfumo wa mobile systeam ku-detact hizo drons kwa hata raia wa Ukraine hivyo zinaagushwa vibaya sana
 
Haya msemaji rasmi wa Moscow 😀 😀 😀
 
Hayo yote umeambiwa na nani au ni hisia zako?
Mkiwa mnatoa hisia zenu,semeni wazi kuwa Kwa mtazamo wangu,nafikiri ni ..!
Sio mtu unajikakamua utafikiri Una uhakika 100%
 

wakimuona kapokea kipindo kachakaa utawaskia wanatoa kauli za kumhamasisha ili arud mchezon. mara utaskia tusilizarau jeshi la russia. mara utaskia wakisifu maendeleo fulan ya russia mara kauli tata za kuonesha kuchoka kuisaidia ukraine. mara waseme hatutaingiliA mara vita vya tatu
akirudi mchezoni wanampa kipondo weeeee.
yaan ilimrad vita vichkue mda.
 
Umeona ee! Viongozi wa marekani wanaweza wakatoa kauli za kutia huruma na simanzi juu ya Ukraine, mpaka unaweza kushangaa kama kweli hizo kauli Zimetolewa na viongozi wa marekani.., kile walichokiongea Leo kesho yake wanabadilisha..,ukitumia akili sana kutafakari vitendo vya marekani katika vita hivi unaweza kuchoka sana

Hawa jamaa ni wazee wa danadana haswa[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kutoa credit kwa waandishi waliohangaika kutafuta hii taarifa. Wewe ulichofanya ni copy and paste!!!!!!!!!
Kama umesoma article ungeona mwandishi amejieleza tatizo umeangalia Uzi ukakimbilia kukoment kama kuku alikatwa kichwa akaachwa akimbie
 
Jaribu kutoa credit kwa waandishi waliohangaika kutafuta hii taarifa. Wewe ulichofanya ni copy and paste!!!!!!!!!
Hata hivyo, walijishughulisha na silaha za uvamizi tu katika miaka ya 2010. Kama mtaalam wa Kirusi, ambaye alitaka asitajwe, aliiambia BBC, Wizara ya Ulinzi ya Urusi haikupendezwa na ndege kama hizo, na makampuni ya kibiashara, yalipotambua kuwa wanajeshi hawatapendezwa nayo, hawakuhusika katika maendeleo kama hayo.
 
Ok, nimeona.Samahani kwa usumbufu.!!!!!!!!!!
 
BBC wanakubali Russia ana drone, ila humu JamiiForums kuna mwamba wenzie wanamuamini kabisaa kama mtaaalam wa mambo ya kijeshi, anasema Russia hana hizo silaha....
Wa bongo tuna jua saaana kujiongeza kwenye story za chini ya mwembee
 
Putin's work schedule on Tuesday will be varied.

By video link, he will take part in the ceremony of raising the Russian flag on the nuclear icebreaker Ural and launching the nuclear icebreaker Yakutia.

➡ will open a monument to Fidel Castro

➡ will discuss with the leader of Cuba the prospects for the development of the Russian-Cuban strategic partnership
 
Huu ni Uongo,hao wanajeshi wa Urusi walikua wanafake their surrender...walilala chini halafu baadae akatokea mwanajeshi mwingine wa Urusi na kuanza kuwarushia risasi wanajeshi wa Ukraine.

Video hii hapa

Ukraine wame-fake hiyo video with the support of the "US Empire of Lies" and the West kuficha ukweli,they are good at that.Mtu mwenye akili,huku ukijua the evil character of the Azov battalion huwezi kuwaamini for anything.
 
Unawaamini wapiga kunyeto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…