Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️Zelensky: Ukraine creating 'invincibility centers' if Russian attacks knock power out.

If the electricity supply cannot be restored for hours following Russian strikes, Ukrainians will be able to access "invincibility centers" for basic services, President Zelensky said.

The services will include electricity, mobile phone connections, heat, water, and first aid, free of charge and twenty-four hours a day. There are currently 4,000 of these centers and more are planned, Zelensky said.
 
According to CIA wanaoijua vizuribRussia kuliko sisi wa huku Kimara baruti, Ni kuwa Urusi akifungua mbawa zake na akaamua kuleta vita kweli itakuwa ni balaa kwa Dunia.

Soma na utafakari kauli hii:
"Rais wa Marekani Joe Biden alisema njia mbadala ya vikwazo vikali ambavyo Washington imeiwekea Urusi itakuwa Vita vya Tatu vya Dunia".

"Una chaguzi mbili. Anzisha Vita vya tatu vya dunia, pigana na Urusi physically,. Au mbili, hakikisha kwamba nchi ambayo inafanya kinyume na sheria za kimataifa inaishia kulipa gharama vitendo vyake," Biden alisema ktk mahojiano na mwanablogu Brian Tyler Cohen. Video hiyo iliwekwa kwenye ukurasa wake wa YouTube siku ya Jumamosi.

Rais wa Marekani alibainisha kuwa hakuna vikwazo vinavyofanya kazi mara moja. "Lakini nadhani vikwazo hivi, najua vikwazo hivi ni vikwazo vipana zaidi katika historia, na vikwazo vya kiuchumi na vikwazo vya kisiasa," Biden alisema.

"Urusi italipa gharama kubwa kwa muda huu mfupi na mrefu, haswa kwa muda mrefu," kiongozi huyo wa Amerika alisisitiza.

My Take:
Kwa nini US anasisitiza sana kuwa kwa US/NATO kupigana risasi na Urussi itakuwa vita ya 3 ya Dunia?
Anamaanisha nini?.. Mbona nchi zigine kadhaa wamezipiga na hawakuwahi kusema hivyo.

TUMIA AKILI HAPA THEN MTUAMBIENKATI YA SISI WA HUKU MWANANYAMALA NA CIA NANI ANAIJUA VIZURI NGUVU YA URUSSI.

Then tujiulize nchi ambayo mkitumia nguvu kuipiga inakuwa 3rd world war inatoshana na kanchi kama ukraine? Ndiyo mtajua kuwa hiyo ni Millitary Op kwa upande wa Russia lakini ni vita kamili kwa taifa dogo la Ukraine.

Mtapata hili jibu: Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika
 
Ila Erdogan bhana [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]


Turkish President Recep Tayyip Erdogan said that the Russian Federation has not fulfilled its obligations in Syria.

Russia pledged to clear Kobane of terrorists in 2019, but failed to do so, so Turkey will do it on its own
@Flash_news_ua
 
Russia soon atakimbia hapo Black sea[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️ Zelenskyi said that people from 93 countries are helping to create a fleet of marine drones.

“In general, people from 93 countries have joined the initiative through the UNITED24 platform. We are gradually building the Ukrainian fleet of sea drones.”

 
Cold war era, back in the game...

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️Protests against the Putin regime and the CSTO continue in Armenia. Video from local social networks.

Tomorrow, a meeting of the CSTO Collective Security Council is scheduled in the capital of Armenia, which is to be attended by Russian Foreign Minister Lavrov.
@Flash_news_ua

 
Jibu lako hili hapa

LONDON, Aug 1 (Reuters) - Russian President Vladimir Putin said on Monday there could be no winners in a nuclear war and no such war should ever be started.

"We proceed from the fact that there can be no winners in a nuclear war and it should never be unleashed, and we stand for equal and indivisible security for all members of the world community," he said.
 
S
Siyo kweli Russia kulilia mazunfumzo.

Pia kwa akili yako ni nchi gani inachakazwa kati ya Russia na Ukraine au mpaka sasa Nani ameelemewa ktk hii vita.

Shida yenu mnachukulia kuwa mji ulio katika Jimbo la Kherson ndo Ukraine na ndiyo uwanja wa vita.

Itakuwa mnafuatilia juu juu hii kitu. Frontline zipo nyingi sana. Kuna Jimbo la Luhansk na kuna Donbas umefuatilia kuona Ukraine wanavyorud nyuma. Jimbo kherson lenyewe mbalopiga kelele Russia anapossesbkwa 70% sasa sijui mnatumia ubongo gani sijui.

msipende furaha , tuipende ukweli mchungu kuwa Russia ni mkubwa sana kwa Ukraine, shida tunataka kuipangia russia mission yake wakt wao ndo wanajua malengo yao halisi.

US wameshakiri wao kwa ukubwa wao na nato kupigana Risasi na Russia itakuwa vita ya 3 vya dunia. Mnaielewa hii kauli na reflection yake kuhus millitary power ya urussi? Hao ni us na cia yao.

Tukubali tu kuwa Urussi haiko vitani bali inafanya oparesheni za kijeshi tu huko ukraine. Ni kama US alipokuwa Afghan,
 
Watakutana na madouble agents ndio watajua hawajui!
 
Mbona siyo jibu,
Kama ishu ni Nyuklia war, mbona US washasema wanaweza kuifuta DPRK wakiwndelea na test zao za makombora.

Hakusema kuwa itakuwa 3rd world war!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…