President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Wa Yukreni wa Kagongwa bado mpo!?
Ww inahusisha silaha nzito. Kwa lugha nyingine biden anasema ni either vikwazo au vita vya nuclear. Hata Urusi anaikwepa hiyo ndo maana hazitumii hizo silaha analazimika kupigana katika weight sawa na Ukraine. Mengine ni mahaba mshindo.According to CIA wanaoijua vizuribRussia kuliko sisi wa huku Kimara baruti, Ni kuwa Urusi akifungua mbawa zake na akaamua kuleta vita kweli itakuwa ni balaa kwa Dunia.
Soma na utafakari kauli hii:
"Rais wa Marekani Joe Biden alisema njia mbadala ya vikwazo vikali ambavyo Washington imeiwekea Urusi itakuwa Vita vya Tatu vya Dunia".
"Una chaguzi mbili. Anzisha Vita vya tatu vya dunia, pigana na Urusi physically,. Au mbili, hakikisha kwamba nchi ambayo inafanya kinyume na sheria za kimataifa inaishia kulipa gharama vitendo vyake," Biden alisema ktk mahojiano na mwanablogu Brian Tyler Cohen. Video hiyo iliwekwa kwenye ukurasa wake wa YouTube siku ya Jumamosi.
Rais wa Marekani alibainisha kuwa hakuna vikwazo vinavyofanya kazi mara moja. "Lakini nadhani vikwazo hivi, najua vikwazo hivi ni vikwazo vipana zaidi katika historia, na vikwazo vya kiuchumi na vikwazo vya kisiasa," Biden alisema.
"Urusi italipa gharama kubwa kwa muda huu mfupi na mrefu, haswa kwa muda mrefu," kiongozi huyo wa Amerika alisisitiza.
My Take:
Kwa nini US anasisitiza sana kuwa kwa US/NATO kupigana risasi na Urussi itakuwa vita ya 3 ya Dunia?
Anamaanisha nini?.. Mbona nchi zigine kadhaa wamezipiga na hawakuwahi kusema hivyo.
TUMIA AKILI HAPA THEN MTUAMBIENKATI YA SISI WA HUKU MWANANYAMALA NA CIA NANI ANAIJUA VIZURI NGUVU YA URUSSI.
Then tujiulize nchi ambayo mkitumia nguvu kuipiga inakuwa 3rd world war inatoshana na kanchi kama ukraine? Ndiyo mtajua kuwa hiyo ni Millitary Op kwa upande wa Russia lakini ni vita kamili kwa taifa dogo la Ukraine.
Mtapata hili jibu: Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika
Ikitokea vita ya dunia itakuwa Nato vs Russia mchina hatosubutu kuingia vitani direct labda amsaidie urusi silaa. Na Russia itakuwa majivu.
Andiko Bora kabisa hili,mwenye macho na alone,na mwenye masikio na asikie.According to CIA wanaoijua vizuribRussia kuliko sisi wa huku Kimara baruti, Ni kuwa Urusi akifungua mbawa zake na akaamua kuleta vita kweli itakuwa ni balaa kwa Dunia.
Soma na utafakari kauli hii:
"Rais wa Marekani Joe Biden alisema njia mbadala ya vikwazo vikali ambavyo Washington imeiwekea Urusi itakuwa Vita vya Tatu vya Dunia".
"Una chaguzi mbili. Anzisha Vita vya tatu vya dunia, pigana na Urusi physically,. Au mbili, hakikisha kwamba nchi ambayo inafanya kinyume na sheria za kimataifa inaishia kulipa gharama vitendo vyake," Biden alisema ktk mahojiano na mwanablogu Brian Tyler Cohen. Video hiyo iliwekwa kwenye ukurasa wake wa YouTube siku ya Jumamosi.
Rais wa Marekani alibainisha kuwa hakuna vikwazo vinavyofanya kazi mara moja. "Lakini nadhani vikwazo hivi, najua vikwazo hivi ni vikwazo vipana zaidi katika historia, na vikwazo vya kiuchumi na vikwazo vya kisiasa," Biden alisema.
"Urusi italipa gharama kubwa kwa muda huu mfupi na mrefu, haswa kwa muda mrefu," kiongozi huyo wa Amerika alisisitiza.
My Take:
Kwa nini US anasisitiza sana kuwa kwa US/NATO kupigana risasi na Urussi itakuwa vita ya 3 ya Dunia?
Anamaanisha nini?.. Mbona nchi zigine kadhaa wamezipiga na hawakuwahi kusema hivyo.
TUMIA AKILI HAPA THEN MTUAMBIENKATI YA SISI WA HUKU MWANANYAMALA NA CIA NANI ANAIJUA VIZURI NGUVU YA URUSSI.
Then tujiulize nchi ambayo mkitumia nguvu kuipiga inakuwa 3rd world war inatoshana na kanchi kama ukraine? Ndiyo mtajua kuwa hiyo ni Millitary Op kwa upande wa Russia lakini ni vita kamili kwa taifa dogo la Ukraine.
Mtapata hili jibu: Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika
Umepangua hoja kitaalamu sana hapa.Mbona siyo jibu,
Kama ishu ni Nyuklia war, mbona US washasema wanaweza kuifuta DPRK wakiwndelea na test zao za makombora.
Hakusema kuwa itakuwa 3rd world war!!..
Uko vizuri mtaalam.Why iitwe vita ya Dunia, Russia iwe majivu vipi kuhusu EU ??.
Unajua Russia na US siyo mbali sana.
Wana dirty bomb au wanapanga kutumia?"alidai" lakini haikua kweli.
Hata Russia ilidai Ukraine ina dirty bomb lakini madai yake hayakua na ukweli wowote.
Unajua kuna silaha nzito zaid lakin zina madhara makubwa na si nyukliaWw inahusisha silaha nzito. Kwa lugha nyingine biden anasema ni either vikwazo au vita vya nuclear. Hata Urusi anaikwepa hiyo ndo maana hazitumii hizo silaha analazimika kupigana katika weight sawa na Ukraine. Mengine ni mahaba mshindo.
Hii ndiyo point tunatopingana nayo daily. Ni kosa kuichukulia russia kama Iran hiviHizi mantra zenu za kila siku za kusema eti: "Russia itakuwa majivu" - Now tell us, mnatumia vigezo gani kufikia such wild conclusion!!
How many times must we keep reminding you people over and over again that Russia is not some Banana Republics - repeat, some banana Republics, msiwe mna sema sema mambo bila ya kuyatafakari kiundani - Russia ni Taifa tofauti kabisa msioitezwe na propaganda mnazo ziona/sikia kutoka kwenye western MSM au mnazo ziona kwenye Hollywood movies za akina Rambo (Sylvester Stallone).
Biden knows what is talking about - wenye matatizo ni sisi watu baki ie laypeople - msikilizeni kwa umakini sana mwana sayansi Elon Musk aliwaonya vipi viongozi wa Merikani na Ulaya kuhusu uwezo wa Russia linapo kuja suala la teknolojia ya thermonuclear na lightening fast delivery systems of the same - Elon is not bluffing.
Nyinyi endelea kuamini mnacho kitaka - lakini kumbukeni kwamba ukweli utabaki pale pale Russia si taifa la kuchezea/kuluchukulia kimzaa mzaa hata kidogo.