Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu samahani, sijazema kubwa kuliko zote
Mariupol haina power plant iitwayo azovstal, hiyo ni steel plant, kherson ina power plant ya hydro khankovikal (sp) ambayo Russia wanaishikilia bado,, Russia waliutema mji wa kherson baada ya ukraine, kushambulia mara kwa mara hilo bwawa, kiasi kwamba lingebomoka mji wote wa kherson ungekumbwa na mafuriko na hivyo raia wengi wangekufa maji ikiwemo na askari wa Russia
 
Iris ti nasmas na nyenginezo naona zimefeli jumla jamala

Basi NATO katoeni msaada[emoji4][emoji51][emoji3]


[emoji298]️[emoji91]Ukrenergo announced that there would be no electricity in most of the territory of Ukraine for a day, during which there would be emergency shutdowns.

Part of the railway communication and suburban trains was stopped.

Interruptions with the Internet and cellular communications continue.
In a number of cities there are problems with water supply due to the stoppage of electric pumps.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Siyo kweli Russia kulilia mazunfumzo.

Pia kwa akili yako ni nchi gani inachakazwa kati ya Russia na Ukraine au mpaka sasa Nani ameelemewa ktk hii vita.

Shida yenu mnachukulia kuwa mji ulio katika Jimbo la Kherson ndo Ukraine na ndiyo uwanja wa vita.

Itakuwa mnafuatilia juu juu hii kitu. Frontline zipo nyingi sana. Kuna Jimbo la Luhansk na kuna Donbas umefuatilia kuona Ukraine wanavyorud nyuma. Jimbo kherson lenyewe mbalopiga kelele Russia anapossesbkwa 70% sasa sijui mnatumia ubongo gani sijui.

msipende furaha , tuipende ukweli mchungu kuwa Russia ni mkubwa sana kwa Ukraine, shida tunataka kuipangia russia mission yake wakt wao ndo wanajua malengo yao halisi.

US wameshakiri wao kwa ukubwa wao na nato kupigana Risasi na Russia itakuwa vita ya 3 vya dunia. Mnaielewa hii kauli na reflection yake kuhus millitary power ya urussi? Hao ni us na cia yao.

Tukubali tu kuwa Urussi haiko vitani bali inafanya oparesheni za kijeshi tu huko ukraine. Ni kama US alipokuwa Afghan,
mtu hapa jf ww ni wa kwanza , majuz ulisema Urusi inataka mazungumzo ila Leo unasema Urusi haitaka mazungumzo
 
Mimi na Bwana Putini tupo kwenye kikao Armenia. Mimi hapo mkono wa kushoto

The leaders of the CSTO countries are united in their choice - Armenian cognac is on the table Armenian water NOY
IMG_20221123_161505_959.jpg
 
Back
Top Bottom