Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ww inahusisha silaha nzito. Kwa lugha nyingine biden anasema ni either vikwazo au vita vya nuclear. Hata Urusi anaikwepa hiyo ndo maana hazitumii hizo silaha analazimika kupigana katika weight sawa na Ukraine. Mengine ni mahaba mshindo.
 
Kikubwa ni kwamba dikiteta Putin anaendeleaa kupigishwa danadana tu.., ukraine atapoteza sana lakini lengo la kumfunga sipid governor super pawer wa mchongo litatimia

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Part of Kyiv may still have to be evacuated - Mayor Klitschko
According to him, residents of the capital should prepare for the "worst-case scenario" of widespread blackouts at low temperatures. If things go according to this scenario, Kyiv could face the worst winter since the Second World War, perhaps “part of the city will have to be evacuated,” although the authorities do not want it to come to that.
 
Ikitokea vita ya dunia itakuwa Nato vs Russia mchina hatosubutu kuingia vitani direct labda amsaidie urusi silaa. Na Russia itakuwa majivu.

Hizi mantra zenu za kila siku za kusema eti: "Russia itakuwa majivu" - Now tell us, mnatumia vigezo gani kufikia such wild conclusion!!

How many times must we keep reminding you people over and over again that Russia is not some Banana Republics - repeat, some banana Republics, msiwe mna sema sema mambo bila ya kuyatafakari kiundani - Russia ni Taifa tofauti kabisa msioitezwe na propaganda mnazo ziona/sikia kutoka kwenye western MSM au mnazo ziona kwenye Hollywood movies za akina Rambo (Sylvester Stallone).

Biden knows what is talking about - wenye matatizo ni sisi watu baki ie laypeople - msikilizeni kwa umakini sana mwana sayansi Elon Musk aliwaonya vipi viongozi wa Merikani na Ulaya kuhusu uwezo wa Russia linapo kuja suala la teknolojia ya thermonuclear na lightening fast delivery systems of the same - Elon is not bluffing.

Nyinyi endelea kuamini mnacho kitaka - lakini kumbukeni kwamba ukweli utabaki pale pale Russia si taifa la kuchezea/kuluchukulia kimzaa mzaa hata kidogo.
 
France Begs Burkina Faso For Extra Embassy Protection Amid Protests

The French Embassy in Burkina Faso has begged local security forces to provide more protection after insisting violent protests targeting the property were left unchecked by local military police.

The embassy also claims footage shows security guards, during the protests in question, playing cards while stones and other projectiles flew.

Burkina Faso’s national gendarmerie chief of staff Evrard Somda responded that the guards weren’t equipped to cope with the volume of protesters, and were waiting for reinforcements.

Subscribe to RT
 
Andiko Bora kabisa hili,mwenye macho na alone,na mwenye masikio na asikie.
 
Your browser is not able to display this video.

"Moskvich" takes over the french Renault automobile manufacturing plant in Moscow - Renault left the Russian market earlier this year.

But where a door closes, a new one opens - Moskvich will manufacture Russian-made electric vehicles, providing 40,000 jobs.
 
Nchi za EU zinaiogopa sana Russia kasoro EU wa Bagamoyo. Article 5 ikiombwa jamaa watagombana wenyewe mkutanoni. Baba US kasema ye mwenyewe hataki vita kamili (full scale war) na Russia, we nani unapinga huko Mpwapwa??

Soma:
Kabla ya mzozo huo, Berlin iliamini kuwa mzozo mrefu ungekuwa janga, waziri mkuu wa zamani wa Uingereza anasema

Hapo awali Ujerumani ilikuwa ikiunga mkono Ukraine kunyakuliwa haraka na Urusi badala ya kuweka vita kwa muda mrefu, kutokana na wasiwasi wa kiuchumi, waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson alidai Jumatatu.

Akizungumza na CNN Ureno, Johnson alibainisha kuwa kabla ya Moscow kuzindua operesheni yake ya kijeshi mwishoni mwa Februari, mataifa kadhaa ya Magharibi yalikuwa na "mitazamo tofauti sana" juu ya mzozo huo.

Kulingana na waziri mkuu huyo wa zamani, “mtazamo wa Wajerumani ulikuwa wakati fulani kwamba ikiwa ingetokea, jambo ambalo lingekuwa janga, basi ingekuwa afadhali mambo yote yamalizike haraka, na kwa Ukraine kuanguka.” Aliongeza kuwa mtazamo huu uliungwa mkono na "aina zote za sababu nzuri za kiuchumi".

Johnson aliendelea kusema kwamba uongozi wa Ufaransa ulikuwa "unakataa hadi dakika ya mwisho" juu ya mipango ya Urusi ya kutuma wanajeshi Ukraine, wakati viongozi wa Italia "walisema tu kwamba hawataweza kuunga mkono" msimamo huo ulikumbatia mataifa mengine ya Magharibi. nchi, kutokana na utegemezi wao "mkubwa" juu ya nishati ya Kirusi.

My Take:
1.US na UK ndo wanalazimishabEU kuingilia mzozo wa Ukraine.

2. Nchi nyingi za EU zinaiogopa Russia kiuchumi na kijeshi.

Msininukuu vibaya , hata Russia hataki vita na US , ila EU kama EU ni underdogs tu.
Period!





 
Following Ukraine, electricity will be cut off in France and Germany, writes Bloomberg.

It is known that in France it is planned to restart a quarter of the power units of nuclear power plants until mid-December, but due to the backlog in the repair schedules, Prime Minister Elisabeth Born noted that one should be prepared for a shortage of electricity. At the moment, 25 of the 56 units of French nuclear power plants are not working, which has already led to a significant increase in the cost of electricity, and subsequently will lead to targeted power outages throughout the country.

Analysts estimate that to prevent unrest in the country, President Macron's administration will have to allocate about 500 million euros to help businesses and consumers cope with rising electricity prices over the next year. But the allocation of such amounts by the state for 2023 is not planned.

In Germany, the situation with electricity is also quite tense. Recently, the head of the Federal Office for Civil Protection and Assistance, Ralf Tisler, in an interview with Welt, said that the country could not do without a power outage. According to the official, with a shortage of electricity, citizens will have to adapt to new conditions.

Problems with electricity in Europe arose after the EU decided to reduce dependence on Russian energy resources. Because of this, the demand for electricity increased significantly, which caused the energy crisis.
 

Attachments

  • IMG_20221123_124522_454.jpg
    137.2 KB · Views: 13
Ww inahusisha silaha nzito. Kwa lugha nyingine biden anasema ni either vikwazo au vita vya nuclear. Hata Urusi anaikwepa hiyo ndo maana hazitumii hizo silaha analazimika kupigana katika weight sawa na Ukraine. Mengine ni mahaba mshindo.
Unajua kuna silaha nzito zaid lakin zina madhara makubwa na si nyuklia
 
Hii ndiyo point tunatopingana nayo daily. Ni kosa kuichukulia russia kama Iran hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…