President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Si wanaitaka Kherson wanaacha HQ ipo uchiSo sad nchi haikaliki tena
Nimekuelewa mkuu wewe endelea kukomaa huko flontlineKazi yako hiyo inakufaa sana achana na mambo ya kivita.
Wasalimie huko.Nimekuelewa mkuu wewe endelea kukomaa huko flontline
Sawasawa mkuu endelea kutu update wa uwanja wa fisi kila la kheri flontlineWasalimie huko.
Nimeshakuaga mbona unakomaa sana mzee. Mimi ni mtu wa Mungu hayo mambo yenu ya kimagharibi siyataki.Sawasawa mkuu endelea kutu update wa uwanja wa fisi kila la kheri flontline
Una uhakika DUMA walikuwa hawajui?Croatia kanchi kadogo kameonesha kanaheshimu katiba kuliko Andunje Putin , Putin aliwapeleka watu vitan mpk wanafika mpakan hajawaambia malengo yake pia Hata Bunge hajawataarifu , kiufip Putin aheshimu katiba yake
Vp kama ni air defense systems za Ukraine ambazo zikimiss targets??
Hata ikiwa ni hivyo,anasingiziwa Russia!Tokea hii vita imeanza,air defense systems za Ukraine hatujasikia sehemu yoyote zimesababisha maafa Ukraine!Ila baada ya kutua Poland ndio tumeona watu wakitoka na kusema ukweli maana wameona wakimsingizia Russia mambo yatakuwa mengine!
Kuna possibility kubwa hizo defense systems zimeshasababisha maafa Ukraine lakini mzigo wote anatupiwa Russia!
Tatizo ni namna ya kupata taarifa sahihi!
Nimepokea taarifa mkuu.. ni kweli ni steel plant walipojifungia Azov batallionMariupol haina power plant iitwayo azovstal, hiyo ni steel plant, kherson ina power plant ya hydro khankovikal (sp) ambayo Russia wanaishikilia bado,, Russia waliutema mji wa kherson baada ya ukraine, kushambulia mara kwa mara hilo bwawa, kiasi kwamba lingebomoka mji wote wa kherson ungekumbwa na mafuriko na hivyo raia wengi wangekufa maji ikiwemo na askari wa Russia
Kwani marekani haingii gharama ktk hii vita ?unajua gharama za vita ? unahis Urusi anapenda vita kuchukua miez 10?
Superpower hachagui wa kupigana nae , huez jiita superpower kwa kuivamia Ukraine tu , acha yamkute alipenda mseleleko sana
Siyo kwelimtu hapa jf ww ni wa kwanza , majuz ulisema Urusi inataka mazungumzo ila Leo unasema Urusi haitaka mazungumzo
Ahsante Studio...⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine⚡️
(23 November 2022)
Russian Federation Armed Forces continue the special military operation.
◽️In Donetsk direction, units of Russian army continued their intense operation.
💥More than 60 Ukrainian servicemen and 5 armoured fighting vehicles have been eliminated.
◽️In South Donetsk direction, artillery fire and decisive actions by Russian troops have repulsed an attack by the AFU with up to a company's tactical group forces towards Pavlovka.
💥In addition, as a result of a pre-emptive fire attack, enemy reserves advancing from Ugledar have been destroyed. A sabotage and reconnaissance group of the AFU has been destroyed near Novodarovka (Zaporozhye region). The enemy's losses amounted to more than 40 Ukrainian servicemen killed and wounded, 3 armoured vehicles, a MT-LB and 4 pick-up trucks.
◽️In Kupyansk direction, an attempt to launch an attack by an AFU mechanised infantry company near Novosyolovskoye (Lugansk People's Republic) has been thwarted by artillery fire and heavy flamethrower systems.
💥In Donetsk direction, as a result of Russian artillery fire more than 30 Ukrainian servicemen, two motor vehicles and one mortar have been destroyed.
◽️In Krasniy Liman direction, an attempt to move the AFU company tactical group to attack the Chervonopopvka (Lugansk People's Republic) has been disrupted by pre-emptive fire.
💥Up to 20 Ukrainian servicemen, 3 mortar crews and 2 motor vehicles have been eliminated.
💥Operational-Tactical and Army Aviation, Missile Troops and Artillery have neutralised the AFU 128th Mountain Assault Brigade's command post deployed near Volnyansk (Zaporozhye region), as well as 72 artillery units at their firing positions, manpower and hardware in 144 areas.
💥1 U.S.-manufactured AN/TPQ-37 counterbattery warfare radar has been destroyed near Nikolayevka (Donetsk People's Republic).
💥2 AFU artillery-missile armament and munitions depots have been destroyed near Volnyansk (Zaporozhye region), and Chervonopopovka (Lugansk People's Republic).
💥Air defence forces shot down five unmanned aerial vehicles in the area of the gas condensate fields in the Black Sea and near Sevastopol.
Analyses
Scholz dah, kumbe naye anatema upupu sana,sikujua.Rise of Asia economically imesababisha Europes' Economic woes!!!!Sasa wao walitaka Asia ibaki underdeveloped forever,vituko.German Chancellor Scholz said that the real reason for the current economic crisis in Europe is the growth of Asian economies, and the pandemic and the war in Ukraine have only accelerated these trends.
Speaking at an economic forum in Berlin, he said that "happy times" with stable economic growth and low inflation were over for the West, but they could not last long.
“The war between Russia and Ukraine and the economic consequences of the pandemic may have hastened the end of these times, but they did not trigger it,” says Scholz.
In his opinion, this is due to the fact that for decades Asian countries have been producing cheap goods for the European, North American and Chinese markets. Over the years, Asia's average purchasing power has risen sharply.
Now, according to Scholz, Asian countries are competing with Europe in energy, raw materials and technology.