LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huna akili hata ya kuvukia barabara wewe.we unaon kabisa vikosi vinasonga mbele kila upande alafu unasema vimesimama.msipende kukurupuka.vita ipo nyumbani kwako alafu unajitangaza mshindi
 
Utoto raha sana
 
Watoto wa wanyonge wanashughulikiwa kwenye vita isiyo na manufaa kwa Nchi yao.

Picha kama hizi Putin hataki watu wake waone ndio maana kazuia social network za binafsi na za Kimataifa.

Bila shaka kwao wanaonyesha walivyowaua Ukrainians ila wanashangaa siku zinaenda hakuna wanachoambulia cha maana.
 
Umedadavua vyema
 
Huna akili hata ya kuvukia barabara wewe.we unaon kabisa vikosi vinasonga mbele kila upande alafu unasema vimesimama.msipende kukurupuka.vita ipo nyumbani kwako alafu unajitangaza mshindi
Kila upande kama upi? Viko stagnant maeneo hayo hayo wiki kadhaa sasa,mchana wanadai kuteka afu usiku mapigano yanaendelea pale pale
 
Anajikosha, maskini hawezi shindana na tajiri, yaani eti utumie mfumo wa India sijui Brazil and such nonsense.

By the way coalition ya Maskini hakuna cha maana itafanya.

Ndio maana Russia wame stuck kwa sababu pesa hawana.

Marekani anaweza kumuogopa Mchina tuu kwa sababu anaweza kumtikisa kwenye uchumi na sio pimbi wengine.

Hii vita ikiwa prolonged, Russia atafilisika and how it can be prolonged ni kwa Ukranian allies kuwapa silaha na msaada wa pesa.

Option pekee ya Russia ni kutumia silaha kali zaidi lakini atakuwa anajiweka kwenye hatari kubwa ya kupewa mbinyo zaidi na western.

Kwa sasa West wanamsibiria akiingia tuu wanaweka embargo maana kesho wanakutana kupanga hatua zaidi za kuchukua .
 
Du hii mzee umeitoa wapi
 
Kwani russia wameingilia wapi kuipiga ukraine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo! Yaani wamechagua tu upande wanaoushabikia kwenye vita wakajua basi upande huo unajitawala kiasi cha kufanya lolote watakalo na kupenya corridor zote wasijue hata hao russia wanastruggle[emoji23][emoji23] nimecheka sana, na hapo ni wasomi wa viwango vya juu kabisa ndo wameumiza vichwa! Angekuwa Musukuma si ndo angebeba mabasi yake full tank na kuingia kama kwake akiwaita kwa majina, njooni tuamshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miji muhimu yote ya Ukraine ipo pembezoni mwa hilo Taifa.

Kiev
Mariupol
Odessa
Maliutopol

Kumbuka mji muhimu baada ya kiev ulikuwa ni Donetsk ambao upo mikononi mwa pro Russia.

Haya mkuu niambie kati kati ya Ukraine Kuna nini Cha maana zaidi ya vijiji.

Mchekeshaji Zelensky jana alisema huku akilia lia kwamba Warusi wanapanga kuishambulia Odessa ambayo imepakana na Transtiria kama sijakosea.

Transtiria ni Jimbo lililo jitenga kutoka Urusi na Lina pro Russia.

Ila inauma sana mchekeshaji Zelensky kuharibu nchi, uchumi na roho za watu ili tu kujiunga NATO.
 
Na wawatie kibindoni hivyo hivyo,ni upuuzi wa Hali ya Juu na hayo ndio madhala ya kuweka watu wasio na uwezo wa akili..

Ndio maana nawakubali Wakenya wako clear na Wana side na Nchi zenye uwezo sio maskini.

Sasa Tzn inajua kule kuna serikali na iko active unaenda kuwasiliana na wavamizi Ili wakusaidie nini?
 
Putin inatakiwa ampeleke mtoto wake kwenye hivi vita, aache kuswaga watoto wa wengine kuwapeleka kwenye hivi vita vya kipumbavu alivyoviasisi ona sasa watoto wa watu wanavyouwawa kinyama. Hovyo kabisa huyu dikteta.
Ulifikiri vita ni maji.
Kwamba mtapigana bila kufa.
Kaulize Wamarekani pekee walikufa wangapi Afghanistan.

Nenda kawaulize NATO askari wao walikufa wangapi.

Nenda kawaulize Wafaransa, Wamarekani walikufa wangapi Vietnam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…